uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Makini waahidi kutoa bodaboda milioni 1 kwa vijana endapo watashika dola

    Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa bodaboda zaidi ya milioni moja ili kuwapatia ajira vijana. Hayo yalielezwa jana wakati wa uzinduzi wa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Makini tutatoa posho kwa wazee kila mwezi laki moja

    Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa laki moja kila mwezi kwa wazee wote wa Tanzania Hayo yalielezwa jana wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais Chama cha MAKINI: Mkinichagua ndani ya siku 100 za kwanza nitafanya mabadiliko kidogo ya katiba ya Tanzania

    Serikali ninayokwenda kuiunda nitaunda serikali ya umoja ya kitaifa ambapo ahadi yangu kwa Tanzania baada ya kuchagua kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndani ya siku 100 za kwanza nitafanya mabadiliko kidogo ya katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano Tanzania ili tu iweze kutambua...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Haruna atoa onyo kwa Humphrey Polepole kuhusu kauli zinazomchafua Rais Kikwete

    Naibu Katibu Mkuu wa Twariqa Tanzania, Sheikh Haruna Hussein, ametoa onyo kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kada wa CCM Humphrey Polepole akimtaka kuacha mara moja kutoa kauli ambazo amedai zinalenga kuchafua viongozi akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kibonde: Mkituchagua chama Makini tutajenga hospitali kila kata na kuweka vifaa tiba

    Mkituchagua chama Makini katika uchgazi mkuu 2025 tutajenga hospitali za kata nchi nzima na kuweka vifaa tiba pamoja na wauguzi, madakitari ili kuwez kuwahudumia watanzania ambapo serikali itagharamia kuwapeleka vijana kwenye vyuo vya nje ya nchi kupata elimu ya afya ili kuja kutoa huduma katika...
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais kupitia UDP ampongeza rais Samia jukwaani

    "Lakini kabla sijamaliza nataka nimpongeze na naomba msichukie hili, Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuilinda amani ya nchi yetu, Lakini pia nivipongeze vyombo vya ulinzi na usalama, ndugu zangu hawa Jeshi na polisi hawalali, sisi tunakuwa tunalala lakini wao wanakuwa wako macho...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kibonde: Chama Makini tutatoa ajira mpya kwa vijana zaidi ya Milioni 1

    Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi serikali itaanzisha na kutoa ajia mpya zaidi ya milioni moja kwa vijana wa Kitanzania, nakuwataka vijana kuwapigia kura Oktoba 29, 2025.
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kibonde: Chama Makini tuingia madarakani tutatoa elimu bure kuanzia chekechea hadi chuo kikuu

    Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi yeye na serikali yake watatoa elimu bure kwa watoto wa kitanzania kuanzia elimu ya chekechea hadi vyuo vikuu. Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kampeni zao leo zilizofanyika Dar es salaam
  9. Andromeda Galaxy

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa CCM ni mazalia ya mfumo wa kijamaa uliosisiwa na Nyerere

    Ipo wazi sera ya Ujamaa aliyoasisi nyerere ndiyo iliyozaa Chama ovu kisichojua misingi ya demokrasia na kilichojaa rushwa, na udikteta wa kiimla, ni wazi nchi zote zilizokulia katika mifumo ya kijamaa Zina mifumo ya kiimla au kidikteta hasa katika ugawaji wa madaraka, Pamoja na mazuri yake ila...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kibonde: Sitapunguza Mishahara Wala Posho za Watumishi Nikichaguliwa kuwa Rais

    Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi hatopunguza matumizi ya Serikali wala mishahara na posho za watumishi wa umma. Alisema hatua hiyo inalenga kuongeza morali kazini na kuzuia tamaa ya rushwa ambayo mara nyingi huzaliwa...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Slaa: Nimeshiriki kampeni nyingi lakini sijawahi kuona ninayoyaona safari hii. Vyama havitamki masuala ya muhimu

    Wakuu, Mwanasiasa mkongwe, kada na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, amekosoa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akisema hazijikiti kwenye masuala ya msingi yanayowagusa moja kwa moja wananchi. Akizungumza Septemba 2, 2025 kwa njia ya...
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Slaa: CHADEMA haifanyi uchaguzi sio kwa ajali

    Mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanadiplomasia, Dkt. Wilbrod Peter Slaa amesema kuwa chadema haipo kwenye uchaguzi wa mwaka huu siyo kwa ajali kwa sababu haina uchu wa madaraka kama kama vyama vingine. Akizungumza kwa njia ya mtandao na Baraza la Kidigitali...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kingunge Ngombale–Mwiru: Mkinichagua kuwa rais, Mawaziri wangu hawatalala ni mchakamcha tu

    Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Wakulima AAFP, Kunje Ngombale Mwiru akiwa katika muendelezo wake wa kampeni katika Mkoa wa Morogoro kata ya Mvuha ameongea na wananchi wa kata hiyo, Ametaja maadhi ya vipaumbele vyake moja ni kwamba serikali yake itakuwa ni serikali ya mchaka mchaka mbaka...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Flatei Massay arejea CCM, baada ya kuwasikiliza wazee wa chama

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini mkoani Manyara, Flatei Massay ametangaza rasmi kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitokea ACT Wazalendo Massay alihama CCM wakati wa mchakato wa uteuzi wa wabunge, ambapo jina lake halikurudi katika hatua za awali. Siku chache baadaye alichukua fomu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu wa CHAUMMA, atinga Tanga asema asipimwe kwa umri wake, mwaka huu ni wa masela kwenda Ikulu

    Mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Salum Mwalimu, ameanza ziara yake mkoani Tanga kwa ajili ya kuomba ridhaa ya wananchi kumpa nafasi ya kuongoza taifa katika uchaguzi mkuu ujao. Akiwahutubia wananchi katika mikutano wa hadhara...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Waziri mkuu Kassim Majaliwa ataongea na wanahabari kueleza hatima yake ya kisiasa na uchaguzi mkuu 2025

  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi Mbatia ndio kwaheri kwenye siasa au bado ana nafasi tena?

    Akiwa kijana wa miaka 31 tu, alishinda Jimbo la Vunjo kwa kishindo cha kura 83%. Baada ya miaka kupita ikaibuka migogoro ya kisiasa, chama chake kupoteza nguvu, na kimya kizito kilichoacha maswali. Je, kimya chake ni tamaa iliyokufa, upepo aliokuwa akipima, au mapumziko ya kimkakati? Bado ana...
  18. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wasira: Hata wapinzani wanakiri sisi ni wakubwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema wakati wanamuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya Chama Dk. Samia Suluhu Hassan, Watanzania ni mashahidi wa kazi kubwa aliyoifanya katika miaka minne na nusu ya uongozi wake. Akizungumza Septemba 1,2025 katika...
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: CCM Itahakikisha Katiba Mpya inapatikana

    Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya. Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Simiyu; Wanasiasa wanaoeneza chuki kuchukuliwa hatua

    Serikali ya Mkoa wa Simiyu, imetoa onyo kwa wanasiasa wanaotumia majukwaa ya kampeni kutoa lugha za kichochezi, kueneza chuki na kuwagawa wananchi kwa misingi ya itikadi, kabila au dini, ikisisitiza kuwa haitasita kuchukua hatua kwa yeyote atakayevuruga amani ya mkoa huo na kwamba wananchi...
Back
Top Bottom