Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora, Naitapwaki Tukai amekutana na Viongozi wa makundi mbalimbali ya Viongozi wa Dini, Mila, Wafanyabiashara akiwaomba watumie nafasi zao kuwahamasisha Wananchi kushiriki uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, kwa amani na utulivu.
Naitapwaki, amesema hayo wakati wa kikao...