uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. D

    I love ccm Sana ila they are walking blindly. thinking they are too big fail. it's not good

    I will be short kuna theory inasema " NOTHING IS TO BIG TO FAIL" ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently. so to stay in power you have to innovate and improve every single day...
  2. Just Pray

    PreGE2025 Heche: CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi watuibie sisi tumekataa, Inawezekanaje Haji Manara awe refa mechi ya Simba na Yanga?

    "Inawezekanaje mechi inachezwa kati ya Simba na Yanga alafu refa ni Haji Manara? Yaani mtu atachezewa faulo katikati yeye atapeleka kwenye penati wakati hata hakuchezewa kwenye box. Au mshika kibendera ni Ahmed Ally, offside zote atasema ni magoli. CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi...
  3. Idugunde

    Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
  4. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yatoa wito kwa tume huru ya uchaguzi kuondoa zuio na utayari wa chama kushiriki uchaguzi mkuu 2025

  5. funaku

    Uchaguzi wa mwaka 2000 Chadema haikuwa na mgombea Urais

    Hii ni kumbukumbu kwa vijana wa 2000
  6. Just Pray

    PreGE2025 Askofu Bagonza: Mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote, Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?

    Wakuu Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook == Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii? Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
  7. A

    Mtu aliyejitoa tayari kwenye Uchaguzi anakuwaje Threat kwako. Kwanini uhangaike nae?

    Mshindani aliyejiondoa kwenye Uchaguzi ujao, kwa lugha ya kisasa mnasema "ameweka mpira kwapani" Yanini akusumbue.....kwanini usiachane nae? Kwasababu amekuwa si mshindani wako tena. Naomba niwe straight tu. CCM kwenye uchaguzi ujao ina mteremko.....nasema hivi nikiamini uchaguzi lazima...
  8. Hismastersvoice

    Uchaguzi ujao hauna maana kwa haya ninayoyaona mitaani

    Huku mitaani kuna viongozi wa CCM wanatembea na mafungu ya vitambulisho vipya vya wapiga kura, vitambulisho hivi ni vinavyotengenezwa kinyume na utaratibu na siyo kutengenezewa, hapa mamlaka husika na vitambulisho zinahusika.
  9. Just Pray

    PreGE2025 Maoni ya Wananchi post ya St Bongo Instagram iliyohoji 'Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu?

    Wakuu, Katika pitapita zangu mjini Instagram nimekutana na hii post ya St Bongo TV inayohoji, Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu? Na haya ni majibu ya baadhi ya wanamioto
  10. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Heche asema wamemuandikia barua Mwenyekiti Tume ya uchaguzi wakiomba mazungumzo

  11. M

    Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, naomba tukubali mabadiliko.

    Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike...
  12. W

    PreGE2025 RC Andengenye asisitiza kulinda amani ya Taifa kipindi hiki cha uchaguzi

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye, ametoa wito kwa viongozi wa dini, vyombo vya habari na asasi za kiraia kushiriki kikamilifu katika kutoa elimu ya uraia juu ya umuhimu wa kupiga kura na kudumisha amani katika kipindi hiki cha uchaguzi. Akizungumza katika harambee ya ujenzi wa Kanisa...
  13. S

    Siasa za mpira zimezikwa rasmi uwanja wa Amani, sasa tugeukie siasa za mabadiliko ya sheria za uchaguzi

    Moja ya mambo yanayorudisha nyuma mabadiliko ya kisiasa ni watu kufuatilia sana mambo ya mpira wa miguu. Simba angechukua kombe uko uwanja wa Aman, watu wangeongelea tukio hili kwa muda mrefu sana. Hakuna uwekezaji wa kutosha kuwezeaha kuchukua vikombe vya Afrika lkn tunaongea sana. Sasa...
  14. W

    PreGE2025 Heche: Ni aibu, mtu anayemkumbusha Rais kuhusu 4R kuitwa mhaini

    John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura Aidha ameeleza kuwa ni aibu kwa mtu ambaye anapambania reforsm jambo ambalo pia ni miongoni mwa 4R za Rais eti anaitwa mhaini.
  15. Mganguzi

    Uchaguzi wa mwaka huu ni Mungu dhidi ya CCM, mpinzani mkuu wa CCM mwaka huu ni Mungu mwenyewe

    Huu si mwaka wa kushindana kwa namna ilivyozoeleka ,watu hawataki kushindana kwa hoja wala kukosolewa kama ilivyokuwa zamani ! Mamlaka ziko tayari kwa ajili ya kuilinda mamlaka ,ukiwa mgombea unatafsiriwa kama gaidi au mhaini ,wanataka ukiwa mpinzani wao wakufundishe na jinsi ya kuongea, nini...
  16. D

    ccm hata wakishinda uchaguzi, maana watashinda, hali imekuwa mbaya reputation imechafuka kabisa

    I will be short ccm wafanye tu reform, huko mbele mambo yatakuwa magumu zaidi, kila siku nakutana na bango jipya online. tanzania amani amna this is not good, once you allow external interference, you will cause more chaos and likely will cause more opposition funding ( divide and...
  17. Genius Man

    Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki

    Nitoe wito kwa Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki. Lazima tuwe waasi dhidi ya uovu, wizi na ufisadi ili tusonge mbele msifumbie macho suala hili kwa mchango wenu mnaweza kulisaidia...
  18. K

    Ramaphosa na Rutto wanajali nchi zao Samia drama za uchaguzi!!

    Raisi wa Africa ya kusini yupo USA ku nadi uwekezaji na kudumisha uwekezaji. Chama chake cha ukombozi kinashieikiana na chama cha africana wazungu ili kuweka nchi mbele ya matakwa binafsi. Ruto ameweka pembeni tofauti zake na Odinga na wameweka nchi mbele na wote walikuwa China kutafuta...
  19. Emilio Mzena

    Nini hatima ya timu za Namungo & Singida Black Stars baada ya Uchaguzi Mkuu?

    Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa. Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
  20. N

    CHADEMA kuelekeza wafuasi wao kuwapigia CCM kura Uchaguzi ujao!

    Mkakati unaendelea kupangwa hivyo kwa maana kuwa CHADEMA wanaona ni bora CCM waibuke na ushindi wa zaidi ya 95% ili kujustify hoja yao ya CCM kujipachika uongozini. Hili litazidisha vuguvugu kuonesha kuwa Uchaguzi haukuwa wa huru na wa haki hata kama Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi wataamua...
Back
Top Bottom