Jaji Frank Mahimbali wa Mahakama Kuu kanda ya Sumbawanga, ametumia msemo wa sasa wa mashabiki wa timu ya Simba wa ‘Ubaya Ubwela’ kufananisha sakata la watoto wawili wa familia moja wanaogombea jina la Kura.
Jaji alisema usemi huo unaomaanisha ‘ubaya umerudi tena’, kwa mtazamo wa kwanza, mtu...
Huyu ni robot maarufu sana duniani, bila shaka unamfaham sababu yeye yupo kwa ajili ya kukuliwaza kingono ili akili yako itulie, uwapo naye ni unajipimia unavyotaka hakuna siku atanuna au kuingia in 28 days 🙆🏾♂️.
Huyu 'dada robot' anaitwa Samantha sasa atakuwa na emotional mpya kwenye akili...
Wanasimba hongereni kwa Tamasha zuri mmeujaza uwanja wa Mkapa yani ni full House najua Mnafuraha sanaa Kwa kuiona Timu yenu ikipata matokeo kwenye siku ya “simba dei”.
Ubaya ubwela unaufanya ukiwa wapi?
Soma pia: FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024
Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025
Utambulisho huo utamalizika kwa mechi ya kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda.
Kaa nami katika uzi huu upate update ya...
Tuwe tunatafuta maneno na majina yatakayotuletea Baraka na sio mikosi.
Nawamba Viongozi wetu wa Simba mnapotafuta Maneno basi tafuteni yale yatakayoleta Baraka.
ACHENI KUDANGANYWA NA WAZARAMO. AU MLIMUOMBA YULE MZEE WA YANGA(MAGOTI) AWAPE MSEMO.
Angalieni wenzetu wa DAIMA MBELE na hakika...
Inanikera sana. Na kuna wanayanga wengi wameingiwa na huu ujinga nao wanaitumia hii kauli mbiu. Jana nimetoka kulumbana na mtu kuwa aache ujinga. Kauli mbiu yetu inafahamika but why anatumia ya Simba. Yule kanijibu tena UBAYA UBWELA. Nikaona hamna mtu pale.
Haya mambo sijaelewa akina Priva...
Timu haijashinda Ubingwa wa ligi kuu Misimu mitatu mfululizo lakini Mashabiki hawajawahi ingia bure Uwanjani, bado siku tatu kuelekea Simba day lakini Uwanja ushatapika
1. Simba haikuchukuwa tuzo ya Mashabiki bora kwa upendeleo
2. Makofi kwa Mashabiki wa Simba na Semaji wao
SOLD OUT YA UBAYA UBWELA HII HAPA.
Kwa wale wachache wa mwisho kupenya na kupata tiketi changamkeni.
Huu umekuwa ni utamaduni wa Simba kuujaza Uwanja kwa kuuza tiketi zote, Ni tofauti na upande wa pili Yanga wao kuujaza uwanja hawawezi mpaka wanunuliwe tiketi au wasubiri fungulia dogy
Mara...
Shalom,
90% ya ndoa nyingi ni fake, wanawake wengi huolewa kwa shida zao binafsi na kwa manufaa binafsi mfano kukosa kujihudumia kwa chakula, mavazi, kula vizuri, kulipa Kodi ya nyuma, familia duni hasa wazazi na ndugu tegemezi kibao, kuoana wivu hasa marafiki zao wakiolewa.
Na wanawake kwa...
MwenyeziMungu hapendezwi na kuombea mtu mabaya yamfike, anawapenda watu wanao omba na kuombea mema/kheri.
Simba wamekuja na ujinga wa ubaya ubwela msimu huu na kusahau kuwa kuombea watu ubaya hakumpendezi Mungu hata kidogo. Wamesahau kuwa mchimba kisima huingia mweyewe au huingia mtuwe.
Sasa...
Naona mama anapiga katafunua kali kali sana, yaani hii ndio "ubaya ubwela" kwa rangi zake, nadhani amepiga miksa na kurujuani ya Mzee Magoma, yaani hata aliyewaza kama Maharage, aliyeshiriki, anakula za uso. Hakopeshi, unapiga tukio, anakupiga tukio, ukiweka ugoko, anaweka jiwe, n'gadu kwa...
Mnyonge mnyongeni huyu mzee ndio ametambulisha kwa ukubwa matumizi wa hayo maneno kwenye uwanda wa football hapa nchini.
Simba wamlipe huyu mzee kwa kutumia hayo maneno.
Kama humjui mzee mbwiga pita kimyakimya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.