Ubinafsi sio kuwa mchoyo tu, hata ile hali ya kutanguliza sana watu mnaofanana kabila kuna element za ubinafsi
WASUKUMA - Sehemu unayoweza kwenda hata ukiwa mgeni na ukapewa ushirikiano kwenye fursa, ila hapa nigusie kidogo hawa ni wasukuma wa Shinyanga, Geita, vijiji Mwanza na maendo ya...
Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
kuna nguvu ya ajabu kwenye kufanya mambo kimya kimya_
Jifunze kuwa mbinafsi kwa njia sahihi. Kuwa mbinafsi sio ubaya – ni ulinzi wa ndoto zako. Ni kukataa kupoteza muda kwenye kelele za watu wasiokujenga. Ni kusema ‘hapana’ kwa vishawishi vinavyokuondoa kwenye mstari wa ndoto zako. Ni kuchagua...
Wala usijichoshe, hakuna.
Ushawahi jiuliza kwanini wanawake wanachukiana na kusengenyana?
Ni kwa sababu mtu pekee wa kuweza kumuelewa mwanamke hapa duniani ni mwanamke mwenzake ndio maana wanachukiana.
ukiangalia hii dhana ya mradi wa DART utaona ni dhana sahihi kutatua tatizo kubwa la usafiri wa umma katika jiji la Dsr es Salaam. Dhana ya bus transit sio ya zamani imeanza mwishoni mwa miaka ya 1990. Miji ya kwanza kujengwa rapit transit ilikua kule amerika ya kusini Curitiba Brazil na Bogota...
Yule Kiongozi msemaji wa Dolla Chama , CPA Makala aka Kipara ,ametoa Rai ya kikao Cha wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kitakachofanyika online kuhusu marekebisho madogo ya Katiba ya CCM kutokana na Malalamiko ya rafu na Rushwa katika kuteua wagombea alizoziweka Samia (kanuni zinazolalamikiwa...
Humphrey Polepole amewajibu wanaomuita kuwa yeye ni msaliti kwa kuhoji kati ya yeye na yule anayevunja desturi na utaratibu ili kujipatia uhalali binafsi.
Ubinafsi na Uchama wa Kikwete umechangia Tanzania kufika hapa majangani. Anachojali ni familia yake, marafiki zake na wapambe. Bila huyu mddudu tungekuwa na katiba mpya, mifumo imara ya mahakama na bunge la wananchi. Sasa tumejaza wala rushwa, mahakama ya kisiasa na bunge butu!!!!
Bill Gates ameamua kuwa atagawa utajiri wake wote wa dola bilioni 200 (Trilioni 600) kwa watu masikini hasa wa afrika kabla hajafa, ningependa kuwashauri matajiri wa kwetu hapa tanzania pia kugawa utajiri wao wote kwa masikini kabla hawajafa ili kuleta usawa kwa wanyonge, maana tangia JPM afe...
Wakuu
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook
==
Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?
Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
Ni ajabu sana kuona kizazi kinachojiona "kimeamka" kikikumbatia falsafa ya ubachela kana kwamba ni mafanikio ya juu kabisa ya maisha. Team Kataa Ndoa wamechagua njia rahisi ya kuepuka majukumu, wakijificha nyuma ya visingizio vya uhuru, starehe, na "kupambana kivyao."
Je, kweli wana akili...
Si vyema kutaja idadi ya Wakristo walioko kwenye utumishi wa umma ila kila mtu anajua kuwa Wakristo wako wengi sana kwenye corridor za majengo ya umma.
Leo ni sherehe muhimu sana kwa Wakristo kuliko sherehe zote.
Mishahara mara nyingi inatoka tarehe 21-24 za kila mwezi. Wangewahisha tarehe 17-19...
Huu utafiti nimejifanyia mimi mwenyewe.
Nimezoea kuishi peke yangu kiasi kwamba hata nikipata binti yoyote wa mahusiano namuona kero akiwa kwangu.
Yaani zamani nilishikwa na upweke baada ya kuachana na mpenzi wangu wa muda mrefu lkn kuna mahala nikakuta wanasema "Do not fight loneliness, but...
Angalieni tu kwenye line up yao.....asilimia 95% ni wachezaji wa ndani...yaani wazawa.
Kama unabisha just Google cheki mechi za leo, line ups zipo tayari.....mtanielewa ndugu zangu
In summary, hawa waafrika waarabu hawatupendi , bisha ila kuna siku utanielewa, asante.
Eti cha mwanaume ni cha familia, cha mwanamke ni cha mwanamke. Hivi huu ujinga ni nani aliwafundisha?
Siku zote mahusiano yenye afya yanajengwa kwa kushirikiana, si kwa mzigo kuwa kwa upande mmoja tu.
Ndio maana, ndoa zimejaa biashara na ubinafsi, badala ya kutawaliwa na upendo.
Ndoa yangu...
Ndugu wana JF,
Kwanza nikiri kuwa mimi ni shabiki wa Simba Sports Club Miaka 33 sasa.
Juzi nilikuwa Igurusi mkoani Mbeya kuna sehemu nilikuwa napata chakula. Eneo nililokuwepo nilikutana na wanachama na mashabiki wengi sana wa Simba sports club wakiwa wamevalia jezi za Simba huku wakiwa na...
Great Thinkers.
1..Somemi mpaka.Phd
2. Salini saa 24.hrs
3. Andaeni.michakato sana.
4.Tengenezi.dira hata za miaka 100.
5.Badilisheni.viongozi.muwezavyo.
Yote hayo ni bure kama hatutaacha kuwa wabinafsi na ndo kitu.kinatafuna bara lote la africa kutumbukia kwenye umaskini mkubwa.
Viongozi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.