uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao hauwahusu Madiwani ambao ndio wawakilishi wa Mamlaka za Mitaa maana yake nini?

    Mimi nashangaa sana yaani inakuaje Mamlaka za Serikali za Mitaa ambazo zinaanzia Ngazi ya Halmashauri na kuongozwa na Baraza la Madiwani hazihusiki na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Hawa Wajumbe sijui wenye viti hawana nafasi yeyote ya kupanga mipango ya Halmashauri zikiwemo sheria ndogo...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uandikishaji huu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hauna tija, ni kupoteza wakati

    Leo mchana nimekwenda kujiandikisha kuhusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kuna jambo moja fikirishi ni, nini nia na madhumuni ya kuandikisha. Nimeandikwa jina langu, umri na nikaweka sahihi. Nilichoandikwa ni jina na umri tu! majina yetu hujirudia rudia, hapa sijui ni mkazi wa mtaa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Dodoma: Wapiga Kura wakiwa na Vipeperushi vya mwenyekiti wa CCM Wakati wa Kujiandikisha

    Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Rais Samia na yeye ametimiza haki yake ya Kikatiba, hapa akiwa kwenye foleni na wakazi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Rais Samia ashiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Leo Oktoba 11, 2024, Rais Dkt. Samia anaongoza watanzania katika zoezi la kujiandikisha katika daftari hili ili kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. https://www.youtube.com/live/oreFWNwWmTY?si=mpNgbVFGvb8Q81HQ Rais Samia Suluhu Hassan akiwa...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Mawakala wa Vyama vya Siasa wanalazimishwa kwenda kuapa Halmashauri ambako ni mbali na maeneo wanayotoka

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo, Alhamisi Oktoba 10.2024, Dar es Salaam amesema kuwa mawakala wanalazimishwa kufika kwenye ofisi za Halmashauri husika ili kuapa suala ambalo wengi hushindwa kutokana na umbali uliopo kati ya Halmashauri na maeneo wanayotoka...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Dkt Nchimbi awahakikishia wananchi wa Tinde kuongezewa kituo cha Afya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Tinde Shinyanga amemuagiza Waziri wa Tamisemi kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025 ahakikishe Moja ya maeneo yenye uhitaji wa Kituo cha Afya kiwe kimejengwa ili kurahisisha huduma kwa jamii. "Kuna...
  7. KIXI

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya uchaguzi wa Mchumba

    Mimi ni kijana nikiishi Mkoa X, ambapo nilikuwa na mchumba ambaye tulibahatika kupata mtoto. Sote tulikuwa na ajira , lakini maisha yakaelekea tofauti, na hatimaye tukakutana na changamoto ambazo zilitupelekea kuachana. Baada ya kuachana, mchumba wangu alielezea haja ya kuishi kwangu kwa muda...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Marekani: FBI yamkamata mwanaume mmoja aliyekuwa akipanga shambulio kubwa siku ya uchaguzi

    Wizara ya Sheria nchini Marekani ilisema siku ya Jumanne kuwa FBI imekamata mwanaume mmoja kutoka Afghanistan ambaye maafisa wa usalalma wanasema alihamasishwa na kundi la wanamgambo la Islamic State na kwamba alikuwa akipanga shambulio la Siku ya Uchaguzi lililolenga umati mkubwa wa watu nchini...
  9. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuna chama hapa nchini kinahaha wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa!

    Juzi nimepigiwa simu na jirani yangu akiniomba nitaje jina langu liandikwe na CHAMA fulani ili niandikwe kwa watakaowapigia kura CHAMA hicho. Binafsi nilimjibu kuwa mimi ni mtu mzima mwenye akili timamu kamwe sitarubuniwa. Naona hicho CHAMA kinahaha naona wana hali ngumu kipindi hiki.
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Trump akishindwa Uchaguzi, naweza kufungwa na Democrats

    https://x.com/dogeofficialceo/status/1843382048767258909?t=snaDQf8FVMrm5Dx2zKuZzw&s=19 Elon anacheka lakini ni ukweli. Ikiwa Trump atashindwa, Elon ataishia kushtakiwa na kupigania maisha yake. Hiyo ndiyo gharama ya kujaribu uhuru wa kujieleza. Bodi za makampuni yake zinaweza kumwondoa kwa kuwa...
  11. Removers

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 TAMISEMI na kampeni za Uchaguzi

    Hii imekaaje , Tamisemi na kampeni ? Ambapo ukizingatia ndio msimamizi wa uchaguzi. Soma Pia: Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa
  12. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huu ni uchaguzi au ni kiini macho tu? Toka 1995 mpaka 2025.( Miaka 30)

    Tume ya uchaguzi ipo chini ya CHAMA x Mwenye kiti wa tume ni mteule wa CHAMA x Wasimamizi wa uchaguzi ni wajumbe wa CHAMA x Polisi wanaosimamia uchaguzi ni wa CHAMA x Usalama wa taifa upo upande wa CHAMA x Bajeti ya uchaguzi inatolewa na CHAMA x Vifaaa na vyombo vya usafiri kwa ajili ya...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wasanii watumike kampeni Uchaguzi Serikali za mitaa

    Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema: Kanuni za Uchaguzi 2024 ni za Kihuni, Hatuwezi Kususa, Kamati Kuu Imeazimia Kupambana na Kushinda Uchaguzi

    Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Akidai kuwa kama CHADEMA wapo tayari kupambana na...
  15. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tume ya Madini ni lini Vyama vya Wachimbaji Madini (FEMATA) vitafanya uchaguzi wa viongozi wake?

    Vyama vya Wachimbaji Madini (FEMATA) vitafanya uchaguzi wa viongozi wake lini? Ikiwa kuna mtu mwenye katiba ya FEMATA, tafadhali igawanye ili watu wengine waweze kupata taarifa muhimu kuhusu taratibu na kanuni za uchaguzi. Ni faida zipi za FEMATA kwa wachimbaji wadogo? Chama hiki kinawasaidiaje...
  16. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam, ni wakati muafaka kuitokomeza CCM katika uchaguzi wa serikali ya mitaa kutokana na kero ya maji.

    Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nafasi ya Urais: Dkt. Samia atashinda uchaguzi huu. Ni Wabunge gani wa CCM wana uwezekano mkubwa kutetea viti vyao Bungeni 2025?

    Nia na dhamira yake njema kwa waTanzania, Record yake nzuri ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kijamii, kisiasa, Kitaifa na kimataifa ndani ya muda mfupi sana, ndiyo inambeba zaidi Dr.Samia Suluhu Hassan, na kumuhakikishia ushindi wa kishindo wa urais 2025, atakapogombea nafasi hiyo ya juu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kufanya uchaguzi mzuri wa chuo

    Jamani naomba kuuliza juu ya chuo Cha CBE Dodoma ni kizuri Kwa mandhari na vp kuhusu elimu au taaluma inayotolewa pia nishaurini chochote juu ya chuo hiko, manake nimechaguliwa IT CBE Dodoma, na Marketing CBE DAR Niende wapi?
  19. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hayati Magufuli alishinda uchaguzi 2020, vijana jitokezeni kujiandikisha na kupiga kura

    Habari JF, Linapokuja suala la kuchagua viongozi vijana wengi tunakuwa bize na kazi, hatujiandikishi, hatupigi kura ,sababu kubwa ni kwamba ya ubize ,umbali wa vituo walivyojiandikisha na kura yake haiwezi badili chochote CCM itashinda. 2020 ukiachana na upande wa ubunge ambako hayati Magufuli...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Kachukueni fomu mapema, msisubiri tarehe 1 itakula kwenu "Tuwe Wajeuri, Watu Jeuri Watashinda Uchaguzi”

    Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Lissu amewataka Watia nia...
Back
Top Bottom