uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu na maadili ya Uchaguzi Mkuu

    Binafsi nimepata wasaa wa kumsikiliza mheshimiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kuna baadhi ya kauli na shutuma zake kwa mawazo yangu nadhani sio sahihi sana Ukisoma sheria ya Taifa ya uchaguzi sura ya 343,pamoja...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 UDASA yatoa tamko kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia Kanuni, Sheria, Katiba

    TAREHE: 19 SEPTEMBA 2020 Ndugu Wananchi na Wanahabari, Mnamo Tarehe 26 Agosti 2020, Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) ilitoa tamko ambalo pamoja na mambo mengine lilitoa rai kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia kanuni, sheria...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Jumuiya za Kimataifa zinaingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania?

    Kumekuwa na mijadala kutoka kwa watu mbalimbali hata humu JF kuwa mataifa ya nje na Jumuiya za nje zinaingilia Uchaguzi wetu, wengine wamefikia hatua ya kusema kuwa kuna baadhi ya wagombea wametumwa na ‘mabeberu’ kwa makubaliano fulani. Kama kweli, Je, Jumuiya za kimataifa kama UN, EU, na...
  4. JamiiForums Tanzania Orodha ya Sheria zinazotumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020

    ORODHA YA SHERIA ZINAZOTUMIKA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA 2020. SEHEMU 1: UTANGULI. Kuna msurululu mrefu wa Sheria za ndani (municipal laws) zinazotumika katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020. Sheria za ndani zinazotumika katika Uchaguzi Mkuu zimegawanyika katika aina kuu nne (4) zifuatazo; (1)...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania UN imetahadharisha Tanzania kuepuka mazingira ya ukandamizaji hasa kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet ameeleza kuwa, nchini Tanzania kumekuwepo hali ya "kuongezeka kwa ukandamizaji wa kidemokrasia na haki za raia, hali ambayo inazidi kufanya mazingira ya haki za binadamu kuwa duni". Ameeleza hasa mabadiliko ya sheria...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Taasisi iliyokusanya maoni ya mgombea wa CCM kushinda uchaguzi mkuu kwa asilimia 85, inachekesha na kusikitisha

    MAANA YA UTAFITI Utafiti ni njia ya kupata utatuzi wa suala fulani katika jamii na mazingira ya binadamu kwa njia ya uchunguzi unaotumia nadharia za kitaaluma na kisayansi. Aidha utafiti ni njia maalum inayofuatwa ili kufikia ujuzi au taarifa muhimu inayokusudia kuchangia katika usomi wa kina...
  8. JamiiForums Tanzania Mzee atoa darasa la kisheria juu ya kutokuwa na umuhimu kwa under 18 kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Uchaguzi Mkuu

    Huyu mzee amejitahidi kutoa somo kwa CCM juu ya kuwatumia wanafunzi kuongeza vichwa kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa kama wale wenye ma-PhD wanashindwa kuelewa hiyo sheria anayonukuu, kweli watatuletea maendelea wakati zaidi ya miaka 50 tunasuasua?
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu za kushindwa upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Ni dhahiri shahiri kwamba kutokana na mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 zinazoendelea Upinzani unakwenda kuendeleza kushindwa vibaya kwa mara nyingine. Sababu za kushindwa vibaya uchaguzi huu katika ngazi zote (Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani) ni nyingi ila mimi nitagusia chache...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CHAUMMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA (CHAUMMA) ILANI YA UCHAGUZI (MANIFESTO) JULY 2020 IMETOLEWA NA HAMASHAURI KUU YA TAIFA CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA MTAA WA KIJITONYAMA, KINONDONI DAR ES SALAAM JULY .2020 YALIYOMO 1.0 Utangulizi 1 2.0 HALI YA NCHI 2020. 3 3.0 Ajenda zetu katika uchaguzi wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

    Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana. Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo: 1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi. 2. Imekataa...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Emmaus Bandekile akanyaga ardhi ya Zanzibar na kukemea hujuma na ukiukwaji wa haki katika Uchaguzi Mkuu

    Tarehe 7 Septemba 2020: Niliendelea kupaza sauti ili kutaka HAKI katika nchi. Nilionya na kutahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea kwa vurugu za kisiasa katika Visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) endapo Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) haitawarejesha Wagombea wa Upinzani walioenguliwa hasa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amani ni tunda la haki, bila wagombea hakuna Uchaguzi Mkuu

    Tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, tayari kumejitokeza viashiria vya kuvuruga na kuhujumu uchaguzi kunakofanywa na vyombo vyenye dhamana ya kusimamia uchaguzi na amani ya Taifa kwa maana ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na Jeshi la...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu kanuni wapi au mambo valu valu tu?

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Uchaguzi ndiyo hivyo unajongea kampeni nazo zinaendelea. Kila mtu na kila chama na lake. Wakati wa teuzi palikuwa na fomu yenye kanuni za maadili ya uchaguzi. Nini contents za fomu hii? Ilikuwa vyema kilichomo kikafahamika kwetu wapiga kura pia. Ili tuweze...
  16. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amani na Haki uchaguzi mkuu 2020

    Swala la Amani uenda sambamba na Haki, katika uchaguzi huu swala la Amani linazungumzwa sana na viongozi wa kisiasa, viongozi wa ulinzi na usalama na viongozi wa kidini kila mahala lakini sisikii wakisisitiza haki. Haki na Amani viubiriwe kote...
  17. JamiiForums Tanzania Mgombea urais wa CCM JMT na mgombea mwenza wako niwaombe muvae busara akilini mwenu, huu ni uchaguzi mkuu wa vyama vingi!

    Kusema kweli mgombea urais wa CCM na mgombea mwenza naona wanakoelekea siko, busara zinawatoka kwa kasi ya ajabu. Wameanza kutoa kauli za kuudhi tena zenye kiwango cha juu mno. Kitendo cha mgombea urais wa CCM wa JMT kutoa kejeli kwenye majimbo ambayo yaliongozwa na upinzani ni cha hovyo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Human Rights Watch: Haki za kiraia zinaminywa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch (HRW) linasema mamlaka nchini Tanzania imeongeza hatua ya ukandamizaji dhidi ya vyama vya upinzani na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kabla ya uchaguzi mkuu wa mwezi ujao. Katika ripoti yake Human Rights Watch limekosoa sheria mpya...
  19. JamiiForums Tanzania Mabalozi wa nchi za Magharibi waliopo nchini watoa tamko kuhusu uzingatiwaji wa Uwazi, Haki na Usawa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Ni dhahiri tupo kwenye usawa wa microscope ya tunaowaita "mabeberu". Figisu zote zinaonekana na zitaendelea kuonekana dhahiri kabisa dunia nzima. Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote. Hakuna jiwe...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Je, Msajili Hazina anaihujumu CCM?

    Kama tunavyojua, mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu na katika mchakato huo, Watanzania wote huwa na haki sawa ya kushiriki katika uchaguzi huo kwa kuchagua au kuomba kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali zinazogombewa. Katika Uchaguzi wa mwaka huu, kumetokea kuvunjwa kwa rekodi ya kujitokeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…