uchaguzi mkuu 2020

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusoma 12

    PostGE2025 Jaribio la kuhatarisha usalama wa taifa lilianza uchaguzi mkuu 2020 idara na mamlaka wakajiona washindi sasa tunavuna matokeo

    Hii idara huenda haipo huwa tunadanganywa kama taifa, inawezekana vipi idara ilishindwa kuona hatari iliyopo wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, then 2024 serikali za mitaa na mwaka huu wakapuuza security alert iliyokuwa imeshaonekana mapema? Hii idara ivunjwe kama ipo kweli maana naona mambo mengine...
  2. Mafyangula

    GE2025 Kigaila: Naona uchaguzi 2025 ni huru kuliko chaguzi za mwaka 2020

    Kuna tofauti, uchaguzi wa 2020 ulianza changamoto kuanzia kwenye uteuzi watu walienguliwa sana bila sababu watu wengi walikataliwa kupewa hata fomu za serikali, watu wengi pia walikataliwa kurudisha fomu za serikali na waliporudisha walienguliwa bila sababu kitu hicho mwaka huu 2025 akikuwepo...
  3. Emilio Mzena

    Kwanini walinzi wa Magufuli walikuwa wanavaa sare za CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020?

    Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana. Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 aliamuru walinzi wake (PSU) kuvaa sare za CCM. Kitendo hiko hakikuwahi kufanywa na watangulizi wake. Hii ilikuwa kinyume na taratibu na miongozo ya kidemokrasia. Nini...
  4. JanguKamaJangu

    Tujikumbushe Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 yalivyokuwa

    Matokeo Ya Uchaguzi Wa Rais, 2020: Dkt. Magufuli John Pombe Joseph - Ccm … 12,516,252 Mahona Leopold Lucas - Nra ……………… 80,787 Shibuda John Paul - Ada-tadea ………… 33,086 Muttamwega Bhatt Mgaywa - Sau ……… 14,922 Cecilia Augustino Mmanga - Demokrasia Makini...
  5. and 998 others

    PreGE2025 CCM iombe radhi kwa madhila uchaguzi Mkuu 2020

    Kutokana na yanayoendelea kwenye jamii, ingefaa Chama kitoke hadharani na kuomba msamaha kwa uchafu uliotendeka uchaguzi 2020. 1. Kukataliwa fomu za wagombea wa baadhi ya vyama (huku wagombea wa CCM kupita bila kupingwa). 2. Kuzima internet kwa siku kadhaa. 3. Kunyang'anywa vifaa kazi...
  6. Cannabis

    GE2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali. Amesisitiza kuwa...
  7. Erythrocyte

    Mtanzania Afungua Kesi Mahakamani kuhusu kuzimwa kwa mitandao 2020, Aiomba Mahakama ichukue hatua kali

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka Duniani kwa sasa, Kwamba Mtanzania huyo Mzalendo na mwenye uthubutu, Bwana Kumbusho Dawson, ameifungulia kesi Serikali ya Tanzania Pamoja na Mamlaka za mawasiliano kwa jambo lile la kishamba la mwaka 2020 ili Mahakama ichukue hatua na itamke kwamba jambo kama...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    Siku Watu Wasiojulikana walipoharibu magari ya Mbowe huko Hai

    LEO TENA KTK UNTOLD STORIES OF ZAMA ZA GIZA by Boniface Jacob Tuelekee huko Kaskazini Mwa Tz, Mkoani Kilimanjaro,Wilaya ya Hai. Ilikuwa Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 October 2020 ikiwa ni Siku 2 tuh baada ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Kufuatia Kuharibika kwa Uchaguzi Jimbo la...
  9. tpaul

    Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

    Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇 MAONI YANGU Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali...
  10. Q

    NEC yataka Tume yao ipewe meno ili iwe Huru

    Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage, Agosti 21 akiwasilisha ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa Rais Samia alitoa mapendekezo saba ya kufanyiwa kazi, likiwemo la kuanzishwa kwa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo itawapa meno zaidi. Mapendekezo ya NEC ya kutaka ianzishwe...
  11. mshale21

    Kwanini ACT Wazalendo hawashiriki uzinduzi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2020 wakati wameunda Serikali huko Zanzibar?

    Wakuu, natumai hamjambo! Mbali na CHADEMA, walioonesha nia ya dhati ya kutoshiriki hafla ya kukabidhi report ya uchaguzi 2020 inayotarajiwa kufanyika Leo , tar 21/8/2021, Vyama vya ACT na NCCR, vimetoa misimamo yao ya kutohudhuria hafla hiyo kwa madai mwaka 2020 hakukua na uchaguzi. Kwa...
  12. Idugunde

    Ni mwendo wa kususa.Cuf nao wasusia ripoti ya uchaguzi mkuu 2020.

  13. BAVICHA Taifa

    CHADEMA kutohudhuria hafla fupi ya kukabidhi taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020

    Tumepokea mwaliko kutoka Kwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kwa ajili ya Mwenyekiti Taifa, Katibu Mkuu, aliyekuwa mgombea urais na aliyekuwa mgombea wa umakamu wa urais kuhudhuria hafla fupi ya kukabidhi kwa Rais taarifa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Chama kupitia barua ya Katibu...
  14. Replica

    Jumuiya ya Kikristo: Tulikosa Kibali kushiriki Uchaguzi mkuu 2020

    Leo Rais Samia Suluhu ameshiriki kwenye Mkutano mkuu wa Jumuiya ya Kikristo na miongoni mwa maombi yao ni kushiriki kwenye Demokrasia na Chaguzi. Jumuiya hiyo imesema ushiriki wa taasisi katika uchaguzi wa kidini haukuwepo kabisa kutokana na kukosa kibali kutoka mamlaka husika na wanaomba...
  15. J

    Kuzuia mikutano ya siasa kunaifubaza CCM na kuimarisha Upinzani, ndio maana Uchaguzi Mkuu 2020 ulikuwa mgumu kwa CCM

    Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015. Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo. Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika...
  16. GENTAMYCINE

    Kama aliyeharibu Uchaguzi Mkuu 2020 nae aliimiliki hii ' laana ' kwanini Wabunge aliowapitisha ' Kimabavu ' laana hii isiwaandame tu?

    Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza bungeni alipokuwa akiwaonya wabunge kutoleta taarifa za kutambulishwa bungeni waume au wake za watu wakidai ni waume au wake zao, alipokuwa akiongoza kikao cha bunge la bajeti, jijini Dodoma leo. Ndugai amesema amepokea malalamiko kutoka kwa wananchi...
  17. Erythrocyte

    Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba Mjini (CHADEMA), Chief Kalumuna na wenzake 6

    Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani. Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
  18. Analogia Malenga

    Hanje amuomba Rais Magufuli kuzifuta kesi za uchaguzi mkuu 2020

    Mbunge wa viti maalum, Nusrat Hanje amemuomba Rais John Magufuli kuzifuta kesi zote zinazohusu uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, 2020 ili wananchi wafanye shughuli za kuijenga nchi. Hanje ni miongoni mwa wanawake 19 waliovuliwa Uanachama wa Chadema baada ya kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalum bila...
  19. Kingsmann

    GE2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

    Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza...
  20. Replica

    Asasi nne za kiraia zaishitaki Tanzania mahakama ya Afrika Mashariki kwa 'Ukiukwaji mkubwa' kutoka kwa polisi wake

    Asasi nne za kiraia zimeifikisha mahakamani Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa karibuni ambao ulimrudisha madarakani Rais John Pombe Magufuli. Taasisi kutoka Kenya na Uganda zinaishtaki Tanzania kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki, zikituhumu vyombo vya usalama...
Back
Top Bottom