Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Kumekuwepo na Swali la Watu wa vijijini hawako kwenye mitandao ya kijamii, je watajuwaje kuhusu Maandamano?
Je kwa nini tusianze kuhimiza watu wa vijijini na mijini faida za maandamano kupitia SMS moja kwa moja kwenye simu zao.
Nawasilisha wazo teremshemi maeneo ya kimkakati ya kuhamasisha...
Kamati ya Wataalamu wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) inasikitishwa na hatua ya Tume ya Utangazaji ya Zanzibar kutoa taarifa inayoweka orodha ya Vyombo vya Habari vya Mtadaoni inavyovitaja kuwa vinafanya kazi kinyume cha sheria ambayo Tume hiyo inaisimamia na kutishia kuvichukulia hatua...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii.
Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa...
Maafisa wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora wakiongozwa na SACP Richard Abwao, Kamanda wa Polisi mkoani humo wamefanya mazoezi ya kawaida ya mwendo wa pole na haraka katika viunga vya Manispaa ya Tabora yakilenga kujiweka tayari kulinda amani na usalama kwa wananchi hususani kuelekea uchaguzi mkuu...
Tanzania kitendo cha kutoka kwenye nchi ambayo uchumi unakua kwa kasi. East Afrika Tanzania imetoka hamna GDP imeganda. Suala hili limekutana na uchaguzi watu wamepoa kwenye kulinda shilingi na dola umejitahidi Lakin jiangalie sana buana mkubwa tafuta washauri wazuri wa Uchumi kama Mpango...
Nyie mnaotiki Mmeona Magari ya Polisi leo? Yatakuja kutawanya watu vituoni, kwa kuwa Tunaondamana na nyie mnaopiga kura hatuna alama usoni wote tutapigwa tutaumia, tutapigana wenyewe kwa wenyewe, Polisi wakiingilia tuna wachangia, nchi inaingia kwenye machafuko.
Huwezi ukatawala nchi amabayo...
Timu maandamano bwana
Yaani kimtu kinakomaa mishipa kupondea uchaguzi na kuupinga lakini kwenye foleni ya kuhangaikia kazi za muda za usimamizi na ukarani wa uchaguzi unakakuta tena kapo mstari wa mbele
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Huyu aliyekaa akawaza aitishe maandamano alicheza kama Eden hazard
Anaonekana atakauwa na nguvu sana ndani ya mfumo
Uchaguzi hauzungumziwi kinachozungumziwa ni maandamano
Tukimaliza kuchoma vituo vya kupigia kula tukutane barabarani...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akimnadi Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ndiye Rais wa Tanzania, ameelezea kuwa anasikitishwa na tabia ya baadhi ya mamlaka za maji kubambikia wananchi bili kubwa zisizo na uhalisia.
Najiuliza kwanini hatua za msingi hazikuchukuliwa mapema...
Mgombea wa ccm jana alitoa wito kwa wazazi kubeba familia zao kuelekea kupiga kura. Zaidi akasema mabalozi wa nyumba 10 wahakikishe wanawapitia wakazi wake kwenda nao kuipigia ccm kura.
1. Nauliza, kauli hiyo ni sahihi? Kama mimi sio mwanaccm nitaenda kumpigia nani?
2. Kama sera za wale...
Wanaukumbi.
Sina uhakika kama watu wengi hasa hawa washabiki wa wanaharakati wanaelewa uzito wa maneno haya kutoka kwa rais wa nchi. Sina uhakika kama wanaelewa anapofikia Rais wa nchi kutamka hivi wanaelewa nini kinatakiwa kufuata aunini maana yake kwa vyombo vya usalama vyenye jukumu la...
Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zimebakia takribani wiki mbili kabla ya Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Hali ya uadilifu wa Vyombo vya Habari
Katika jamii ya kidemokrasia, Vyombo vya Habari hutazamwa kama daraja kati ya...
Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa Tanga imetoa onyo kwa wananchi wote wenye nia ovu ya kuvunja amani siku ya uchaguzi na kwamba kwa yeyote ambae atajaribu kufanya hivyo,atachukuliwa hatua za kisheria.
Onyo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
Hii siku hakuna wanayoyajua hata waliopo madarakani wanatamani kujua ila hii siku imebeba mengi mno.
Ila pia maandamano yamekuwa maarufu kuliko hata uchaguzi wenyewe sasa
Huu uchaguzi lazima watu watakufa.
Kama tu uchaguzi mdogo mambo yalikuwa mabaya huu si ndiyo balaa kabisa.
Kwanini mkuu...
Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja.
Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi wa urais.
Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Brenda alisema:
“Imetangazwa kwamba Tchiroma ndiye...
Habari za muda wakuu..
Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max.
Soon baada ya pilika za uchaguzi kuisha na akishaapizwa na wabunge wakiapishwa ndio ataanza kuona rangi zao halisi watamruka hadharani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.