CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimewapitisha wanachama nane kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA) utakaofanyika Septemba 22, mwaka huu.
Akitangaza majina ya makada wa CCM waliopitishwa na Kamati ya Wabunge wa CCM leo, Msimamizi wa Uchaguzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya...