ubaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    Shutuma mpya kwa CHADEMA, wanachama wa Zanzibar wanadai Ruzuku pamoja na kupinga ubaguzi wa Dini, Ukabila & Muungano

    Shutuma mpya kutoka kwa CHADEMA Zanzibar wanadia kuwa CHADEMA haipeleki Ruzuku Zanzibar Wanachama wa Zanzibar hawaishii hapo vilevile wanadai kuwa CHADEMA imekithiri ubaguzi wa dini wakidai kuwa tangu kuanzishwa kwake haijawahi kumpa nafasi ya uenyekiti mwanachama wake wa dini ya Kiislamu...
  2. Superbug

    Wakatoliki hawana ubaguzi wako na rational judgment.

    Angalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile. 1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo. 2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
  3. Mafia Island Boy

    Mikopo ya Asimilia 10 za Halmashauri zinatolewa kwa ubaguzi wa Kisiasa katika baadhi ya maeneo ya Dar

    Wakati Serikali ikiahidi kutoa kiasi cha Sh 200 Bilioni, kwa mikopo ya vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu, baadhi ya Vijana na wanawake wamelalamika kuwa mikopo hiyo inatolewa kwa misingi ya itikadi za vyama huku wafuasi na makada wa CCM, wakiwa kipaumbele kwenye mikopo hiyo. Mwandishi...
  4. M

    Naipenda sana dini ya kiislam lakini kila nikifikiria aina hii ya ubaguzi kwa watu wa dini nyengine hadi kuwaua kama adhabu huwa nachoka kabisa

    Kwanza kabisa ubaguzi unauona wazi kabisa kwa majina wanaowaita wasio waislam, MAkafiri, kwa lafudhi ya neno linavyotamkwa unaweza kudhani ni jambazi sugu au muaaji mkubwa sana. Zaidi ya hapo kuna adhabu ya kuua wanaobadili dini, mtu hana nguvu ya kuamua abadili imani yake akithubutu adhabu...
  5. ELI COHEN

    Kwanini wanakuwa wabishi wakati evidence ipo kwenye kitabu chao na hadithi zao kuhimiza fujo, udhalilishaji na ubaguzi

    Wafanye hawa mateka. Waue hawa. Wabague hawa. Wapige wake zenu Wafanye hawa watumwa
  6. Chizi Maarifa

    Kwa ubaguzi huu bila Senegal kufanya hivi sisi Wafrika, Sisi Weusi tungepata shida sana. Wametuheshimisha.

    Hawa Morocco huwa wao wapo Kimakosa Afrika. Wanadharau sana na kutuona sisi ndugu zao si wa maana. Jana waliumia sana. Senegal kwa kweli Mungu wetu amewasimamia vyema kabisa. Ile dharau ambayo tungeipata sisi? Mungu tu ndo anajua. Najua sisi Waarabu wa Mchambawimba, Makunduuchi hatujapendezwa...
  7. Yoyo Zhou

    Kutoka “Shithole” hadi “Takataka”: ubaguzi wa rangi dhidi ya wahamiaji wa Afrika nchini Marekani wazidi

    Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
  8. secretarybird

    Bila VPN JF inashindwa kufunguka. Je, imefungiwa tena?

    Wakuu, Mchana nilikuwa naingia bila kutumia VPN lakini muda huu nashindwa kuingia. Shetani gani tena huyu? Binti wa zamani
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Mungu mwenye Nguvu awe nanyi mwezi huu mpya

    Hamjambo! 1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote. 2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu. 3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka. 4. Adui zetu...
  10. M

    Je tumefikishwa hapa na dhambi ya Ubaguzi ya JK Nyerere?

    Nijenge msingi kwanza! Rais Obama aliwahi kusema Africa inahitaji Strong institution tu kujikomboa. Kwa maneno mengine Taasis imara hususan za Dola. Nije kwenye mada. Ukiwasikiliza Wahenga na simulizi zao na hata ndugu Polepole miezi ya karibuni utagundua kuwa katika uchaguzi wa kwanza wa vyama...
  11. Yoda

    Kwa nini kiongozi Mzanzibari asipokubalika Tanganyika kwa sababu ya Uzanzibari wake inakuwa ni ubaguzi?

    Kwa nini mtu bara au kwa lugha sahihi na iliyonyooka Mtanganyika hawezi kupata kabisa nafasi muhimu za uongozi huko Zanzibar na haionekani ni ubaguzi ila Mzanzibar anaweza kupata nafasi yoyote ya uongozi hapa bara/Tanganyika ila watu wa Watanganyika wakipinga au wasipopendezwa na hili jambo...
  12. Yoda

    Nyerere na CCM walisahau kupambana na ubaguzi wa kisiasa na sasa ubaguzi huo unaitafuna nchi

    Tangu tunapata uhuru mpaka sasa utawala wa CCM ulijikita sana kupambana na ubaguzi wa ukabila, rangi, dini na ukanda. Walichojisahau au kwa makusudi hawakuwahi kuwekeza jitihada zozote kupambana na ubaguzi wa kisiasa, kuwaona wapinzani wa CCM ni raia sawa na wenye haki kamili sawa na wana CCM...
  13. Genius Man

    Kama wewe ni polisi na unapinga mauwaji yanayoendelea acha kazi chuki na ubaguzi mnaoujenga kwa watu mtakuja kujuta

    Kama wewe ni polisi na unapinga mauwaji yanayoendelea acha kazi chuki na ubaguzi mnaoujenga kwa watu mtakuja kujuta.
  14. Genius Man

    Onyo: Zanzibar inapaswa kuacha ubaguzi dhidi ya ndugu zao watanganyika, itawagharimu pakubwa

    Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu. Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
  15. MamaSamia2025

    Watu wa Arusha acheni wivu na ubaguzi.. kila mtanzania ana haki ya kuishi popote ndani ya Tanzania.

    Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe. Halafu...
  16. H

    Bima ya NHIF iitwe bima ya watumishi kwani ina ubaguzi

    Habarini, Ni wazi bima ya NHIF inaubaguzi na wananchi wa kawaida hawawezi kumudu gharama zake hivyo ni vyema ikaitwa bima ya watumishi wa serikali ikaeleweka moja. Sielewi ni kwanini serikali ishindwe kuanzisha bima ya afya kwa watu wote wakati inaweza kufanya uchaguzi kwa gharama kubwa sana...
  17. Benson Mramba

    Je CCM wanatafunwa na dhambi ya ubaguzi kwa wapinzani?

    Mwl Nyerere aliwahi kusema dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuiacha. Pia Mwalimu alisema kinachowafanya Watanganyika kusema sisi Watanganyika ni uwepo wa Wazanzabar, na kinachowafanya Wazanzibar kusema sisi Wazanzibar ni uwepo wa Watanganyika. Aidha Mwalimu alisisitiza...
  18. K

    Kwa umoja wetu tukatae hii migao ya Bara na Zanzibar kwenye siasa ni ubaguzi

    Nchi ni moja hakuna ubaguzi wa kanda sasa migao ni ya nini Sijui vyama vya siasa kugawa mali pande zote!! kwani unguja na Mwanza tofauti yake ni nini?? mbona mikoa mengine haina mali za vyama kama mengine!!!. Hii kulazimisha kisheria kugawa mali za wati zaidi ya milioni 60 kwa watu milioni 2...
  19. Echolima1

    Israel ni nchi ya ki-Demokrasi hakuna ubaguzi wowote kwa mtu yeyote

    Kuna watu wengi sana wakishakula Maharage ya jana wanakula mstari wa mbele kueneza uongo wa kila aina kuhusu Israel. Wengi wanaoeneza uongo huo hata hawajui Historia ya Israel na hawajawahi kufika katika nchi hiyo wengi wamemezeshwa uongo na viongozi wao wa kidini na wengine wamevutwa tu na...
  20. C

    Dhambi ya ubaguzi haijawahi kumwacha mtu salama,Chadema watatafunana hadi mtu wa mwisho

    Nikirejea kauli ya mwalimu kuhusu dhambi ya ubaguzi. Ni suala la muda tu viongozi wa sasa watajikuta wako peke yao na pia sio kitu kimoja. Wale waaliokuwa wanawaita wasaliti,wameamua kuondoka na sasa watajikuta wamekosa watu wa kuwatupia lawama. Kwa vile dhambi ya ubaguzi ni kama dhambi ya...
Back
Top Bottom