uapisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri Aweso ampokea Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Rose Zakaria Ambrose baada ya uapisho

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameongoza mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bi Rose Zakaria Ambrose aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaan mapokezi yaliyofanyika mapema leo Februari 9, 2026 katika ofisi za DAWASA Mkoani Dar es...
  2. tonicimmobility

    PostGE2025 Rais Samia amtaka Mwigulu Nchemba kufuata nyayo za Majaliwa

    "Umepokea kijiti kutoka kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimwa Kassim Majaliwa ambaye amefanya kazi nzuri kufanikisha tunayotamba nayo leo, tukitamba na vituo vya shule, vituo vya afya, Mahospitali ya Rufaa ya Kanda. Kila tunachotamba nacho leo yeye alikuwa nyuma yangu kuhakikisha mambo yanakwenda...
  3. M

    KANISA KATOLIKI MLITAKIWA KUMTUMA KATEKISTA NA SIYO PADRE KWENYE SHEREHE ZA UAPISHO HALAMU.

    Wana bodi poleni kwa msiba mkubwa. 1.Pamoja na kuwa uapisho halamu wa tarehe 03.11.2025 uliwakilishwa na padre na siyo ASKOFU. 2. Pamoja na kuwa Padre aliyewakilisha hakutia baraka na hakumbariki Rais wala makamu wa wake(DR. NCHIMBI alikuwa FRATERI WA SEMINARI KUU YA PERAMIHO )alielewa...
  4. N

    Uapisho wa Samia: Kwanini viongozi wa kidini wa kikristo sio waoga wala wanafiki kama wa kiislamu?

    Habari wanajamvi.... Tusikilize hotuba hizi mbili toka kwa viongozi wa kidini siku ya uapisho wa Samia
  5. SSH2025_2030

    GE2025 Viongozi watakaohudhuria Uapisho wa Rais (Mteule), November 2025

    Ndugu zangu nawasalimu nikitokea kupiga Kura kwa Kitambulisho changu cha NIDA. Hapa nawaletea orodha ya viongozi na Watu Maarufu watakaouhudhuria Uapisho wa Rais (Mteule) hapo November 2025. 1. Dr William Ruto (PhD), 2. Yoweri Museveni, 3. Paul Kagame, 4. Paul Biya, 5. Felix Tshisekedi, 6...
  6. C

    GE2025 Sioni dalili zozote Oktoba 29 zaidi ya kutiki na kusubiri uapisho

    Huo ndio ukweli usio na chembe ya unafiki na anaye nipinga nipo tayari niweke naye 2m mezani
  7. SSH2025_2030

    Wenye NIDA tukutane Uwanja wa Mkapa - Uapisho (November 2025)

    Wenye kitambulisho cha NIDA tuna furaha zaidi hivyo basi tukutane kwenye uapisho Uwanja wa Mkapa
  8. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah...
  9. Ojuolegbha

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Netumbo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa kwanza Mwanamke...
  10. Valencia_UPV

    Ikwiriri tunashuhudia live uapisho huko majuu

    1. Tupo hapa uwanja wa Ujamaa - Ikwiriri tukitizama bila chenga tukio kubwa duniani. 2. Asante Chama Chetu kwa kutuwekea TV kubwa hapa uwanjani bila malipo
  11. ELI COHEN

    Hegseth, waziri wa Ulinz mtarajiwa U.S: “Nilijitolea kulinda uapisho wa Biden na nikakataliwa kwa sababu ya kuwa na tattoo ya msalaba wa kikristu"

    Jana Pete Hegseth alipokuwa anahojiwa na kamati ya bunge, alisema alitambulika kama mwenye "msimamo mkali" hivyo kukataliwa nafasi hio ya kulinda sherehe ya uapisho wa Rais Biden. Lakini cha kushangaza jeshi la Marekani linaluhusu ushoga wa kupindukia katika uongozi wake.
  12. Mindyou

    Netanyahu asusia kwenda kwenye uapisho wa Trump baada ya Trump ku share post inayomkosoa. Kuna usalama kweli?

    Wakuu, Kumbe mambo yanafutuka huko Marekani kati ya Donald Trump na Netanyahau na wala hamsemi? Imeripotiwa hivi karibuni kuwa Netanyahu amesitisha safari yake kwenda Washington kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Donald Trump. Imetajwa kuwa sababu ya uamuzi ni kutokana na retweet ya...
  13. W

    Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  14. Equation x

    Ni viongozi wangapi kutoka bara la Afrika, watakwenda Marekani kushuhudia uapisho?

    Tarehe 20 Mwezi huu, huko Marekani kutakuwa na tukio la kuapishwa kwa rais. kuna baadhi ya viongozi wamealikwa, na wengine hawajaalikwa; Swali, kama hujaalikwa, utaweza kuhudhuria? Na katika kuwaalika, wametumia vigezo gani? Na je, kutoka bara la Afrika, ni wangapi wamealikwa?
  15. covid 19

    Kwa nilichokiona kwenye sherehe za uapisho wa Rais Kagame Rwanda, tuna la kujifunza kutoka kwao!

    Hakika zile sherehe zilifaana sana kuanzia maandalizi, muonekano, mpangilio na protoko isee hawa wenzetu wameweza na wanajua kweli. wenzetu si wakispot spot wanania kweli ya jambo na inaonekana wakiamua kitu lazima wafanye. Kwetu tanzania tunaweza kufanya zaidi ya wao kama tu tutapangilia...
  16. S

    Rais Samia, shughuli za uapisho nchini ni gharama kubwa zisizo za lazma, Viongozi badilikeni

    Hivi nyie watawala wa hii nchi ni mpaka watanzani nao siku moja wafanye maamuzi magumu kama vijana wa Kenya? Like kundi lote kwenye uapisho lina ulazima gani na ni kwa gharama ya nani? Watu wanapanda ndege kutoka Dodoma mpaka Zanzibar na kurudi bila sababu yoyote ya msingi eti kwenda kushiriki...
  17. Abdul Said Naumanga

    JNICC: Uapisho wa Mawakili Wapya 555 Tanzania Bara

    Leo, katika ukumbi wa JNICC uliopo Posta, Dar es Salaam, Tanzania, kuna tukio muhimu la kihistoria linalofanyika mara mbili kila mwaka. Tukio hili ni uapisho wa mawakili wapya 555 wa Tanzania bara, ambao ni hafla ya 70 ya aina yake. Uapisho huu utafanywa hivi karibuni na kuhudhuriwa na Jaji Mkuu...
  18. peno hasegawa

    Ufahamu; Ndege aliyotumia Rais kwenda SA kwenye uapisho wa Ramaphosa ,Boeing 787 inabeba abiria wangapi?

    Mimi ni mtanzania mlipa Kodi. Ninaomba wenye kuweza kunielewesha jambo hili. Je ndege iliyo tumika kumpeleka Rais Samia Africa ya kusini kwenda kwenye uapisho wa Ramaphosa aina ya Boeing 787 inabeba abiria wangapi? Nikipata jibu nitauliza swali la pili?
  19. L

    Rais Samia atua Afrika Kusini kushiriki uapisho wa Ramaphosa hapo kesho

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ametua kwa kishindo na salama kabisa Nchini Afrika kusini,ambako amekwenda kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Rais wa Taifa hilo Mheshimiwa Ramaphosa utakaofanyika...
  20. Roving Journalist

    Rais Samia: Maharage ana biashara ndani ya TTCL ndio maana nimemtoa

    https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY === Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo. "Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae...
Back
Top Bottom