Kwa miaka mingi sasa kwenye haya majukwaa ya majadiliano [discussion forums] nimekuwa nikisema kwamba bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi, kuiondoa madarakani CCM kupitia chaguzi, haiwezekani.
Kwa njia ambayo si ya kura na si ya kijeshi, kuiondoa CCM madarakani inawezekana. Lakini hapa sipo...