uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 SP Jumbe: Wananchi tuzeni amani kuelekea uchaguzi mkuu, jukumu la kulinda usalama wa jamii ni la kila mmoja

    Mkuu wa Polisi Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha, Mrakibu wa Polisi SP Shaban Jumbe amewataka wananchi wa Wilaya ya Karatu kuendelea kutunza amani na utulivu huku akisisitiza kuwa jukumu la kulinda usalama wa jamii ni la kila mmoja. SP Jumbe ametoa rai hiyo leo Oktoba 24, 2025 wakati akiwatoa...
  2. M

    GE2025 RC Morogoro: Wanaoratibu vitendo vya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu kukiona

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima, ametoa onyo kali kwa makundi au watu wenye nia ya kuanzisha fujo ama vurugu wakati wa kipindi cha uchaguzi Mkuu wa Tanzania, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vipo imara na makini kuhakikisha amani na utulivu vinaendelea kudumishwa nchini...
  3. Walioandaa maandamano wana nguvu kuliko walioandaa uchaguzi Mkuu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Huyu aliyekaa akawaza aitishe maandamano alicheza kama Eden hazard Anaonekana atakauwa na nguvu sana ndani ya mfumo Uchaguzi hauzungumziwi kinachozungumziwa ni maandamano Tukimaliza kuchoma vituo vya kupigia kula tukutane barabarani...
  4. GE2025 Mjumbe wa SADC: Tangu nimefika Tanzania sijapewa mlinzi, Kwangu hicho ni kiashiria kwamba kuelekea Uchaguzi Mkuu kuna amani

    Si kwamba hakuna amani ipo lakini kuna uvunjifu mkubwa sana wa haki na hivi sasa kumetawala sana hofu kwa wananchi. Najua watakuhendo vizuri kwa sababu ni mgeni lakini tulio ndani tunajua kinachoelendelea. Ila nikupashe habari kwamba hata hiyo siku ya uchaguzi kutafanyika maandamano makubwa...
  5. GE2025 DOKEZO Responded Uchaguzi Mkuu wa 2025 na uadilifu wa Vyombo vya Habari Tanzania

    Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zimebakia takribani wiki mbili kabla ya Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Hali ya uadilifu wa Vyombo vya Habari Katika jamii ya kidemokrasia, Vyombo vya Habari hutazamwa kama daraja kati ya...
  6. W

    GE2025 Samia: Wachagueni Madiwani wa CCM, mkiwachanganya na wa vyama vingine mtajicheleweshea Maendeleo

    Akiomba kura kwa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge kwenye majimbo na Kata za Mkoa wa Rukwa leo Jumapili Oktoba 19, 2025, mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi kuwachagua wagombea hao na kutowachanganya na wengine, ili iwe...
  7. W

    GE2025 Mgombea Udiwani Ilala: Atakayemkwamisha Samia tutaanza naye kabla yake

    Mgombea udiwani wa kata ya ilala Saady Khimji( Home Boy) amesema Chama Cha Mapinduzi, CCM Kinafanya jitihada kubwa ya kuinadi ilani yake kupitia majukwaa na Kampeni mbambali zinazofanywa na Wagombea wa Chama hicho Akizungumza Leo Oktoba 18, 2025 katika Mkutano wa kuwatambulisha na kuwanadi...
  8. Mkesha wa kuamkia uchaguzi mkuu October 29

    Hii siku hakuna wanayoyajua hata waliopo madarakani wanatamani kujua ila hii siku imebeba mengi mno. Ila pia maandamano yamekuwa maarufu kuliko hata uchaguzi wenyewe sasa Huu uchaguzi lazima watu watakufa. Kama tu uchaguzi mdogo mambo yalikuwa mabaya huu si ndiyo balaa kabisa. Kwanini mkuu...
  9. GE2025 Kailima: Ni kosa kisheria kuhamasisha watu wasipige kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi Bwa. Kailima Ramadhani amesema kwa muujibu wa sheria kifungu cha 129 cha sheria uchaguzi wa Rais, Ubunge na Madiwa Mtu ambaye kwa dhairi au kwa kificho yeye mwenyewe au mwingie kwa niaba yake anatumia au kutishia kutumia nguvu, vurugu au kizuizi au anasababisha au...
  10. W

    GE2025 Wamiliki wa "Online TV" zilizorusha maudhui ya Polepole wakamatwa na Polisi

    Wakuu, Watu wanne waliokuwa wanamiliki akaunti za mtandao wa Youtube za Wispoti TV, T.Media Two na Costa Tv wamekamatwa kwa madai ya kuendesha akaunti hizo bila ya kuwa na leseni. Akaunti hizo ni kati ya zile zilikokuwa zikirusha press za Polepole kila alipokuwa akizitoa. Kumbuka Polepole...
  11. W

    POTOSHI TEC kweli imebariki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29

    Wakuu kuna hizi media nimeona zimeshupaza shingo kudai Baraza la maaskofu katoliki Tanzania katika waraka wao walioutoa Oktoba 14, 2024 wamebariki uchaguzi. Je, ni kweli?
  12. GE2025 Mkeka Oktoba 29: Nani atatamba na odds zake?

    Wakuu, Ikiwa zimebaki siku 15 Watanzania tuamue jinsi tutakavyosonga mbele, bado hakuna anayeweza kusema kwa 95% kuwa jambo fulani ndio litajiri. Wanaoingia kwenye uchaguzi hawana uhakika, kwa upande mwingine mwanga unaonekana ila bado pia kusema kwa for sure jambo litakuwa hivi. ile tar 29...
  13. GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Nawaomba raia wote kuongozwa na dhamiri iliyo safi, juu ya suala hili la uchaguzi mkuu, msirubuniwe kwa vitisho

    "Kuelekea uchaguzi mkuu nawaomba raia wote kuongozwa na dhamiri iliyo safi iliyo hai na yenye kuongozwa na ukweli halisi wenye kuzingatia hofu ta Mungu, utu wa mtu, historia nzuri ya taifa letu, umoja na mshikamano wa taifa letu, dhamiri hai na safi yenye kufanya maamuzi sahihi, kuzingatia hofu...
  14. GE2025 Musukuma: Hatufanyi kazi kwa kusikiliza mitandao

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Geita kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Joseph Msukuma amesema kuwa Tanzania haifanyi kazi kwa kusikiliza mitandao Ila kwa kufuata uhalisia na utatuzi wa matatizo ya watu na kumtabiri Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa atashinda Urais kwa asilimia 98.
  15. GE2025 Mnaolitegemea Jeshi imekula kwenu!

    Wiki iliyopita nilileta mada kuhusu matumaini hewa waliyojipa watu kutokana na ile video ya mtu aliyejiita Kapteni Tesha. As time passes by, those sentiments will age like fine wine. On the contrary, the sentiments of those who ridiculed me, dismissed me, abused me, etc., are aging like...
  16. GE2025 Kunje Ngombale Mwiru: Kwa takribani siku 40 za kampeni, nina uhakika wa kushinda kwa asilimia 75 Urais wa Tanzania

    Mgombea Urais wa Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema baada ya takribani siku 40 za kampeni, anadhani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kuna uwezekano wa kushinda kwa asilimia 75. Kauli hii aliitoa mkoani Dar es Salaam katika mkutano na waandishi wa habari.
  17. GE2025 Uhuru wa Habari upo shakani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Malalamiko kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania yameongezeka tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 28, 2025. Vyombo vya habari vimekuwa vikikabiliwa na vikwazo vingi, ikiwamo kupewa maonyo, kuamriwa kushusha maudhui yasiyoifurahisha Serikali, na hata kufungiwa. Mfano...
  18. GE2025 Andrew Nyerere ampiga marufuku Rais Samia kuzuru kaburi la Hayati Mwalimu Nyerere kutokana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi

    Mtoto Mkubwa wa Nyerere, Andrew Nyerere Kwa niaba ya Wanafamilia, amechukizwa na Kitendo Cha Mahakama kutoitendea Haki CHADEMA. Andrew Kambarage Nyerere Asante umenyooka kama ilivyo! Tatizo hawa viongozi wa sasa wanataka kutumia legacy ya Mwalimu Nyerere kama hirizi iwakinge na hasira za...
  19. B

    Haki nchini kuelekea uchaguzi mkuu, haki za wapalestina Gaza: Kanisa katoliki ni la kupigiwa mfano dhidi ya madhehebu za kilokole, waisilamu nk!

    Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi: Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana: Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
  20. GE2025 TAKUKURU Lindi yaboresha mikakati ya kupambana na Rushwa kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Lindi imeendesha kikao kazi kujadili na kuweka mikakati dhidi ya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba. Kikao hiko kimefanyika leo Septemba 11,2025 katika ukumbi wa CWT na kuwakutanisha viongozi wa dini na wazee wa Wilaya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…