Kauli za Rais wa Brazil kuhusu udanganyifu katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2022 kuchunguzwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mahakama Kuu ya Uchaguzi Nchini humo (TSE) imefikia uamuzi wa kumchunguza Rais Jair Bolsonaro kutokana na kauli zake zinazodai kutakuwepo udanganyifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2022.

Bolsonaro ambaye anatarajiwa kugombea muhula wake wa pili mwakani amekuwa akisema mara kwa mara kwamba mfumo wa elektroniki wa upigaji kura uko katika hatari ya kusababisha udanganyifu.

Hata hivyo, wakosoaji wamesema kama iliyokuwa kwa Donald Trump, Rais huyo anachochea wasiwasi ili kuandaa mazingira ya kutokubali kushindwa.
=====

Brazil's top electoral court, the TSE, decided on Monday that it will open an investigation into far-right President Jair Bolsonaro for his statements claiming that there will be fraud in next year's elections.

Bolsonaro, who is expected to seek a second term in 2022, has repeatedly claimed that Brazil's electronic voting system is vulnerable to fraud. Critics say his unfounded claims are sowing doubts to pave the way for him not to accept defeat.

The TSE also decided to ask the Supreme Court to investigate whether Bolsonaro committed a crime by attacking the electoral system on social media and threatening Brazil's democracy.

Source: Reuters
 
Back
Top Bottom