Huduma za Starlink, zinazotolewa na kampuni ya SpaceX, zimekuwa zikivutia nchi mbalimbali duniani kutokana na uwezo wake wa kutoa intaneti ya kasi kupitia satelaiti, hata katika maeneo ya mbali yasiyofikiwa na miundombinu ya kawaida ya intaneti. Tanzania, ikitarajiwa kuanza kutumia huduma hizi...