GE2025 Uyole: Dkt. Tulia aahidi kujenga barabara ya lami kata ya Ilomba

GE2025 Uyole: Dkt. Tulia aahidi kujenga barabara ya lami kata ya Ilomba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mgombea Ubunge wa jimbo la Uyole kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Tulia Ackson ameendelea Na kampeni zake katika Kata Ya Ilomba na Kuahidi Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara,Afya,Elimu na Umeme

​
 
View attachment 3478786
Kuwe na utaratibu maalum wa kujenga barabara siyo tu kukurupuka na kusema tunajenga barabara, Nchi yetu yote inahitaji barabara za lami. kuwe na utaratibu ambao siyo lazima huyo Betina, mbovu wa sura apewe kipaumbele.....Kipaumbele kinabidi kinawepo kwa nchi nzima siyo kwake huyu, na wale ambao hawana speaker wao barabara zao zitajengwa lini?
 
Back
Top Bottom