ubaya

Major General Ubaya Medawela RSP, VSV, USP, ndu, psc, MSc was a Chief of Staff of the Sri Lanka Army.

View More On Wikipedia.org
  1. Ubaya ubwela kwa kwa kipare ni uvivi wahunduka je kwa lugha yako mnasemaje?

    Tuambie hii sentensi UBAYA UBWELA kwa lugha ya kikwenu mnasemaje? 1. WAPARE - UVIVI WAHUNDUKA.
  2. Mliozitaka picha za Ubaya Ubwela kabla jua halijazama 😄

    Mliozitaka picha za Ubaya Ubwela kabla jua halijazama 😄
  3. Rekodi: Simba yafanikiwa kujaza uwanja siku tatu kabla ya Simba Day

    Hatimaye kwa mara nyingine na kwa mara ya tatu mfululizo timu ya Mo Dewji imenyakua kombe la kujaza uwanja kama kawaida katika mwanzo wa msimu.Katika hali ya kustaajabisha na ya kusikitisha timu hiyo kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kukamilisha kombe la kujaza uwanja mwanzo wa msimu,Huwa...
  4. Hii ndio maana halisi ya 'Ubaya Ubwela'

    Timu haijashinda Ubingwa wa ligi kuu Misimu mitatu mfululizo lakini Mashabiki hawajawahi ingia bure Uwanjani, bado siku tatu kuelekea Simba day lakini Uwanja ushatapika 1. Simba haikuchukuwa tuzo ya Mashabiki bora kwa upendeleo 2. Makofi kwa Mashabiki wa Simba na Semaji wao
  5. Maisha ya wenye Ndoa wengi kwa Karne hii ni Ubaya Ubwela, tuwe Wakweli Ndoa nyingi ni Gereza la hiari kwa Wanaume

    Shalom, 90% ya ndoa nyingi ni fake, wanawake wengi huolewa kwa shida zao binafsi na kwa manufaa binafsi mfano kukosa kujihudumia kwa chakula, mavazi, kula vizuri, kulipa Kodi ya nyuma, familia duni hasa wazazi na ndugu tegemezi kibao, kuoana wivu hasa marafiki zao wakiolewa. Na wanawake kwa...
  6. Wenye Akili tunajua kuwa Ziara yenu Maalum kwenda Ikwiriri ni ya nini, ila tunasisitiza Kwenu kuwa Msimu huu Ubaya Ubwela tu

    Tayari Mtaalam wenu wa Tegeta ( Dada ) na yule wa Lindi ( Mpwa wake Boss Kwetu ambaye pia anatumiwa na Boss namba Tatu nchini ) Watu wameshamalizana nao. Huyo wa huko Ikwiriri Mkoani Pwani mlikoelekezwa na yule Mzee wenu Muhuni aliyempiga Mkwara Rais wenu wala hana Maajabu. Tumejipanga.
  7. Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

    Nipo jirani na msikiti, Kuanzia saa 10 alfajiri, Kuna shehe huyo amekuwa mtangazaji wa muda, "Sasa hivi ni saa 10 dakika 20 ewe muislamu jiandae kuamka, Swala swala,! Na anaendelea kutaja muda mpaka inafika saa 11 alfajiri.." Kwakweli hebu tunaomba msaada wenu, Ni kweli hakuna namna ya...
  8. Inawezekana Wazungu ni wabaya, lakini ubaya tuliowavika ni mkubwa kuliko ubaya wao

    Tumia hali ya bara la Afrika na watu wake kupinga au kukubali.
  9. Kuna ubaya kuuza nyumba ya urithi ili hali marehemu enzi za uhai wake alikataa

    Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
  10. Kuna ubaya au uzuri gani wa kulisha mbwa nyama mbichi?

    Binafsi napenda mbwa sana. Na nimejifunza tangu zamani lazima chakula cha mbwa kipikiwe Sasa kuna clip naona mbwa wanalishwa chakula au nyama mbichi fresh tu. Je hii haina madhara kwene makuzi ya mbwa hasa wizi wa mifugo na udokozi
  11. Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

    Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike. Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lissu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima...
  12. S

    Bmw 3series GT au 5series GT

    habari ndugu naomba kujua vizuri kuhusu bmw 3series gt 2013 - 2015 au 5series gt uzuri wake na ubaya pia
  13. Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema. Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani ni Kwa maslahi ya Nani kuna kundi la wahuni hawakuandika chapter muhimu ya historia ya Mzee Lowasa...
  14. Usijisifu kumfanyia mtu ubaya mbele za watu

    Kama umepanga kulipiza kisasi kwa adui yako basi panga kimya kimya; kisasi hiko usije kuanza kuropoka maneno mabaya mbele za watu. Kuna Matukio mawili nayakumbuka. La kwanza tulikuwa tunakunywa sehemu sasa watu wawili maadui wakaanza kuzinguana mmoja anaanza kumwambia mwenzake nitakuua wewe...
  15. Je, kuna ubaya gani Serikali ikaruhusu sukari iagizwe kwa uhuru kama nguo Kariakoo?

    Tunafahamu lengo ni kulinda viwanda vya ndani, ila je, hivyo viwanda vya ndani vinakidhi mahitaji? Kama lengo ni kulinda viwanda vya ndani, mbona viwanda husika haviongezeki ukubwa wala idadi? Kwanini havikuwi pamoja na ukinzi wote huu at the expemse ya WaTZ kununua sukari shs. 6,000/= kwa...
  16. Kuna ubaya wowote kulala hotelini au lodge badala ya kulala msibani pasipo na malazi ya kutosha?

    Maisha yetu ya kitanzania wote tunayafahamu. Nimemsindikiza rafiki yangu kwenye msiba wa ndugu yake wa karibu na mazishi ni kesho kutwa. Nikiangalia kwa haraka haraka kwa udogo wa nyumba msiba ulipo na idadi ya waombolezaji ambao wengi wao wanaonekana watalala nataka nimshauri huyu rafiki...
  17. Utawajengea wakwe zako nyumba?

    Kwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba. Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo. Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako...
  18. Je, kuna ubaya kuchoma nguo zako zilizochakaa?

    Habari zenu? Wiki kadhaa zilizopita niliamua kuchambua nguo zangu zote ambazo hazivaliki baadhi zilikuwepo nzuri na baadhi zikawepo zilizochakaa sana, nikaamua kugawa zile nzuri na zile chakavu ambazo hazifai nikaamua kubaki nazo, kwasababu zilikuwa zimechakaa na zimechanika sana isingependeza...
  19. Swali fikirishi: Kuna ubaya endapo baadhi ya nafasi Serikalini zitajazwa na wageni?

    Sababu mojawapo iliyosaidia Korea Kusini kuendelea ni viongozi wake kutambua mapema walichokuwa wanakihitaji na kutumia kila fursa waliyoipata kuifukuzia. Inawezekana, hata sisi tungefanya kama wao, nchi yetu ingekuwa kama yao, au zaidi. Hilo ndilo limenipelekea kufikiria kuwa ikiwa tutawaazima...
  20. R

    Ni Tanzania pekee ambapo Mungu ni kwaajili ya viongozi; hata watende ubaya gani utasikia Mungu ameamua. Masikini mwovu hana Mungu, ni mali ya jela

    Kati ya jambo ambalo sitadhubutu kumuhusisha Mungu nikatika ukatili wa kiongozi dhidi ya anaowaongoza. Naamini hakuna Mungu wa viongozi waovu bali Mungu ni wa wenye haki. Naamini haki ya kuishi Ben Sanane na wengine wengi ni haki ya kila mmoja na Mungu hakuwahi kuamua vinginevyo. Naamini haki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…