Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
Baadhi ya viongozi nchini Tanzania wameanza kuchukua fomu za kugombea ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Miongoni mwa waliotangaza nia hiyo ni Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kugombea...
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Leo ndio Leo Tarehe 28/06/2025 Chama Cha mapinduzi(CCM) kimepuliza kipyenga chake Cha watia nia wa nafasi za Ubunge na Udiwani kupitia Cha hicho kuanza kuchukua fomu.Na hii inatoa fursa kwa wale ambao hawakujitangaza kwa kuogopa rugu la chama kuanza kampeni kabla,sasa ni Wakati wao huu wa kuweka...
Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi.
Hakuna uchaguzi bila mabadiliko bali maigizo.
Niwaslimu ndugu zangu na tuendelee kuuipa akili kazi.
Kuna TOFAUTI kati ya jibu na jawabu ,jibu ni maoni ya MTU kwa KADRI ya taarifa alizonazo na JAWABU ni uhalisia wa mambo bila kujali hali au mapokeo ya MTU husika (it's a fact based)
Sasa!!!
Watu wengi tunatamani majawabu Moyoni lakini...
Jamaa wamenyooka kama rula,pira limepigwa hakuna mbeleko sijui mzee sasa itakuwaje,Simba kachezea kipigo.
Hawa hata tukiwaleta wawe wasimamizi wa UCHAGUZI CDM mjiandae kutopata hata kiti kimoja hawana kulia Lia,hawataki kudeka piga kazi kama mama anavopiga kazi,kigongo busisi,bwawa la Mwl...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kimesitisha ziara za viongozi wake mbalimbali ili kupisha mchakato wa ndani wa CCM wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
Kama ni kweli tunaendeshwa na Tume ya taifa ya uchaguzi ISIYO HURU basi nipo pamoja na hiyo tume ya taifa I S I Y O H U R U.
Ngoja nieleweke vizuri hapa,
Yaani ni hivi:- kama ni kweli KUNA WATU WACHACHE wanaokaa mahali na kupanga nani awe rais na nani awe mbunge na wanafanikiwa basi...
Wakili Peter Madeleka amesema CHADEMA kupanga kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ni kupanga kufanya kosa la jinai, na kwamba ACT Wazalendo haiwezi kuunga mkono suala hilo.
Mahojiano ya One on One ambayo Shahidi wa Jamhuri Charles William amefanya na Wakili Madeleka yanapatikana pia katika...
Ila sisi watu weusi sijui tumelaaniwa yaani watu na akili zao wanaamua kuweka mfumo wa uchaguzi wa kinafki .
Halafu wanashupalia kichwa kwamba uchaguzi ni wa uhuru wa haki na kidemokrasia.
Yaliyofanyia TFF ni mambo ya ajabu sana , napo kuuli mbiu ya No Reforms No Election ifanyike haraka kwenye...
Siku zote bunge likivunjwa taratibu za uchaguzi zinaanza. Toka January mabunge yote mawili yalitoa ratiba zao. Bunge la wawakilishi lilitangaza kuwa litavunjwa tarehe 23 June, uku Tanzania bara likivunjwa tarehe 27june ili kupisha uchaguzi.
Cha kushangaza na kisikitisha Bunge la wawakilishi...
Ikiwa ni kweli wewe 👇
•Umefungua nchi kutoka kwenye ban za kutosha ,umeifanya iaminike kimataifa na Sasa tunakopesheka wakati wowote tunapohitaji,na umedhihirisha Hilo kwa vitendo na Sasa deni la taifa ni T 107.7 na bado ni stahimilivu.
•Umeleta 4R na umezitekeleza Kwa vitendo ukishirikiana na...
Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f
Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu....
Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
afrika
afrika mashariki
ccm
chadema
ethiopia
mashariki
mkutano
mkuu
mpango
saba
sababu
sababu za
sababu za kiusalama
siri
slaa
uchaguziuchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
wagombea
wanasheria
zanzibar
Hivi mmetumwa kujaribu upepo wa kisiasa?
CCM imechafuka kwa kila uchafu, utekaji , kurithishana madaraka, wizi, sakata la bandari, kubambikia watu kesi (Rejea kesi ya Lissu mpaka shahidi hajui kielelezo kilipo.
Leo hii hii uchguzi uwe huru na wa haki Rais Samia hawezi kumshinda Lissu.
Ole...
Salaam, Shalom!
Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine 😃
Unadhani kishindo chake kitakuwaje?
Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist
Mungu ibariki Nyikani.
Karibuni 🙏
Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ?
Nilimsikia kikwete anasema ukienda kupiga kura "za kuambiwa chanyanya na zako" pia alisema uchaguzi wa Kenya ni wa uwazi sana kiasi kwamba mtu anaweza...
Ni jambo la kushangaza, tena la kushangaza kwelikweli. Najiuliza iko wapi busara ya kiuongozi ya kuweza kuona kuwa Uchaguzi siyo jambo la kishabiki, siyo jambo la kuwa na camp ya "ufanyike" au "osifanyike".
Mimi nilitegemea kuwa ingekuwa ni jambo la busara sana kwa uongozi kuona kuwa kamakuna...