ubungo

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maagizo ya kuzuia biashara holela je wilaya ya Ubungo ipo excluded?

    Kile kinachoendelea cha usafi na kuzuia biashara katika maeneo Yasiyo ramsi kinachonekana ikifanyika katika wilaya zingine huku wilaya ya Ubungo Mambo yakiendelea opposite. Katika wilaya ya Ubungo machinga na Vibanda holela vimekuwa kama ni sehemu ya utamaduni na uongezekaji wake Kwa Kasi...
  2. JamiiForums Tanzania Uwezi amini, Bakile siku ya 29/10/2025,alitoka ukonga mpaka ubungo aliona tu ofisi ya mtendaji ikiingia,aliona watu wamelala barabarani akajua wamepum

    Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine. Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Ubungo Kibangu tunadai hati za viwanja, Manispaa ya Ubungo inatuzungusha

    Wananchi tulinunua viwanja katika eneo la Ubungo Kibangu Jeshini mwaka 2020, wakati Jeshi lilipokuwa linaweka mpaka kati ya maeneo ya wananchi na eneo la Jeshi, Kikosi Na. 671. Katika zoezi hilo la upimaji na uwekaji wa mipaka, vilipatikana viwanja kadhaa ambavyo vilifanyiwa demarcation na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Watumishi tuliokuwa hospitali ya Ubungo tunadai 'overtime' kwa muda mrefu

    Mimi ni miongoni mwa watumishi wa mkataba waliowahi kufanya kazi katika Hospitali ya Wilaya ya Ubungo iliyopo Kimara Baruti. Nilisitisha mkataba wangu kwa kufuata utaratibu wa kutoa barua rasmi ya kusitisha mkataba. Ninaandika kuwasilisha malalamiko kuhusu kutolipwa malipo ya overtime...
  5. JamiiForums Tanzania Unahitaji mitambo? Heavy Industrial equipment in Agriculture, Construction, Mining and Industries. Karibu tuwasiliane 0754247000. Ubungo Dar es salaam

    Habari ya wakati huu. Mwenye mahitaji mashine ya kununua, spea parts, na service za mashine hizi chini, karibu tuwasiliane zaidi. 1. Tractor (35hp, 50-60hp, 75hp) na Power tiller 15.5hp 2. Forklifts ( 3.5T, 5T & 7-10T) 3. Generators ( 17kva - 550kva ) 4. Wheel loaders ( 3T & 5T) 5. Excavators...
  6. JamiiForums Tanzania WANAHITAJIKA MAFUNDI UJENZI DAR-ES-SALAAM, UBUNGO, KAZI NI UPIGAJI WA PLASTER

    Mafundi wa ujenzi, kazi ni upigaji wa plaster siku ya kesho tarehe 07/09/2026 wanahitajika wa kutosha kama unaweza ama unamfahamu mdau anayeweza kufanya hili jambo mjuze aweze kusogea karibu, Asubuhi na mapema tukimbizane........ Kazi ni kubwa na mafundi ni wengi sana wanaohitajika kwa wepesi...
  7. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo: Ushuru wa Bajaj Mbezi Stendi ni Tsh. 500 inayoshusha abiria na Tsh. 2,000 kwa siku

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA USHURU WA BAJAJI KATIKA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kwamba viwango vya ushuru vinavyotozwa kwa bajaji katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli vinatofautiana kulingana na aina ya huduma inayofanyika...
  8. JamiiForums Tanzania Je! Wamachinga na Vibanda vya wamachinga vimeruhusiwa rasmi Ubungo na Kijazi Interchange?

    Naona kama shughuli sasa imekuwa rasmi. Maduka ya wamachinga yameanza sehemu pembezoni mwa interchange ya Kijazi na Morogoro road. Je watendaji hili wanaliona au wanasubiria mpaka kipele kiwe jipu ndo waje watoe suluhisho. Ni aibu kuona kila mahala wamachinga wamezagaa bila udhibiti wowote.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wazazi na Wanafunzi wa shule ya msingi Umoja, iliyopo Mabibo Farasi tunateseka kwa michango

    Viongozi wa mamlaka ya elimu wafanye ziara katika Shule ya Msingi Umoja iliyopo Mabibo Farasi, Kata ya Mabibo, Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, na kuwahoji wanafunzi kuhusu michango ya shule ili kuona jinsi wazazi na watoto wanavyoteseka. Kwa mfano, mzazi mwenye watoto wawili shuleni hapo...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ardhi yadaiwa kushuka thamani kwa 80% Magomeni, Ubungo, Riverside, Shekilango na Mbagala!

    Baada ya 17/8/2026, tamko la Mkuu wa Mkoa lilielekeza magari kurudi Mbezi Luis Stand. Kampuni zote zimetii, isipokuwa “kampuni pendwa 3” ambazo hazijatajwa majina, zimeruhusiwa kuendelea kuanzia mjini. Hakuna mwandishi aliyenyanyua mdomo kuhoji sababu na vigezo vya hizo kampuni. Ila katika moja...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubungo: Vyoo vya Soko la Stendi Mawasiliano (Simu 2000) bado havifanyi kazi mwezi wa 6 sasa, vimegeuzwa stoo

    Zaidi ya miezi sita imepita tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itoe taarifa kwamba inafanyia kazi changamoto ya vyoo vilivyopo katika stendi ya mawasiliano, pembezoni mwa Soko la Maindi. Nasikitika kusema kwamba hakuna kilichoendelea hadi sasa. Vyoo hivyo bado havifanyi kazi na kwa sasa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Majengo yetu Ubungo Riverside (Dar es Salaam) yanaoza tangu 2020, TANROADS wamezuia kuendeleza, tunazidi kupata hasara

    Mimi ni mwananchi na mfanyabiashara mmojawapo miongoni mwa wamiliki wa nyumba na viwanja zaidi ya 100 vilivyopo katika eneo la Ubungo Riverside, pembezoni mwa stendi ya basi (Riverside). Eneo hili la kibiashara, nina nyumba yangu halali yenye hatimiliki ya uwekezaji ikiwemo biashara na makazi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Milipuko Sinza na Ubungo

    Kwema wakuu, Nasikia sauti ya milipuko maeneo ya Sinza, Shekilango au Ubungo, ni nini hii wakuu? NB Hata mwaka jana tarehe kama ya leo ilisikika pia https://www.jamiiforums.com/threads/hii-milipuko-inayosikika-eneo-la-ubungo-ni-nini.2370713/
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto zinazoendelea kwenye hospitali ya Wilaya ya Ubungo, zinazohitaji kuchunguzwa na kutatuliwa

    Kuna changamoto kadhaa zinazoendelea katika hospitali hii ambazo zinahitaji kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua: 1. Ucheleweshaji wa malipo ya wafanyakazi Wafanyakazi hawajalipwa malipo ya muda wa ziada (overtime) tangu mwezi Novemba hadi sasa. Wanapouliza uongozi, wamekuwa wakielezwa kuwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hapa Askofu Bagonza ameniacha njia panda pale Ubungo mataa

    Nimepotea kabisa. Msikilize 1. Kuwekwa na Mungu 2. Kujiweka Which is which?
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kumekuwa na upendeleo mkubwa katika upatikanaji wa nafasi za kujitolea katika hospitali ya Wilaya ya Ubungo

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto mbalimbali zinazodaiwa kuwepo katika Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, hususan katika usimamizi wa ajira za kujitolea (volunteer), maslahi ya watumishi, uongozi na usimamizi wa fedha. Kwanza, kuna malalamiko kuhusu upendeleo katika upatikanaji wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mchange: Mnyika aliacha kugombea Ubungo mwaka 2015 kwasababu hakukubaliana na ujio wa Lowassa CHADEMA

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward...
  18. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Ubungo wachangishwa hela ya ulizi wa maandamano 7 7

  19. JamiiForums Tanzania TANESCO: Baadhi ya maeneo Dar na Zanzibar yakosa umeme kutokana na hitilafu Kituo cha kupoza umeme Ubungo

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam na Visiwa vya Zanzibar kuwa kumetokea hitilafu ya dharula ya kiufundi katika moja ya transfoma kwenye Kituo cha chetu cha Kupoza Umeme cha Ubungo baada ya waya kukatika na kusababisha...
  20. I

    JamiiForums Tanzania KERO Kusuasua kwa uzoaji taka kunatishia Afya za wakazi wa Ubungo Riverside

    Nikiwa Ubungo Riverside, nimebaini kuwepo kwa changamoto kubwa ya uondoaji wa taka ambapo huduma hiyo imekuwa ya kusuasua kwa muda sasa. Hali hii imesababisha taka kurundikwa kando ya barabara na katika maeneo ya makazi kwa siku nyingi bila kuondolewa. Wakazi wa eneo hili wanasema taka hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…