Nimetoka kuangalia hii video chini, huko Tanga wana CCM wakiandamana kukatwa kwa Ummy Mwalimu, nimechambua na taarifa zingine za maandamano na malalamiko ya Wanaccm.
Kuna fursa ya kutekeleza maandamano ya tarehe 28, na kuifanya CCM (kamati kuu) ifanye kikao cha dharura, kamati ya ulinzi wa...