Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Viwanja!
Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta Kiwanja cha JV kilichopo Masaki au Oysterbay, Dar es Salaam.
Mahitaji ya mteja:
-Ukubwa wa kiwanja uwe 2000sqm-4000sqm.
-Masharti 30%/70%.
-Mmiliki anapaswa kuwa tayari kwa maendeleo ya Villa(Villa development).
-Plot...