Mwenyekiti mstaafu mkoa wa Chama cha ACT wazalendo mkoa wa Kigoma Bw. Sendwe ameauliza wananchi wa Kigoma kaskazini kuwa ni kwasababu ya rushwa, ameyasema hayo katika ufunguzi wa kampeni za Chama hicho mkoa wa kigomba katika jimbo kigoma kasakzini
Sasa kweli eti hii nayo ni sera ya chama kinachotaka kuchukua dola.
Hivi wapo serious kweli hawa watu,walijiandaa kweli na huu uchaguzi au walikurupushwa tu?
----
Chama Cha Kijamii (CCK), kimezindua kampeni zake katika Jiji la Dodoma, ambapo Mgombea Urais, kupitia chama hicho Ndg. David...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba leo Jumatatu ya Septemba 08, 2025 amepokelewa kwa shangwe na wananchi wa jimbo hilo baada ya kuwasili katika uzinduzi wa kampeni za udiwani kwenye Kata ya Mponde.
Makamba ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
TAARIFA KWA UMMA
WAFUASI WA CHADEMA WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MBEYA.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewakata wafuasi sita (6) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Rungwe akiwemo Mwenyekiti wa Jimbo la Rungwe Gidion Mwakila kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, akiwa ameambatana na Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, walipanda baiskeli za wajumbe baada ya kutoka Kata ya Lugata iliyoko Kisiwa cha Kome, walipokuwa wamekwenda kukutana na viongozi wa...
Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza, Jiji la Mwanza litakuwa ‘paradiso’ ya maisha bora na kitovu cha uchumi na maendeleo nchini
Kauli hiyo ameitoa...
Mahakama Kuu imempatia wakili (Pro Bono) Tundu Lissu, ambaye alikwenda gerezani kuzungumza naye. TAL amemkataa wakili huyo akisema anataka kujitetea mwenyewe kwa kuwa maneno yanayotajwa kuwa ni uhaini aliyasema mwenyewe.
Hata hivyo, wapo mawakili zaidi ya 30 tayari kumtetea.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi.
Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mwajuma Noty Mirambo, amesema kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anaigawa Tanzania kwa Majimbo. Ameyasema hayo kwenye uzinduzi wa kampeni za chama chake kwenye...
Mwenyekiti wa Mamalishe Tanzania, Havijawa Omary, amewaomba viongozi wa wajasiriamali wa Mkoa wa Singida kumsemea vizuri Rais Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ili ashinde kwa kishindo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Akizungumza jana...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Mohammed Doyo amesema kuingia kwake kwenye siasa si kwa sababu ya baba yake kuwa mwanasiasa bali ni maumivu aliyoyapitia akiwa mdogo.
Soma pia: Helbeth Mlelwa anadaiwa kukamatwa na...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa, amewataka Watanzania bila kujali itikadi za dini zao, kuheshimu na kudumisha amani na utulivu katika kuelekea kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, ili kulisaidia Taifa kubaki salama kabla...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wakulima (AAFP) Kunje Ngombale Mwiru ameahidi kugawa trekta 2 kwa kila kaya kumi katika kata ya Ifakara Mkoani Morogoro.
Pia ameahidi kuwapatia Vijana wenye umri kuanzia miaka 18 mashine aina ya power tiller kwa kila kijana ili...
Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi.
Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Arusha...
Viongozi na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Nzega, Tabora, wamefanya maadhimisho ya Mashujaa Day kwa kuwakumbuka na kuwaenzi wanachama na viongozi wa chama hicho waliopoteza maisha wakiwa katika mapambano ya haki na demokrasia nchini.
Soma pia: Makalla: CCM...
Msafara Wa Mgombea Urais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kupitia Chama Cha Wananchi CUF Gombo Samandito Gombo Ulivyosimamishwa Na Mamia Ya Wananchi Wa Kijiji Cha Kasota, Kata Ya Bugurura, Wilaya Ya Geita Vijijini, Mkoani Geita.
Soma pia: Mgombea Urais Samandito Gombo (CUF): Tutahakikisha...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Almas, ameahidi kuwa iwapo chama chake kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi, serikali yake itatungua sheria kali dhidi ya mapenzi ya jinsi moja ndani ya siku 30 baada ya kuundwa kwa...
Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama Cha Kijamii (CCK), Coaster Kibonde ameahidi kutoa ekari tano za shamba kwa kila kijana kuanzia umri wa miaka 21 hadi 35 ilikuboresha maisha ya vijana, kwa upande mwingine Kibonde ameahidi kutoa elimu bure kuanzia elimu cha awali hadi chuo kikuu.
Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema hana pingamizi lolote kwa mkewe, Salma Kikwete kuendelea kufanya kazi za uwakilishi bungeni
Amewataka wananchi wa Jimbo la Mchinga, lililopo mkoani Lindi, kumpigia kura ili aendeleze alipoishia katika kipindi kilichopita. Salma amelitumikia jimbo...
Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakiomba kutolewa nje mtu mmoja aliyedhaniwa ni askari ambaye ameenda kukaa katika benchi la wafuasi hao
Leo Septemba 8, 2025 Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu...