Mwanzoni mwa mwaka huu katika kusherehekea kutimiza kwangu miaka 20 tangu nizaliwe, nilipata zawadi ya mkoba kutoka katika viwanda vya hapa kwetu. Mkoba ni nadhifu sana, bidhaa za ngozi huwa zinadumu kwa muda mrefu. Kasoro kubwa ilikua kwenye kumalizia, hadhi ya zipu hailingani na ubora ya...