uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo acheni uduwanzi wa kisiasa. Kama mlitambua tume ya uchaguzi ni batili na haiko huru mliingia kwenye uchaguzi ili iweje?

    Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74. Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani. Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Othman Masoud: Hakukuwa na Uchaguzi 2025, Vyombo vya dola kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi na CCM viliamua nani awe Mshindi

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud Othman, amesema kuwa kile kilichofanyika nchini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 haikuwa uchaguzi, bali ilikuwa ni "upangaji wa matokeo" uliosukwa na vyombo vya dola, Tume ya Uchaguzi pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana Wadanganywa Ghasia za Uchaguzi 2025

    Uchunguzi wa Tume umebaini kuwa vijana wengi walidanganywa na kushawishiwa kushiriki ghasia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia mitandao ya kijamii kueneza kauli na picha za uwongo ili kuibua hasira zao. Vijana waliaminiwa kuwa wanalinda haki...
  4. JamiiForums Tanzania Uharibifu wa Kiuchumi Baada ya Uchaguzi 2025 Wafichuliwa

    Tume ya Uchunguzi ilibaini kuwa ghasia zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zilisababisha hasara kubwa ya kiuchumi. Uharibifu wa mali, biashara na miundombinu ulisababisha kupungua kwa shughuli za kiuchumi na kuchelewesha maendeleo ya taifa kwa miaka kadhaa. Ripoti...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kagame :" Rais wa Congo hakushinda uchaguzi huru" Kwa hii milio PK kashikwa pabaya na Félix Tshisekedi ?

    https://www.youtube.com/watch?v=oRSdtN4PaWI “Mnajua jinsi rais wa sasa alivyoingia madarakani? Aliitwa tu ofisini, na huyu mtu akadhani anafanya makubaliano mazuri, akaikabidhi mamlaka. Pia mnajua kwamba kulikuwa na mashahidi, marais wa nchi mbalimbali? Mnajua hilo? Mmoja wao akiwa rais wa...
  6. JamiiForums Tanzania Jaji Mwambegele umeshusha hadhi ya Ujaji na tume yako ya Uchaguzi-Jaji Warioba asema matokeo ya uchaguzi ni FAKE!

    Kwa kule ninakotoka watu husimamia misimamo ya UKWELI NA UWAZI. Huyu ndugu yetu Jaji Mwambegele katushushia heshima watu wa Mbeya-Tukuyu. Nakubaliana na Jaji Warioba, Jaji Mwambegele kajivunia heshima, kama Jaji Chande.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa magari, nichukue gari gani kati ya Toyota IST, Rush, Ractis, Raum au Spacio?

    Habari wapendwa, nichukue gari gani kati ya Toyota IST,Rush, Ractis,Raum au Spacio,..apo nazungumzia upande wa upatikanaji wa spaire zake na service
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ivory Coast Yaivunja Tume ya Uchaguzi Baada ya Shinikizo la Wapinzani

    Serikali ya Ivory Coast imevunja Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) baada ya malalamiko ya muda mrefu na kutoka kwa wapinzani kuhusu jinsi chombo hicho kinavyoendesha chaguzi nchini humo. Hayo yamesemwa na msemaji wa serikali, Amadou Coulibaly, siku ya Jumatano. Coulibaly aliuambia mkutano na...
  9. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Wananchi Wafichua Ukweli wa Uchaguzi

    Tume ilipata ushahidi mkubwa kutoka kwa wananchi wa kawaida ambao walikuwa karibu na matukio. Walifichua kwa uwazi matukio ya kabla, wakati na baada ya uchaguzi na kutoa picha halisi ya yaliyotokea nchini. #UshahidiWaWananchi #TumeYaUchunguziReport Uwajibikaji Wa Haki
  10. JamiiForums Tanzania Huyu ndo balozi mtarajiwa wa Marekani nchini Tanzania….

    Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump. Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉. Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Je 2030 CCM itaingia tena kwenye uchaguzi bila Chadema???

    Uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi ambao binafsi sitokuja niusahau. Kwani ni uchaguzi ambao CCM walipata pigo, na aibu ya Karne. Kwa miaka mingi CCM wamekuwa wakiiba kura za wapinzani, kitendo Cha Strong opposition party kushiriki uchaguzi kilikuwa ni faida Kwa CCM, kwani turnover ya wapiga kura...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Uchaguzi ulikuwa na matatizo, tusingeshiriki huo uchaguzi usingejadiliwa leo

    Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema uchaguzi mkuu wa 2025 ulikuwa na matatizo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Washiriki wa ghasia walibeba silaha mbalimbali jambo ambalo haliruhusiwi kisheria kwenye maandamano ya amani

    .......tatu, washiriki wa ghasia za wakati na baada ya uchaguzi mkuu walibeba silaha za aina mbalimbali, zikiwemo mawe, nondo, mkuki, sururu, fimbo, marungu, visu, vibiriti, vipulizi, bunduki, manati, kombeo, rato, mapanga; jambo ambalo haliruhusiwi kisheria katika maandamano ya amani. Hii ni...
  15. JamiiForums Tanzania Chadema ni wa MOTO Balaa CCM kazi wanayo uwanja wa uchaguzi ukiwa huru

    Guys guys Imagine hapa TAL Bado yupo jela lakini mwitikio bado ni mkubwa na unatisha hatari wamedhibitisha kweli ni chama kikuu Tanzania. Sipati picha Lissu awe huru hii chadema iko na MOTO 100 times kabla ya kufungiwa na baadhi wa wa mbunge wa CCM waanze kujitafakari mapema kama wataendelea...
  16. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi ungekuwa wa Haki tusingekuwa na tume za michongo hivi

    Mama Samia ataunda tume kila siku bila haki ni kazi bure matatizo hayataisha kwa tume za michongo na kukusanya makada ambao ni machawa. Kama unataka kusaidia hii nchi ni kuweka katiba ambayo imeundwa kitaalamu na kuzungatia jamii zetu zote na uchumi. Uchumi inahitaji uwekezaji na uwekezaji...
  17. JamiiForums Tanzania Malalamiko Katika Kura za Maoni kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Isimani, Iringa

    Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika kura za maoni za uteuzi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na malalamiko wakidai kutoridhishwa na mchakato uliotumika kuwashindanisha wagombea hao. Wajumbe hao wamesema kuwa kuna viashiria vinavyoibua wasiwasi juu...
  18. JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Katiba Mpya ipatikane hadi ifikapo 2028. Uchaguzi wa 2030 tuwe na Katiba Mpya

    Ameyasema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam ambapo Tume hiyo imetoa mapendekezo yake Mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande Serikali kuweka...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  20. JamiiForums Tanzania Ghasia na Wizi Uchaguzi Mkuu 2025: Ukweli wa Oktoba 29

    JAJI CHANDE ◾️Kuzuia na kuvuruga uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025 ◾️Waliharibu vituo vya kupiga kura na kushambulia mawakala na mali za wananchi waliojitokeza kupiga kura ◾️waratibu wa ghasi walitumia malalamiko ya wananchi dhidi ya serikali wakati wanawashawishi ◾️wafanya gahasia walikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…