Kuna mavyama mengine yapo kimkakati nimeamini,
Laiti kama ACT na CHADEMA Wangesusia uchaguzi sidhani kama CCM ingeingia uchaguzi na vile vyama hewa 16, ingekua ni aibu dunia nzima maana idadi ya wapiga kura mwaka huu ingekua ni kituko cha karne!
Imagine vyama vyote vingesusia uchaguzi, CCM na...