uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. LGE2024 Mchengerwa: Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi

    https://www.youtube.com/live/hM2imb4c6lE?si=k17W_0YvvGSkfLRI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waweke pingamizi...
  2. Kwa Matokeo ya uchaguzi wa leo Marekani, naamini kuwa mwaka 2020 Trump aliibiwa kura zake kama alivyodai

    Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo: 2008: Obama alipata kura milioni 69 2012: Obama alipata kura milioni 65 2016: Hillary alipata kura milioni 65 2020: Joe Biden alipata kura MILIONI 81 2024: Kamala Harris amepata kura milioni 66 Hii ya Joe...
  3. J

    CHADEMA isijifiche katika uchaguzi wa Marekani, Lissu aeleza madhaifu yao

    CHADEMA ISIJIFICHE KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, LISSU AELEZA MADHAIFU YAO Uchaguzi wa Marekani kwa sehemu kubwa unahusu maslahi ya Marekani. Wamarekani hawapigi kura kwa maslahi ya taifa au watu wa taifa jingine. Kuna kamjadala kaovyo kidogo kututoa katika mstari wa kujadili mambo yetu! Trump...
  4. Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, Waandishi wa habari wekeni pembeni mapenzi yenu kwa vyama vya siasa

    Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, waandishi wa habari nchini wametakiwa kujiweka mbali na mapenzi ya chama chochote cha siasa ili waweze kufanya kazi bila kukutana na changamoto. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF)...
  5. Uchaguzi wa Marekani ni uthibitisho wa Ubaguzi hautoisha duniani

    Wamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza. Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye weusi .Naamini wale manguli weupe kama Trump, Elon Musk bado wanaamini wao...
  6. Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?

    Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden. That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti...
  7. Q

    LGE2024 Media za Tanzania wanafiki sana, zimekesha kuripoti uchaguzi wa Marekani lakini hazina habari na uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu. Mzee wa...
  8. Unyutro wa Mtandao wa Twitter/X wazidi kuzorota siku ya uchaguzi

    Mtandao wa Twitter/X ndio jukwaa maarufu zaidi na pendwa la kimtandao kwa miaka mingi ya hivi karibuni katika kutoa taarifa za mambo ya siasa, katika uchaguzi huu wa Marekani unaondelea wadau wa Democrats wanalalamika X kumbeba Trump na kukandamiza taarifa zao leo siku ya uchaguzi. Leo siku ya...
  9. Uchaguzi wa Marekani: Tupia kituko ambacho kingekuwa kimetokea kama kinavyotokeaga huko nchini Afghanstan

    Mawakala wa Trump wametolewa nje ya vyumba vya kupigia kura huko jimboni Maryland Endelea…
  10. Nilitegemea kukura (live) special thread ya uchaguzi mkuu wa marekani.

    Badala yake ni nyuzi za kugogeana mademu huko afrika ya kati. Kina Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji Yoda na Kiranga sijui mnaishi marekani ya wapi!!
  11. Wamarekani wanawezaje kufanya uchaguzi bila purukushani za polisi?

    Inawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa kuzuiwa kama ambavyo huwa inatokea katika nchi ndogo za Africa? Japo kipindi hiki Trump anaweza...
  12. Donald Trump atamshinda Kamala Haris kwa mbali sana Uchaguzi Mkuu Marekani

    Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu. Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided. Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia...
  13. B

    LGE2024 Uchafuzi wa Uchaguzi wa TAMISEMI 2024 umeuzidi ule wa Magufuli wa 2019

    04 November 2024 Mfano daftari la mkaazi la mtaa lilifungwa likiwa na watu 138 lakini leo tunapokwenda kuelekea kampeni kwa ajili ya uchaguzi idadi inasoma 738 katika kuta za matangazo , hii ina maana msimamizi msaidizi uchaguzi ameongeza watu 600. Hii idadi ya ziada ya watu hewa inakwenda...
  14. B

    Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa

    Uchaguzi wa rais wa nchini Marekani ni tofauti sana na chaguzi za nchi nyingine duniani Kura wanazopiga wananchi hata mgombea wa urais akishindi kwa wingi wa kura hizo hazimuingizi moja kwa moja mshindi huyo madarakani Kwa kawaida nchini Marekani (USA) uchaguzi wa kumchagua rais wa nchi hiyo...
  15. Tetesi: TBC1 kuripoti live MATOKEO uchaguzi Mkuu Marekani

    Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
  16. Kuna maisha baada ya uchaguzi

    📖Mhadhara (55)✍️ Waswahili husema; "Mungu hakupi vyote na wala hakunyimi vyote". Hivyo sina budi kusema watanzania hawakunyimwa amani, upendo, na utulivu. Mwaka 2024 & 2025 watanzania wanatarajia kufanya uchaguzi mdogo na uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wao wa kisiasa. Ni kipindi ambacho...
  17. LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  18. S

    LGE2024 Tundu Lissu mbinafsi, hajajiandikisha kupiga kura awapigie wengine lakini 2025 atataka watu wampigie kura

    Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio...
  19. LGE2024 Chadema kitashinda uchaguzi wa mitaa? Lissu anatumia muda mwingi akiponda raha Belgium, hajishughulishi na lolote

    Nadhani chama kimekata tamaa, kimegawanyika. Nadhani sasa vyama vingine vizibe ombwe hili. Wenzetu wakija kuchochea vurugu, uharibifu wa amani, wana pa kukimbilia, kwa wajomba zao Canada na Ulaya, sisi kwetu ni hapahapa, tupatunze
  20. Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…