uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. funaku

    Kingereza kingi na presentation nyingi kwenye makongamano ya Ulaya sio hoja ya kuzuia uchaguzi!

    Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi . Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu. Acheni utoto !
  2. K

    Ninayoyaona wakati wa Uchaguzi yakitokea

    (1)Naona vurugu kila mahara hapa Tanzania,huku watu wakipambana na polisi (2)Naona Vurugu kubwa kwenye miji ya Mbeya,Mwanza,Iringa Moshi,Mara na mingineyo (3)Naona wale Viongozi waliokuwa wa Chedema wakiwa katika wakati mbaya kabisa nyumba zao zikichomwa moto (4)Hali imekuwa ngumu ndani ya...
  3. Genius Man

    Uchaguzi ni wa watanzania na wanayo haki ya kufanya mabadiliko yoyote pale panapohitajika huu sio uchaguzi wa samia wala wa mtu mmoja

    Tutalazimisha mabadiliko yafanyike kwani huu uchaguzi sio wa samia wala wa nani, uchaguzi ni wa watanzania wote lazima tuongee lugha moja ndio uchaguzi ufanyike kwa haki hakuna haki kama mtu mmoja hajiamulie vitu kutoka chumbani kwamba uchaguzi uwe hivi au uwe vile bila wengine kutaka.
  4. SankaraBoukaka

    Msomi Unapataje Muda wa Kulumbana na Wanasiasa? Heche Yuko Sahihi. Tunazalisha Mabingwa wa Kukariri

    Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka. Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika. Na...
  5. Manyanza

    Majibu ya CHATGPT : Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA?

    Swali lako linaelekea kwenye mada nyeti ya kisiasa nchini Tanzania, na linahitaji kutazamwa kwa umakini, kwa kuzingatia ukweli, muktadha wa kihistoria, na mitazamo tofauti. Kwa nini watu wengine wanasema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA? Hapa kuna sababu...
  6. Genius Man

    PreGE2025 Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli

    Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli. Hatuwezi kushiriki uchaguzi ukawa wa haki ikiwa hata maamuzi ya uchaguzi ufanyike vipi umeegemea tu upande mmoja, kama ni haki na huru twende tukafanye mabadiliko kwa...
  7. I

    Kuundwa kwa majimbo mapya ya uchaguzi ni kuboresha demokrasia na maendeleo ya kijamii

    🔹. Kuongeza uwakilishi – Wananchi wengi zaidi wanapata wawakilishi wa karibu wanaojua changamoto zao. 🔹. Kuhamasisha ushiriki wa wananchi – Inarahisisha wananchi kushiriki katika uchaguzi na masuala ya maendeleo. 🔹. Kusogeza huduma karibu – Majimbo mapya hurahisisha upatikanaji wa huduma za...
  8. and 998 others

    CCM kushinda uchaguzi Mkuu kwa 98%

    1. Ilani imetekelezwa kwa 100%, 2. Uongozi thabiti, 3. Amani imetawala.
  9. A

    PreGE2025 POTOSHI Mbunge aomba barabara ya lami, ajibiwa ni muda wa kuaga kuelekea uchaguzi na si kuomba barabara

    Born-town wanamcheka mwenzao anayeulizia Barabara Bunge hili. Kwa kumkumbusha biashara ya kujali wananchi ilishaisha kitambo! Aisee nawahurumia watakaoenda kupanga folen tena.
  10. JanguKamaJangu

    Mozah Ally: Nimeondoka CHADEMA sababu hatuwezi kujinasibu tutazuia Uchaguzi halafu hatuingii kwenye vyombo vya maamuzi

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, Moza Ally, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya CHADEMA, akilalamikia ukosefu wa mwelekeo wa kisiasa ndani ya chama hicho na kukosekana kwa mkakati wa wazi kuhusu ushiriki kwenye uchaguzi mkuu...
  11. L

    PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa: Uingiliaji wa Kipindi cha Uchaguzi na Umuhimu wa 'No Reforms, No Elections

    Kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa na Uingiliaji wake Kipindi cha Uchaguzi Wakuu, ni wazi kwamba tunapokaribia uchaguzi, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu jinsi Msajili wa Vyama vya Siasa anavyoingilia kazi za vyama, hasa vya upinzani. Kulingana na Sheria ya Vyama vya Siasa (Cap 258 R.E 2019), Msajili...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Waziri Damas Ndumbaro awataka wanasiasa wote kuheshimu na kulinda katiba ya Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Wanasiasa wote nchini kutoka vyama vyote vya siasa kuhakikisha wanalinda na kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2025...
  13. Benson Mramba

    PreGE2025 Spika Tulia: Mwaka huu wa Uchaguzi hatuko tayari kwenda mbinguni

    Na mimi nimeungana kucheka na waombolezaji wengine kwa kweli. Nilivyoelewa ni kwamba kipindi hiki cha Uchaguzi Mungu wanamuweka pembeni kwanza wakati huo huo wanawaambia viongozi wa dini ombeeni Uchaguzi. Haya ngoja tuone yafuatayo sasa kwenye uchaguzi huu baada ya kauli hiyo ya Spika wa...
  14. N

    Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
  15. Petro E. Mselewa

    Yafahamu Majimbo 8 mapya ya uchaguzi na majimbo 12 yaliyobadilishwa majina

    Majimbo Mapya 1. Mkoani Dar es Salaam-majimbo 2 (a) Jimbo la Kivule lililogawanywa kutoka Jimbo la Ukonga (b) Jimbo la Chamazi lililogawanywa kutoka Jimbo la Mbagala 2. Mkoa wa Dodoma-jimbo 1 Jimbo la Mtumba lililogawanywa kutoka Jimbo la Dodoma Mjini 3. Mkoa wa Simiyu-jimbo 1 Jimbo la Bariadi...
  16. SankaraBoukaka

    Demokrasia ni Kichaka cha Unyonyaji na Kura ni silaha ya Umaskini.

    Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu, ukweli ni kwamba demokrasia mara nyingi hutumika kuhalalisha mfumo kandamizi unaowafaidisha wachache na...
  17. A

    PreGE2025 Tumuombe radhi Askofu Maimbo wa Anglikana kwa kupotosha kauli yake kuhusu kufanyika kwa Uchaguzi

    Ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba Radhi Askofu wa Anglikana Maimbo na pia kumtaka Naibu Waziri Mkuu kumuomba radhi Askofu Maimbo kwa kutomjibu kikamilifu, hivyo kupotosha msimamo wa Kanisa la Anglikana juu ya uchaguzi wa octoba 2025. Na pia ningependa kumpongeza Spika Kwa kumjibu...
  18. M

    PreGE2025 Utabiri; Uchaguzi hautafanyika Oktoba, sababu kuu ni hizi

    Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi, 1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini. 2. Kanisa la...
  19. Inside10

    Askofu Anglikana Maimbo Mdolwa:TUsifike Mahala Tukahairisha Uchaguzi Mkuu, Kuhairisha Uchaguzi Kutaliingiza Taifa Kwenye Machafuko.

    https://www.instagram.com/p/DJgg6_7t1Ud/?igsh=YXB5bXd6MDNwajgz My take: hiyo ni kauli ya askofu mkuu wa anglikana Tanzania
  20. N

    Maandamano makubwa nchini yananukia...

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza. Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima...
Back
Top Bottom