twiga

Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC), also Twiga Cement is a cement-manufacturing company in Tanzania. It is the first company in Tanzania to start manufacturing cement; in 1966.As of 2020, Twiga Cement is a member of the Heidelberg Group and Twiga's shares of stock are listed on the Dar es Salaam Stock Exchange, where they trade under the symbol:TWIGA.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Twiga Cement Kuinunua Tanga Cement Uwekwe Wazi ili Kuondoa Malalamiko

    MHE. TIMOTHE MNZAVA - MCHAKATO WA TWIGA CEMENT KUINUNUA TANGA CEMENT UWEKWE WAZI KUONDOA MALALAMIKO Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mhe. Timotheo Paul Mnzava leo Bungeni wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara amesema Mchakato wa Kampuni ya Twiga Cement...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mtuhumiwa wa Ujangili akamatwa

    Mtuhumiwa wa ujangili wa Twiga ambaye amekuwa akisakwa kwa muda mrefu na askari wa Wanyamapori katika hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori Burunge, wilayani Babati mkoa Manyara Amos Benard Meja amekamatwa Jana usiku. Mtuhumiwa huyo amekamatwa kutokana na mtego ulioandaliwa na askari wa Mamlaka ya...
  3. Simchezo

    JamiiForums Tanzania Tubadilishe mnyama wa Taifa asiwe Twiga

    Taifa kuchagua mnyama fulani kama Nembo ya Taifa kuna madhara yake! Taifa hilo litabeba kwa kiasi fulani tabia za huyo mnyama/ndege. Tanzania mnyama wetu ni Twiga, nimefuatilia baadhi ya tabia zake, nikaogopa! Hizi ni baadhi ya sifa/tabia zake; 1. Ni mpole kupita kiasi. 2. Atoi sauti...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Vijana wadogo wakamatwa kwa ujangili, waua Twiga

    Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na TAWA limewakamata watu wawili waliotambulika kwa majina ya Richard Paulo (Miaka 23) na Masiaya Lais (Miaka 19) katika kijiji cha Minjingu katika hifadhi ya Jamii ya Burunge wilayani Babati wakiwa nyara za serikali ambazo ni nyama ya Twiga...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tuliamua kumtumia twiga mnyama legelege kwenye nembo ya taifa?

    Twiga ni mnyama legelege, mzuri anayevutia lakini hafaidiki na uzuri wake. Mrefu, anaona mbali na anaishia kuona tu. Kwa kweli utambulisho wowote unaoamua ukutambulishe utabeba taswira na tabia yako. Tanzania ni taifa ambalo ni legelege, haliko aggressive kwa lolote. Watu wake ni masikini...
Back
Top Bottom