uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ihamishie maslahi ya wabunge kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

    Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na kuishauri Serikali. Lakini kama mkuu wa wilaya akiongezewa kazi za kusimamia kabisa kila shughuli za maendeleo ya wilaya huku akihakikisha mgawanyo wa keki ya taifa wilayani kwake atakuwa anafanya kazi kubwa kuliko Mbunge. Napendekeza Ili kuwapiga chenga za...
  2. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020-Huduma ya Strategic Campaign Management and Analytics

    Habari za Wakati huu: Kama ilivyo ada sisi watazam fursa huwa tunaangalia ni namna gani tunaweza kutoa huduma tofauti kwa watu tofauti. Masoko Consultants Tunakuletea huduma adhimu na ya kipekee kabisa wewe Mgombea wa nafasi ya Ubunge na Udiwani.Ni huduma ya Strategic Campaign Managament and...
  3. JamiiForums Tanzania Mchango wa WanaJF Kuelekea Uchaguzi wa Kidemokrasia 2020

    Ndugu wana JF, Ninawasilisha ombi kwenu kujitolea kuchangia nchi yetu iweze kufanikisha uchaguzi wa kidemokrasia (2020) kwa lengo la kuimarisha utawala bora katika taifa letu. Pengine tuanze kutoa ushauri wa kitaalam kwa vyama vya siasa na wagombea kila mara wawe wanakuja hapa kuchota maarifa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Chama cha wamiliki wa silaha/bunduki nchini Marekani wametangaza kumuunga mkono Trump Uchaguzi Mkuu

    Chama cha wamiliki wa bunduki wa Marekani, National Riffle Association kimetangaza kumuunga mkono Rais Donald J. Trump au maarufu kama Tarrif Man kwenye uchaguzi mkuu ujao wa November 3, 2020 NRA wanasema mtu pekee ambae anaweza kuwahakikishia uhuru wao wa kumiliki siraha ni Trump kwani Biden...
  5. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2020: Brigedia Jenerali, John Mbungo, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU awaonya Wafanyabiashara na Wanasiasa

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) nchini Tanzania, imetahadharisha wafanyabishara kutojihusisha na vitendo vya rushwa, kupitia dhana ya ufadhili wa gharama za uchaguzi ndani ya vyama vya siasa. Hayo amesema Brigedia Jenerali, John Mbungo, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA kwa Uchaguzi huu 2020

    Kama mfuatiliaji wa maswala ya kisiasa nawapa hongera kwa kuendesha mchakato wa kuchagua watia nia Ubunge na Udiwani mapema kabla ya kusubiri watakaokatwa upande wapili na kukimbilia kwenu kwa hasira nanyi kuwapa nafasi na kutupa vilivyo vyenu. Niseme tena hongera
  7. JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Rushwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020

    TAKUKURU chini ya kifungu cha 7 cha sheria ya kuzui na kuoambana na rushwa namba 11/2007 imepewa jukumu la kuzuia na katika jamii ikiwemo rushwa katika uchaguzi ukiwemo uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020. Makosa ya rushwa katika uchaguzi yameanishwa katika sheria ya uchaguzi Cap...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

    Wanabodi, Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM. Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
  9. JamiiForums Tanzania Wingi wa watia nia ya Ubunge, nini kilicho nyuma ya pazia?

    Wakuu kwema? Hivi mmejiuliza kama mimi huu utitiri wa kila anayejiona anafahamika na watu kutaka kua mbunge umetokana na nini? Waigizaji, waimba muziki, watangazaji na hata wadangaji maarufu nao wanataka kua wabunge. Je ni kweli wanautaka ubunge au wametumwa kwa malengo fulani fulani? Ikiwa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni muujiza pekee utakaoifanya CCM wabaki wamoja baada ya uchaguzi utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu

    Kuna mlolongo wa matukio yanayotokea nchini hivi sasa, yanayonifanya niweze kutabiri yatakayotokea nchini baada ya uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini kwetu mwishoni mwa mwaka huu Tulimsikia wenyewe Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Magufuli akitamka hadharani bila kificho chochote kuwa kura za...
  11. JamiiForums Tanzania Ahadi za Rais Magufuli kwenye uchaguzi wa 2015, ambazo ziligeuka uongo

    Wanajamvi, kitu nawachukia wanasiasa ni uongo. Kuna mtu alisema “mwanasiasa akikwambia sasa hivi ni mchana, kama mko ndani, toka nje uhakikishe jua lipo” Chini hapo ni hotuba ya Maghufuli siku anafungua kampeni 2015. Kiaina naona kama kila alichoahidi, kafanya kinyume kabisa! Imekaaje hii...
  12. JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Uchaguzi wa viongozi wa chama cha Wafugaji Tanzania

    Tunafahamu kwamba hivi karibuni ndani ya mkoa wa Dodoma kutafanyika uchaguzi wa viongozi wa Chama cha wafugaji Tanzania. Mkutano huo umepangwa kufanyika siku ya Jumapili tarehe 19/07/2020 ambapo viongozi wa ngazi ya kitaifa wa chama hicho watachaguliwa kuongoza chama kwa miaka mitatu 03. Nafasi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Ni uchaguzi wa kishindo

    Dar es Salaam, Tanzania BERNARD MEMBE: NI UCHAGUZI WA KISHINDO Mahojiano na mwandishi S. Kubenea wa MwanaHALISI TV nyumbani kwake Mh. Bernard C. Membe Waziri wa Mstaafu wa Mambo ya Nje nchini Tanzania, Bernard Membe amegusa mambo mengi kuhusu siasa nchini pamoja na nia yake ya kutaka...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu majimbo 15 ya NCCR baada ya Uchaguzi Mkuu haya hapa

    Kosa kubwa ni kumwamini Mtu anapokwambia atakupa majimbo 15, wakati na yeye ni mgombea, na chama chake kina wagombea kwenye hayo majimbo na wanamnadi yeye na kusaidia chama chake. Lakini kosa kubwa zaidi ni kuhujumu wapinzani wenzako ambao mwanzo walikuamini na mkashirikiana. Sasa utajiuliza...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Macho na Masikio yangu katika Uchaguzi Mkuu huu Ujao yatajikita zaidi katika Jimbo la Kawe kwa Ubunge na Udiwani kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. ( aboodmediatz ) Mwijaku achukua fomu kuwania kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika Jimbo la Kawe. ( globalpublishers ) Aliyekuwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kijungu kinapigwa Visiwani, ni Uchaguzi wa hatma ya Zanzibar

    Tunaendelea kuwapeni habari zetu za tathmini. Bado timu iko visiwani ikitupatia tathmini mbali mbali za kisiasa na kijamii. Huko visiwani kuna kijungu chapagwa. Picha halisi ilioyoko huko ni kuwa baada ya CCM kumteua Dkt Hussein Mwinyi, kwenye jamii kuna fundo la chini chini. Mara HII KAMPENI...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

    Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. SEGEREA Jumla ya kura 144 Agness lambert 76 John Mrema 56 Masatu Wasira 7 Gango Kidera 3 Andrew 1 Kura zilizoharibika 1 BUNDA MJINI Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania NEC yatangaza ajira 300,000 katika Uchaguzi Mkuu wa 2020. Vijana changamkieni

    Ni jambo jema. Tume ya Uchaguzi yaani NEC imetangaza ajira mpya 300,000 kuelekea uchaguzi mkuu October 2020. Vijana changamkieni ajira bila kujali itikadi. Source Nipashe Maendeleo hayana vyama! === NEC: AJIRA 390,000 UCHAGUZI MKUU 2020 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inatarajia kutangaza...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Huru na wa Haki, ni haki ya Wananchi wala siyo hisani ya Watawala ama Viongozi walio madarakani

    "Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata mfumo wa vyama vingi vya siasa" Tunapoelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani ni vyema tukawakumbusha waliopewa dhamana ya kusimamia zoezi upigaji na uhesabuji kura kuwa, ni haki ya wananchi kutangaziwa matokeo sahihi kulingana na jinsi...
  20. JamiiForums Tanzania Unaionaje Tanzania baada ya Uchaguzi wa mwaka 2020?

    Hivi baada ya Uchaguzi wa mwaka huu unadhani Tanzania nchi tunayoishi na kuitakia mema itakuwaje? 1. Uhuru wa kuabudu utakuwaje? 2. Uhuru wa Mahakama utakuwaje 3. Uhuru wa kutoa mawazo utakuwaje 4. Uhuru wa vyama vingine vya siasa zaidi ya CCM kufanya siasa utakuwaje 5. Uhuru wa kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…