Mwaka 2026 umeendelea kuonyesha namna mitandao ya kijamii ilivyo na nguvu katika kuunda mijadala ya kisheria na kijamii barani Afrika. Kisa cha TikToker mmoja kutoka Nigeria kwa jina la Mirabel aliyedai kuwa mwanaume mmoja alimvamia na kisha kumbaka, huku akionesha kuwa amedharirishwa kama...
Hakika angechezea tu Uchaguzi pengine angeepuka adhabu na mauti inayomnyemelea kwa sababu ujinga kama huo wanaufanya Kagame, Museveni, Paul Biya na wengine wengi..
Kuna ushahidi kuwa dunia hupotezea ujinga na wizi wa kura katika chaguzi za Afrika kwa sababu hakika ni ujinga tu.
Lakini Unateka...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini
Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI!
Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
Ni kwamba mambo wanayo yafanya huko watokapo yapo normlized kwa kiasi kikubwa kwamba wakifika kule wanataka wayaendeleze au basi tu wanakuwa tempted na kujiachia kwa wazungu maana wanawake wao wamejifunika siku nzima?
Wananchi wa kijiji Cha Kwa Tito mkoani Kilimanjaro wameomba mtuhumiwa wa ubakaji mwenye umri wa miaka 50 aliyekuwa akimbaka na kumlawiti mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 7 na kumsabibishia ulemavu kuhamishwa hapo nyumbani na kupelekwa sehemu anapostahili kutokana na kuwa ana tatizo la...
“Ukatili umegawanyika katika maeneo mengi, nieleze machache tu, la kwanza ni ukatili wa kimwili. Ukatili wa kimwili ni kitendo cha kudhamiria kufanya vurugu na kutumia nguvu ili kumsababishia mtu madhara ya kimwili au mateso na haya yapo mengi.
Kupigwa kupita kiasi, wengine wanachomwa moto...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini vimeanza kupungua, hususan matukio ya ubakaji na ulawiti, kufuatia juhudi mbalimbali za Serikali na wadau kuelimisha jamii.
Akiwasilisha makadirio ya...
Sasa basi, hebu tusikilize kwa makini – this ain’t just some regular violation, huu siyo mchezo wa kitoto. Hiki kilichomkuta dada yetu Agatha Namirimu, mwanaharakati shupavu kutoka Uganda, ni kitendo cha kishetani, cha kinyama, na cha kutisha mno – ni ubakaji wa kisiasa, ni attempt ya kuua sauti...
Katika kipindi cha enzi za kati (Medieval), “mikanda ya usafi wa mwili” (chastity belts) mara nyingi huchukuliwa kuwa njia ya kudhibiti uaminifu wa wanawake. Hata hivyo, baadhi ya wanahistoria wanaamini kuwa lengo lake kuu lilikuwa ni kuwalinda wanawake dhidi ya ubakaji wakati wa vita na katika...
Yale MASHETANI YA CCM KWA KUTUMIA MASHETANI YA POLISI YAMEAIBIKA THOUGH KWA KUCHELEWA
Wanachama wa CHADEMA, Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga, wakazi wa kata ya Dutwa, Wilaya ya Bariadi, walihukumiwa kitumikia kifungo cha maisha gerezani.
Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga walikuwa mawakala wa...
Mahakama ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro Aprili 4, 2025 imemhukumu adhabu ya viboko 5 gerezani Chrispin Matei Malanda (14) mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Gairo, kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 7 anayesoma darasa la pili kwenye moja ya shule ya msingi iliyopo wilayani...
Popote unapokaa usimuhurumie mwanamke au kujenga nae mazoea .
Hii ni kwa vijana ambao hamjaoa so stay alerts
Wakizikosa hela zako the next step utapewa kesi ya ubakaji n.k
Hawa viumbe wamechafukwa.
Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni.
Tumeenda Mahakamani mimi na Mke wangu kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, ambapo tulikuwa tukiacha...
Unaacha wanawake kariba ya Zari unaenda kudeti na kuku wa kienyeji asiyemudu hata kulipa kodi ya chumba sebule Tabata.
Mwanamke mjinga asiyejua kalenda zake,mwanamke unatoka nae bongo mpaka South Africa kumbe yuko period hata hajui gharama ulizotumia kwa tiketi ya ndege na hotel.
Kuna siku...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amekemea Matendo ya Mauaji, imani za kishirikina pamoja na Ubakaji na Ulawiti.
RC Chongolo ameyasema hayo alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na Wananchi Wilaya ya Mbozi.
Pia soma ~ Watoto waliopokelewa Shule Mwaka 2024 Mkoani...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kukamata watuhumiwa mbalimbali na kuwafikishwa Mahakamani.
Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
CHAMA cha Majaji Wanawake Tanzania(TAWJA) kimesema kuwa kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti nchini.
Mwenyekiti wa TAWJA, Jaji wa Mahakama ya Rufani Barke Sehel alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu...
Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party.
Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.