Uchaguzi Mkuu wa RT unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza, huku nafasi ambazo zitahitajika ni nafasi ya Rais na Makamu wake pamoja na Wajumbe 6, ikiwemo moja ya Viti Maalum Mwanamke.
Fomu zitaanza kuchukuliwa Kesho (8 hadi 19, Januari), kwa ada ya shilingi laki mbili...