uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kituo cha kura chavamiwa na kuchomwa moto, Hakuna uchaguzi 2025

  2. GE2025 Mgombea Ubunge wa Uyole, Dkt. Tulia Ackson apiga kura. Awahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole mkoani Mbeya, ambaye pia ni Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ametoa wito kwa wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kutimiza haki yao ya msingi ya kikatiba. Dkt. Tulia ameyasema hayo leo Oktoba 29, 2025, mara baada ya kupiga kura katika...
  3. GE2025 Mgombea Urais kupitia Sauti ya Umma (SAU), Majalio Paul Kyara apiga kura. Zifahamu ahadi zake hapa

    Majalio Paul Kyara, mgombea urais wa Tanzania na Katibu Mkuu wa chama cha Sauti ya Umma (SAU), amepiga kura leo katika kituo cha kupigia kura cha Mbuyuni Changanyikeni, Dar es Salaam. Kyara aliwasili katika kituo hicho akiwa na mkewe, na wote walishiriki katika zoezi hilo la kidemokrasia...
  4. GE2025 Msemaji wa Polisi: Hakuna tishio lolote la kiusalama lililobainika hadi sasa

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime, amethibitisha kuwa hali ya usalama nchini ni shwari na salama, akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika vituo vyao vya kupigia kura ili kutimiza haki yao ya kikatiba. Akizungumza leo, Oktoba 29, 2025, kwenye kipindi cha Jambo Tanzania cha...
  5. GE2025 Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025: Matukio na taarifa Mubashara za Uchaguzi

    Utangulizi Oktoba 29, 2025 Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu katika mazingira yanayoelezwa kuwa yenye hali wasiwasi mkubwa na taharuki. Uchaguzi huu unakuja takriban mwaka mmoja baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, uliosababisha mijadala mikubwa kutokana na matukio ya...
  6. GE2025 Mbona mnatukatisha tamaa mapema hivi wakati ndio kwanza siku imeanza? Tulieni Polisi wapate surprise!

    Wakuu, Yaani asubuhi asubuhi mshasema maandamano yamefeli? Ndio kwanza siku imeanza mbona mnatukatia tamaa mapema hivi? Hamuamini kuwa wanannchi tunaweza kuleta mabadiliko wenyewe? VItuo si vinafunguliwa, tunaamka na kutoka na vitambulisho vyetu huko huko tunaungana barabarani, mlitaka watu...
  7. GE2025 Chalamila, Muliro waibuka Kitambaa Cheupe Sinza, Awataka Watanzania Kudumisha Amani Katika Siku ya Uchaguzi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewaagiza Watanzania kulinda amani ya nchi, hususan leo Oktoba 29, 2025, wakati wa zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa migogoro ya kisiasa inaweza kuathiri sana uchumi na shughuli nyingine za Taifa. Akizungumza katika eneo la “Kitambaa...
  8. GE2025 Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%

    Samia Suluhu kutoka CCM atangazwa kushinda kwa asilimia 97.66% ya kura 31,913,866 Kwa mujibu wa Tume, jumla ya wapiga kura walioandikishwa ni milioni 37,655,559; Waliopiga kura ni milioni 32,678,844 Anayemfuatia ni Salum Mwalimu wa CHAUMMA ambaye amepata kura 213,414 sawa na 0.65% ======...
  9. GE2025 Wanazuoni wa Kiislamu: Msiache nafasi hii adhimu ya kuchagua viongozi wanaotufaa. Tusikubali kuvutwa na Propaganda

    Wakuu, Matamko yameendelea kutolewa kuhusu Uchaguzi huu Hawa wanajiita Wanazuoni wa Kiislamu
  10. GE2025 Martha Karua: Kinachotokea nchini Tanzania si Uchaguzi bali ni kutawazwa kwa Rais Samia

    Wakuu, Kuna ujumbe hapa kutoka kwa Martha Karua kuhusu Uchaguzi unaofanyika leo Tanzania. Martha anasema leo kinaachofanyika ni Coronation na si Uchaguzi bali ni Uchafuzi "Kinachotokea kesho nchini Tanzania si uchaguzi bali ni kutawazwa. Rais Samia anajiwekea taji akitangaza kuwa yeye ndiye...
  11. GE2025 Mchambuzi wa siasa Dennis Muchunguzi: Watu wengi walijitokeza kusikiliza kampeni kwenye Uchaguzi wa mwaka huu

    Wakuu, Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dkt. Dennis Muchunguzi Dennis Muchunguzi amesema baadhi ya ahadi zilizotolewa na wagombea wakati wa kampeni zimekuwa za kuchekesha na zisizo na uhalisia, akitolea mfano mgombea aliyeahidi kufuga mamba Ikulu ili watu wenye matatizo waliwe na mamba.
  12. GE2025 M/Mwenyekiti ACT Ismail Jussa: Siku ya kwanza ya Uchaguzi Zanzibar kumefanyika uhuni mkubwa. Watoto wadogo walipelekewa kupiga kura

    Wakuu, Hawa ACT walionywa sana na CHADEMA kwamba wasishiriki Uchaguzi huu maana wataenda kuibiwa kura lakini hawakusikia sasa hivi wanatoa milio tu. Haya sasa kiko wapi? --------------------------- Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Ismail Jussa amekosoa kile alichokiita uchakachuaji uliofanywa...
  13. GE2025 Mwanza: Magari ya Polisi yafanya doria usiku huu wakati Taifa likisubiri maandamano

    Wakuu Nasikia huko Mwanza walianza doria usiku wa kuamkia leo. Yani magari tu na ving'ora vilikuwa vikisikika usiku kama video inavyoonesha Kiukweli kabisa yani organizers wa haya maandamano wameweza kuwasumbua hawa watu
  14. GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  15. GE2025 Kwa tulioshuhudia chaguzi za vyama vingi toka 1995 hadi sasa Hali ya uchaguzi 2025 ni tulivu sana

    So far tuwapongeze wahusika wote wa maandalizi ya uchaguzi huu wa 2025. Kwa wale tulioshuhudia chaguzi kadhaa toka mfumo wa vyama vingi uanze hatuna budi kussma hali ni ya amani mno na yenye kuvutia watu wengi kupiga kura kwa utulivu. Shetani au wahujumu waliopambana kuzuia tukio hili muhimu...
  16. GE2025 Safari hii hata hawajajisumbua kupitisha greda watudanganye, wanajua NIDA zitafanya kazi anyways!

    Wakuu, Safari hii kwenye kampeni hata hawajarwmba na danganya toto za kupitisha greda kurekebisha barabara kwa muda mfupi ili watakaoenda kuwapigia kura wapite kwenye njia nzuri😂😂 Safari hii ni unyama, kiburi kiburi tu, mwingine hadi katuita mbwa huko😂😂 NIDA zinawapa kiburi kwelikweli. Utoke...
  17. GE2025 Muliro na Mafwele walivyorekodiwa wakiongea na askari kuhusu maandamano. Wakiri kukamata watu, wawatishia kifo

    Wakuu, Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe. Mbali na kuwakanya wamepewa na...
  18. GE2025 Ukivaa nguo za CHADEMA, au kuongelea maandamano unawekwa gerezani hadi uchaguzi upite, jishikilie huo mdomo mpaka MO29!

    Wakuu, Hiki ndicho kinaendelea wakati huu, ukionekana umevaa gwanda za CHADEMA au unajisogoze sogeza na kuwa na viashiria vya kuwa mwana CHADEMA unadakwa chap, wanakutia selo, ndugu zako wanaambiwa hutoki mpaka uchaguzi uishe, hivyo wajipange tu kukuletea chakula na mahitaji muhimu...
  19. GE2025 Baada ya kuisikiliza hii audio ya Mafwele, ni dhahiri Maandamano hayakuanzishwa mitaani, bali yameanzishwa na waliomo ndani ya Mfumo

    Ndani ya hii audio clip kuna mambo kadhaa yanayotoa picha kubwa ya kile kinachoendelea na kukemewa nchini Tanzania. Kwanza, na kwa umuhimu mkubwa zaidi, Mafwele amekiri wazi kwamba yeye ndiye anayeongoza operesheni zinazolalamikiwa nchi nzima, ikiwemo ukamataji, mauaji, na watu kutoweshwa...
  20. GE2025 Nadhani hakukua na haja Mafwele kusema amekamata wanajeshi wanne kwa kuchana bango la Samia

    Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu. Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde nchi Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity. Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…