B bato JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,960 Reaction score 3,476 Jan 23, 2025 #2 Wao (chadema) watafanya nini kurekebisha udhaifu huo wa ccm.. nafikiri pamoja na ukosoaji, chama cha siasa watueleze sera zao kujibu hoja za wananchi.
Wao (chadema) watafanya nini kurekebisha udhaifu huo wa ccm.. nafikiri pamoja na ukosoaji, chama cha siasa watueleze sera zao kujibu hoja za wananchi.
Von Bismarck JF-Expert Member Joined Jul 11, 2018 Posts 4,762 Reaction score 11,384 Jan 23, 2025 #3 Suala la ajira kwa Tanzania linatatuliwa kama viongozi wasipokuwa wabinafsi. Kila sekta nchi hii ninachangamoto ya raslimali watu. Hili chadema wakikaa vizuri wakaja namna gani watalifanikisha. Nawahakikishia 100% wanachukua kula nyingi sana. Kwatafiti za karibuni kila kaya 10 kuna kaya 7. Kunajobless
Suala la ajira kwa Tanzania linatatuliwa kama viongozi wasipokuwa wabinafsi. Kila sekta nchi hii ninachangamoto ya raslimali watu. Hili chadema wakikaa vizuri wakaja namna gani watalifanikisha. Nawahakikishia 100% wanachukua kula nyingi sana. Kwatafiti za karibuni kila kaya 10 kuna kaya 7. Kunajobless
S strongest JF-Expert Member Joined Nov 28, 2024 Posts 483 Reaction score 2,151 Jan 23, 2025 Thread starter #4 bato said: Wao (chadema) watafanya nini kurekebisha udhaifu huo wa ccm.. nafikiri pamoja na ukosoaji, chama cha siasa watueleze sera zao kujibu hoja za wananchi. Click to expand... nilichoandika hapo uelewi au ndo uwezo wa kufikiri mdogo. soma juu hapo uelewe
bato said: Wao (chadema) watafanya nini kurekebisha udhaifu huo wa ccm.. nafikiri pamoja na ukosoaji, chama cha siasa watueleze sera zao kujibu hoja za wananchi. Click to expand... nilichoandika hapo uelewi au ndo uwezo wa kufikiri mdogo. soma juu hapo uelewe