uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Crocodiletooth

    Chadema inapoomba kushiriki uchaguzi, huku ikiendeleza kampeni yake ya N. R. N. E, Tuielewaje?

    Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa? Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa, Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya...
  2. TODAYS

    Msimuonee Kiongozi Wetu Kisa Mnamuabudu Shetani!

    Naam... Kiongozi wao wa kidini anamtumikia shetani, wasimuingize kiongozi wetu wa kisiasa hapa ndg zangu. Nje ya box. Kuna kauli inatapanywa nchi nzima No Reform No Election. Naqnaza kuamini mwaka huu No Election, kwa sababu hiki kinachoendelea unadhani raia gani ataenda kupiga kura?. Hata...
  3. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Tanzania yasisitiza Uwazi na Uhuru Uchaguzi Mkuu 2025

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameyahakikishia mataifa mbalimbali ulimwenguni kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki, kwa mujibu wa sheria mpya za uchaguzi za mwaka 2024. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
  4. R

    Mimi kama Rais wa kijani nitasimamia reforms kwa miaka miwili ndipo tuingie kwenye uchaguzi mkuu 2027

    Hatuwezi Fanya uchaguzi Kwa kelele hizi zilizopo, Uminywaji wa haki ya kuchagua na kuchaguliwa utasababisha machafuko huko mbeleni na wananchi kukosa Imani na serikali!! Ni aibu kuona jeshi la polisi likizunguka kanisa na silaha za moto kana kwamba Kuna tishio la kigaidi!! Nitasimamia reforms...
  5. VERITE-NUE

    Vyombo vya habari kuwekewa ngumu kufatilia uchaguzi Burundi

    Toka jana, waandishi na watangazaji wengi nchini Burundi, wamekwama jijini Bujumbura. Lengo lao lilikuwa kufuatilia mchakato mzima wa uchaguzi. Chama tawala cha CNDD-FDD, kiligawa nchi na kupata majimbo 5 ya uchaguzi. Waandishi hao na watangazaji, kwa mjibu wa taratibu za chama tawala, CNDD-FDD...
  6. Kitimoto

    Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi Wanahujumu Chama na Serikali Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Wanachokifanya Chama cha soka nchini TFF na Bodi ya Ligi kuhusiana na mechi ya mkondo wa pili ya watani wa jadi Young Africans SC na Simba SC ni wazi wanatumika na baadhi ya wanasiasa kuhujumu uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ikumbukwe vilabu hivi vikubwa vina wanachama na mashabiki ambao wale wenye...
  7. Roving Journalist

    Prof. Lwaitama: Kama utaratibu wa CCM kupata Mgombea Urais umebadilika, Wananchi wanaweza kuahirisha Uchaguzi

    Akizungumzia dhana ya kuwa tarehe ya Uchaguzi Mkuu haiwezi kubadilika, Mdau wa Siasa, Profesa Azaveli Lwaitama amesema si kweli na kwamba tarehe inaweza kubadilika kwa sababu mbalimbali ikiwemo mlipuko wa ugonjwa au vita au Wananchi wakiamua iwe hivyo. Amesema hayo alipohojiwa na Haki TV ambapo...
  8. Roving Journalist

    Profesa Azaveli Lwaitama: 'Kuteka Watu Hakusaidii Kushinda Uchaguzi hata ukiifuta CHADEMA Haitasaidia'

    https://www.youtube.com/live/SnKA8e1XBWI
  9. Just Pray

    PreGE2025 CUF yatoa msimamo, haitaungana au kushirikiana na chama chochote uchaguzi mkuu 2025

    Wakuu Siku moja mara baada ya vyama 14 vya siasa nchini kutangaza rasmi kuunda umoja wao kuwa vitashiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Chama cha Wananchi CUF kimetangaza kutoungana na chama chochote cha siasa kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi yoyote ya uongozi.
  10. Dr Akili

    Hivi kama kweli wanawake wa chadema wakafanya hivi siku ya uchaguzi kama walivyoelekezws na Lissu, kipi kitatokea?

    Ikitokea siku ya uchaguzi mkuu hawa wanawake wa chadema wakafanya kama walivyoelekezwa na Tundu Lissu, kipi kitatokea? Watu wataogopa kwenda kupiga kura? Kutakuwa na mshike shike nguo kuchanika? Marijari watafurahia? Watabakwa? Watakamatwa na kushitakiwa kwa kosa la utupu na kufungwa jela miaka...
  11. B

    Kuzimwa kwa mtandao nchini, TCRA yapewa tahadhari kuelekea uchaguzi/ pin na TMC watoa tamko

    30 May 2025 Dar es Salaam https://m.youtube.com/watch?v=nUGKwZ44tlQ Tech & Media Covergency na PIN wazungumzia kuhusu changamoto za TEHAMA barani Africa huku mtandao wa X ukiwa umezimwa, na nchi mwenyeji wa mkutano huo wa wadau wa Barani Africa unafanyika Tanzania jijini Dar es Salaam. Wadau...
  12. Kekule Wa Benzene Ring

    PreGE2025 Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi

    Kwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi ( Election after election). Yule mgombea mwenza ni mhusika ambaye ameminywa kiintelijensia na kihesabu...
  13. Just Pray

    PreGE2025 Polisi yatoa onyo kali, yasema haitavumilia vurugu uchaguzi mkuu Oktoba

    Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu. Kauli hiyo...
  14. Mende mdudu

    Mkakati wa chadema kuzuia uchaguzi usipuuzwe

    Niende moja kwa moja kwenye mada mkakati wa chadema kupata sign za watanzania million 15. Unafikirisha kwa sisi tusio wavivu wa kufikiri, Kwa nn wanaitaji izo sign? ,kwa kumnufaisha nani?, kwa lengo lipi? Kwa nini wanaamin katika ajenda yao.? Nikaona niingie deep kufanya research fupi...
  15. Just Pray

    PreGE2025 BAWACHA: Tanzania haina demokrasia ya kweli, tupiganie mabadiliko, CHADEMA hatuogopi uchaguzi bali tunadai haki za wananchi

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria, akisisitiza kuwa bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, hakutakuwa na uchaguzi. Akihutubia wakazi...
  16. Fbn

    PreGE2025 Sasa kwanini Mtumie billioni 600 kufanya uchaguzi wakati ushijipa matokeo

    Hakuna hatua yoyote wala chombo chochote kinaweza kuhoji sasa. Yani nguvu kubwa mnayotumia kuteka wanaharakati,kudeal na lissu na wengine wanaouliza na sasa mnamatokeo.
  17. A

    Kwa hizi hotuba za Rais wetu, CHADEMA ni vyema mjiandae kimkakati kuelekea 2030, uchaguzi wa mwaka huu ni wazi hata kwa 0% hautakuwa wa huru na haki.

    Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90. Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani. Chadema mwaka huu...
  18. Parabolic

    PreGE2025 Tausi Likokola: Serikali iwajibike kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaoikosoa

    Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaokosoa Serikali. Sikiliza video yake hapo chini
  19. Tlaatlaah

    Kwanini CHADEMA kinaomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kukijumuisha Chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu wa kihistoa Oktoba 2025 sasa?

    Chadema wameungundua nini sasa hata kiwatume viongozi wa dini na jumuiya ya kimataifa kuwaomba tume huru ya Taifa ya uchaguzi kuijumuisha chadema kwenye mchakato wa uchaguzi uliosalia kwa maana ya kwamba chadema nayo iwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, hali ya kua chama hicho hakina sifa na...
  20. crome20

    Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu anakiri mifumo ya uchaguzi haiwezi kutoa haki lakini hawatasusia uchaguzi

    Nina swali kwake. Hivi hawaoni wakiungana na Chadema kutoshiriki uchaguzi mpaka mabadilko ya kweli yawepo ndio njia bora ya kushiniiza mabadiliko? Ni akil gani ya kuamini utashinda wakati unakiri kura zinaibiwa, wagombea wanaenguliwa kwa sababu zisizo za kikatiba. Haoni kushiriki uchaguzi ni...
Back
Top Bottom