uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Msanii

    Nani aliwaleta polisi katika uchaguzi wa BAWACHA

    Miaka yote tumwona na kusikia CHADEMA ikipiga kelele dhidi ya serikali kutumia polisi kwenye chaguzi mbalimbali za Taifa letu. Fafanuzi mbalimbali kutoka kwa viongozi waandamizi wa CHADEMA namna chaguzi za kitaifa zinavyovurugwa na jeshi hili lililojaa makamanda wasio na utu yaani wajaa laana...
  2. MamaSamia2025

    Napendekeza Nape na Makamba waongezwe kwenye timu ya wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA

    Hii ni kwa sababu wao kama wanaCCM hawana upande wowote ndani ya CHADEMA hivyo itazuia malalamiko yoyote toka kambi ya Lissu au Mbowe. Nape na Makamba ni wazoefu wa mambo ya uchaguzi hivyo watawasaidia sana wenzetu wa CHADEMA kwenye uchaguzi wao hasa kwenye kuhakikisha usalama wa kura. CHADEMA...
  3. B

    Ukweli mchungu, "Nchi nzima itasimama leo kufuatilia Mdahalo, uchaguzi mkuu Chadema." Hasubiri mtu kusimuliwa!

    Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu: Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila kuwasahau wenye kumshikilia Daktari Slaa korokoroni kwa amri zao. Haina shaka Mwamba japo kala kona kwa...
  4. Valencia_UPV

    PreGE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

    Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020. Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  5. F

    Nimefurahishwa sana na Uchaguzi wa BAWACHA Taifa

    Nimefurahishwa sana na uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bawacha. Kwa kweli unaonyesha ukomavu wa Baraza hilo maana wagombea wote wanastahili hiyo nafasi. Baada ya uchafuzi unaoendelea katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hawa wakina mama wanaleta matumaini. Amandla...
  6. D

    Kuna jambo silielewi uchaguzi huu wa CHADEMA

    Haki ya Kugombea imetolewa kwa Kila aliye na nia. Nafasi ya uenyekiti kwa mfano, Kila aliyeweka nia amepewa fomu na atagombea kutafuta kura za wanachama. Sasa hili shinikizo la Mbowe jitoe, Mbowe hutoshi, Mbowe hutakiwi, Mbowe muachie Fulani LINATOKA WAPI? Kama wote wamegombea, na maamuzi ni...
  7. Ojuolegbha

    Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa

    Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa. Lengo lilikuwa ni Kuongeza eneo lenye miundombinu mpaka kufikia hekta 1,200,000 ifikapo mwaka 2025 Ambapo hadi mwaka 2024 Eneo la umwagiliaji...
  8. milele amina

    Iwapo Lissu atashinda Uchaguzi, Makao Makuu ya CHADEMA yatahamishiwa Ubelgiji?

    Utangulizi Katika kipindi ambacho Tanzania inajiandaa kwa uchaguzi, mawazo na hisia mbalimbali zinatawala miongoni mwa wafuasi wa vyama vya siasa. Miongoni mwa wagombea wanaotajwa kuwa na nafasi kubwa ya kushinda ni Freeman Mbowe na Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
  9. Trubarg

    Je, hakuna Sheria inayoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi?

    Nchi za wenzetu wanasheria zinazoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi ili kuweka fairness. Najaribu kujiuliza hili Kwa Tanzania lipo, au kila MTU anatuma kadiri awezavyo. Hivi karibuni CCM ilishusha bus ya Yutong karibu hamsini, wakati huo huo kunachama ata Ofisi hakina. JE hapa fairness...
  10. Mbangaizaji wa Taifa

    UCHAGUZI CHADEMA: Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe

    === Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe. Kwaakili hii Mbowe na Wenje wameshashindwa huu Uchaguzi Kwa lugha nyepesi Heche na Lissu hawajapewa tuhuma yoyote hivyo ni watu safi wachaguliwe.
  11. Gemini AI

    PreGE2025 Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amenukuliwa akisema "Kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi, yeyote anayesema hakuna tatizo anatudanganya, kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi na rushwa ya uchaguzi ya...
  12. Mayu

    CHADEMA inakuwa EXPOSED sana uchaguzi huu, Yajayo yanahuzunisha

    Ni rahisi sana KUIHUBIRI Demokrasia lakini ni ngumu sana kuiishi Kuna watu ndani ya CDM ni WAZURI sana wakiwa WANAONEWA kidemokrasia lakini ni wa HOVYO sana wanapotakiwa kui PRACTICE demokrasia Nahakika Malisa tunayemjua akikutana na Malisa aliyefanya press watashikana mashati Kibaya zaidi ni...
  13. M

    Vyama rafiki vinasemaje uchaguzi ndani ya CHADEMA? Msiwe kimya

    Wasalaam, Ee ni vyama rafiki ndiyo. ACT, Cuf, Chauma, Nccr mageuzi na vingine. Unaelewa kuwa huko chadema moto unawaka? Mbona hawajotokezi hata kutoa fursa za kuwapokea wanachama wapya watakao kumbwa na kadhia ya uchaguzi. Lipumba, Zitto, sipunda, Mbatia msiwe kimya toeni maoni yenu yanaweza...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Tundu Lissu: Pesa za jana zilitoka wapi?, alizodakwa nazo mjumbe Uchaguzi wa BAVICHA

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji; "Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia vitendo vya rushwa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA" Soma, Pia: • Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa...
  15. F

    Lissu amechangamsha CHAMA, ni kama ilivyokuwa uchaguzi 2020, na hicho ndicho awezacho, apewe maua yake lakini sio kuwa kiongozi mkuu wa CHAMA

    Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi. Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni? Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu...
  16. S

    Uchaguzi wa CHADEMA umethibitisha utafti wangu kwamba binadamu ni kipofu ingawa ana macho

    Mimi siyo mwanasiasa! Kwa wale wasionijua niwafahamishe tu mimi ni Fundi umeme na ujenzi natambulika popote kama chata la fundi SAMICO! Uchaguzi wa CHADEMA umenifanya nimtafakari sana binadamu! Ndipo nikakumbuka moja utafti wangu nilioufanya kipindi niko nachunga ng'ombe huko Hanang...
  17. R

    Tundu Lisu akishinda uchaguzi chadema watabaki Chadema, akishindwa wafuasi wake watahama chama kwani hawana uvumilivu

    Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
  18. Nyani Ngabu

    Uchaguzi wa CHADEMA 2025 na uchaguzi wa TLS 2017

    I don’t have a dog in the fight, but I’m starting to see similar kind of vibes between 2017 and 2025 in relation to Tundu Lisu. Mwaka 2017 Lisu aligombea urais wa TLS. Kabla ya uchaguzi huo, washabiki wa Lisu walikuwa vocal sana, hususan humu mitandaoni. Ilikuwa huwaelezi kitu kuhusu huyo...
  19. comte

    Uchaguzi wa CHADEMA unaakisi uchaguzi wa Harris Kamala na Trump utaisha kama sinema

    https://www.yahoo.com/news/american-battleground-single-state-took-120042230.html
  20. Lord Denning

    Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
Back
Top Bottom