Msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Moshi Mjini, Wakili Sifaeli Kulanga, ametoa tathmini ya mwenendo wa zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.Akizungumza Wakili Kulanga amesema, vituo vyote vimefunguliwa na kuwataka wananchi kufika kwenye vituo kwa lengo la kupiga kura na...