uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Fahamu kuhusu Mawakili watakaoitetea Tume ya Uchaguzi

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeteua Kampuni 26 za Mawakili zitakazoiwakilisha Tume hiyo na Mwenyekiti wake Wafula Chebukati. Kila Kampuni ya Wanasheria na Mawakili, italipwa takriban Tsh. Milioni 388,967,498/- Zaidi ya Tsh. Bilioni 10.1 zitatumika kulipa Wanasheria na Mawakili...
  2. JamiiForums Tanzania Angola: João Lourenço ashinda katika uchaguzi wa Rais uliokuwa na ushindani mkali

    Chama tawala cha Angola kinatazamiwa kurefusha utawala wake kwa miaka mingine mitano, na kukipa jumla ya miaka 52 madarakani. Upinzani mkuu ulisema utapinga matokeo ya kura ya Jumatano. Rais wa sasa Joao Lourenco wa chama cha People's Movement for the Liberation of Angola, kinachojulikana kwa...
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 UTABIRI: Mahakama isipofuta uchaguzi Raila ataitisha maandamano, na ikifuta hatakubali uchaguzi urudiwe

    Huu ni utabiri wangu kuhusu kitakachotokea ndani ya wiki mbili hizi huko Kenya. Ni kuwa Raila ameona hakuna namna yoyote anaweza kuwa Rais wa Kenya na ukizingatia umri wake anaona kama anaenda kuwa irrelevant kisiasa. Uamuzi wowote utakaotolewa na mahakama tofauti na kumtangaza Odinga mshindi...
  4. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Angola: Chama Tawala chaongoza katika matokeo ya awali

    Tume ya Uchaguzi imesema kuwa Chama cha MPLA kinaongoza baada ya matokeo ya mapema ya uchaguzi wa Rais na Wabunge uliofanyika Agosti 24 Tume hiyo ilisema kuwa kutokana na theluthi moja ya kura kuhesabiwa, Chama cha Rais João Lourenço kimepata zaidi ya asilimia 60 huku Chama cha Upinzani cha...
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya afariki dunia baada ya kuugua ghafla

    Chanzo: Mwananchi Nairobi. Msimamizi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kwenye jimbo la Gichugu, Geoffrey Gitobu amefariki dunia jana Jumatatu Agosti 22, 2022 baada ya kuanguka ghafla. Meneja wa Uchaguzi wa IEBC kaunti ya Kirinyaga, Jane Gitonga amethibitisha...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi yadai maafisa wake walitaka kushambuliwa ofisini

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imedai kuwa wafanyakazi wake walitaka kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wana silaha, jana Saa 2:30 Usiku, Agosti 22, 2022 lakini ilishindikana kutokana na ulinzi kuwa imara katika ofisi hizo. “Walitaka kuvamia wakati wafanyakazi wetu wakiandaa majibu...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FAHAMU: Katiba inamzuia Rais wa Kenya kufanya haya baada ya Uchaguzi Mkuu

    Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, baada tu ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 Rais alipoteza; Mamlaka ya kuteua Majaji wa Mahakama Kuu, kuteua Afisa yeyote wa Umma, kuteua au kumfukuza kazi Katibu wa Baraza la Mawaziri, Katibu Mkuu na Maafisa wengine wa Serikali. Kwasasa hawezi kutumia Mamlaka ya...
  8. JamiiForums Tanzania Somo zuri kutoka uchaguzi wa Kenya ambalo watawala wa Tanzania na CCM hawataki kulisikia.

    Mambo 10 yanayoutofautisha uchaguzi wa Kenya na nchi zingine Afrika 19 Agosti 2022 Na Yusuph Mazimu BBC Swahili Kenya imefanya Uchaguzi wake mkuu Agosti 9, 2022, na kumchagua William Ruto kuwa Rais wa tano wa taifa hilo, akimuangusha mwanasiasa mkongwe, Raila Odinga, aliyekuwa anagombea kwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Suleiman Bungara "Bwege" kuhusiana na uchaguzi wa Kenya

    ..Tumsikilize Mh.Bwege kuhusu alichokiona ktk kampeni za uchaguzi mkuu wa Kenya.
  10. JamiiForums Tanzania Ni lini CCM itafanya uchaguzi wa Mwenyekiti wao Taifa?

    Kwa mujibu wa Katiba yao ni mtu ndiye anayeombwa na Halmashauri kuu kuwa Mwenyekiti wa chama chao Taifa na siyo wanachama wanaomba kugombea nafasi hiyo. Kwa nini Wenyeviti woote kuanzia ngazi ya shina mpaka Mkoa waombe kugombea na kushindanishwa na wengine lakini inapofika ngazi ya taifa hakuna...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makau Mutua atoa wito kufanyiwa mageuzi katika usimamizi shughuli za uchaguzi

    Msemaji wa kampeni za urais wa Azimio la Umoja Makau Mutua ametoa wito wa kufanyiwa mageuzi katika usimamizi wa shughuli ya uchaguzi. Mutua amesema Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka inafaa kugatuliwa ili kuimarisha ufanisi na uwazi. Amesema sheria za sasa za uchaguzi zimeipa IEBC mamlaka zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati wanapambana kupeleka gesi ya Mtwara - Dar walisema umeme utakuwa wa uhakika

    Habari za mda huu wanajamvi. Naenda Moja Kwa Moja kwenye mada. Ebu nisaidieni Kama nimesahau au niko sahihi. Propaganda zile ilitembea sana siku zile ili kupata uhalali wa watanzania wakubali lakini sikuona mabadiliko yeyoyte baada ya kufanikiwa kupeleka Dar kwenye umeme kubadili bei...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Gazeti la "The Star": Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya alihongwa ili kuipa zabuni kampuni ya Ugiriki

    Gazeti la The Star limechapisha taarifa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya, Wafula Chebukati na wenzake walihongwa Dola Milioni 3 ( Takriban Tsh bilioni 7) ili kuwaba zabuni kampuni ya kigiriki kutengeneza karatasi za kupigia kura. Ukweli wake upoje?
  14. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

    Nauliza tu kwa sababu huku mitaani hakuna ofisi wala bendera za Chadema Ni vema watutaarifu mapema maana kupanga ni Kuchagua Mungu ni mwema wakati wote
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya alinyongwa, Ripoti ya Madaktari yaonesha

    Ripoti ya uchunguzi wa Madaktari imeonesha kuwa Daniel Musyoka, mfanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) aliyepatikana akiwa amefarki, alinyongwa hadi kufa Timu ya Madaktari Bingwa watano waliofanyia upasuaji mwili wa Afisa huyo, pia wamepeleka Nairobi baadhi ya vielelezo kwa ajili...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulaya wasifia uchaguzi wa Kenya na kusema umeweka kiwango kipya Afrika

    Vyombo vyote vya habari vina takwimu za matokeo kituo kwa kituo, data zipo kote, kila mmoja yupo huru kukotoa na kuibua popote penye tashwishi au kasoro, binafsi sikumchagua Ruto, sikumpa kura yangu ila nimependa namna uchaguzi uliendeshwa kwa njia za wazi kabisa, Afrika haijatokea uchaguzi...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Chebukati: Makamishna wanne walishinikiza Uchaguzi urudiwe kinyume cha Sheria, Nilikataa

    Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (IEBC) Wafula Chebukati, amesema aliwazuia kuingia eneo la Bomas Makamishna wanne waliokana kutambua matokeo ya Urais kwa kulazimisha uchaguzi urudiwe. Chebukati ameshikilia msimamo wake kuwa Makamishna hao walipata matokeo yote na walihusika katika shughuli zote...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 Watanzania tupige kura 5

    Heshima kwenu wakuu! Kama wengi tunavyojua watanzania tunatarajia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Kwa kujifunza kutokana na uchaguzi mkuu uliomalizika nchini Kenya hivi karibuni ni wakati sasa kwa Tanzania kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Madaktari kuchunguza mwili wa Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya

    Madaktari wa Uchunguzi wataufanyia uchunguzi mwili wa afisa wa IEBC, Daniel Musyoka aliyekutwa amefariki baada ya kutoweka kwenye kituo cha Kura. Mchunguzi wa serikali pamoja na Daktari aliyeteuliwa na familia watafanya shughuli hiyo ili kubaini sababu za kifo cha Afisa huyo aliyetoweka kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Funzo uchaguzi wa Kenya: Wananchi wamechagua uchumi badala ya mabadiliko ya vifungu vya katiba, CCM wako njia sahihi ya kujenga uchumi

    HANDSHAKE kati ya Raila Amolo Odinga na Uhuru Kenyata ililenga kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba ili kuweka vyeo, pamoja na mambo mengine mengi. William Rutto aliwaambia wakenya kwamba shida yao sio katiba nyingine, shida yake ni kukomboa mama mboga na mtu wa bodaboda, kwamba shida ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…