π§πππ₯πππ πππͺππππππ π£π’π£π’π§π πͺππππ£π’ π¬π ππͺππ ππ πππ π‘π π‘ππ ππ π π’ππ ππππ π
Hayo sio maneno tu ya msanii Alikiba bali ameyanukuu kutoka kwa Wanachama, Wapenzi, Mashabiki na Wadau mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba CCM ni namba moja daima, wapinzane wakae wajue hilo, waache kujisahaulisha...