tuzo

John Tuzo Wilson (October 24, 1908 – April 15, 1993) was a Canadian geophysicist and geologist who achieved worldwide acclaim for his contributions to the theory of plate tectonics.
Plate tectonics is the idea that the rigid outer layers of the Earth (crust and part of the upper mantle), the lithosphere, is broken up into around 13 pieces or "plates" that move independently over the weaker asthenosphere. Wilson maintained that the Hawaiian Islands were created as a tectonic plate (extending across much of the Pacific Ocean) shifted to the northwest over a fixed hotspot, spawning a long series of volcanoes. He also conceived of the transform fault, a major plate boundary where two plates move past each other horizontally (e.g., the San Andreas Fault).
His name was given to two young Canadian submarine volcanoes called the Tuzo Wilson Seamounts. The Wilson cycle of seabed expansion and contraction (associated with the Supercontinent cycle) bears his name.

View More On Wikipedia.org
  1. Zambia: Mwanamuziki Slapdee ajitoa tuzo za AFRIMMA baada ya kushambuliwa kwa kupigia kampeni chama tawala

    Picha: Mwila Musonda (Slapdee) Mwanamuziki Mwila Musonda maarufu kama Slapdee amejiondoa kwenye kuwania Tuzo baada ya kushambuliwa mtandaoni kwa kusherehesha shughuli za kilichokuwa Chama Tawala cha Nchi hiyo, Patriotic Front. Slapdee ambaye awali alijitetea kuwa alitumbuiza kama sehemu ya...
  2. Kati ya Ronaldo na Salah nani alistahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba?

    Baada ya Ronaldo kutangazwa leo kuwa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Septemba, kumeibuka minong'ono kuwa tuzo hiyo alistahili kutwaa Mohamed Salah wa Liverpool! Hata mchambuzi maarufu wa BBC Match of the day, Gary Lineker amekiri kuwa Salah alitakiwa ndio awe mshindi. Je wewe mchambuzi wa JF...
  3. K

    Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

    Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania. Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na...
  4. J

    Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi

    Ni mwanafasihi Abdulrazak Gurnah Source: Al jazeera Mungu ni mwema wakati wote ===== Mwandishi kutoka Tanzania, Abdulrazak Gurnah ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel 2021 kwa upande wa Fasihi (Literature) Gurnah ambaye anaishi England alizaliwa Zanzibar na ni Profesa wa Chuo Kikuu cha...
  5. F

    Nani anastahili tuzo ya Nobel katika marais 6 tuliowahi kuwa nao Tanzania?

    Tuzo ya kimataifa ya Nobel iliyoanzishwa na Bw Alfred Bernhard Nobel, Mswidi mbobezi wa kemia, uhandisi, mvumbuzi, mjasiriamali na mdiakonia (matendo ya huruma (philanthropist)) imetoa tuzo hiyo kwa Wanafizikia watatu kwa mpigo. Swali: Katika safu ya marais 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  6. T

    USTADH MGANGA ATABIRI RAIS KUPOKEA TUZO ZA KIMATAIFA

    Ustadh Mganga ambaye ni bingwa wa utabiri hapa Afrika Mashariki ametabiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hivi karibuni ataanza kupokea tuzo za kimataifa kutokana na kazi kubwa ambayo amekuwa akifanya hasa katika nyanja za amani,demokrasia na utawala...
  7. Mwanamke mzawa wa Kenya atunukiwa tuzo la urembo Uingereza

    Alikwenda ukubwani kupata elimu ya juu, sasa kuiwakilisha Uingereza kwenye shindano la urembo duniani kote.... A Kenyan-born model has been crowned Miss England and will now represent the European country in the 70th Miss World that will be held in Puerto Rico. Rehema Muthamia, 25, received...
  8. J

    Waziri Faustine Ndugulile atunukiwa Tuzo ya umahiri na Wizara ya Afya

    Aliyekuwa naibu Waziri wa afya katika Serikali ya awamu ya 5 na ambaye kwa sasa ni waziri wa Tehama Dr. Ndugulile ametunukiwa Tuzo ya umahiri na kupromoti afya na wizara ya afya. Dr. Ndugulile ndiye aliyetoa tahadhari juu ya kupiga nyungu kienyeji hatua iliyopelekea atumbuliwe. Jana Askofu...
  9. Je, Rais Samia anaelekea kuipata tuzo ya Mo Ibrahim?

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kujipambanua kwa hatua mbalimbali nyingi zikikinzana na za mtangulizi wake. Ninaamini atakuwa alijiwekea lengo la kuibuka mshindi siku zijazo za hii tuzo "lucrative" ya Mo Ibrahim. Endapo atashinda tuzo hii, Tanzania itaingia kwenye nafasi nzuri sana...
  10. Kwanini Ufaransa wampe TUZO Rais wetu Mwinyi?

    Sababu walizozitoa za kwanini wamtunuku Rais MWINYI hazitoshi kabisa. Eti Wanampa tunzo kwa kuwa Waziri wa Ulinzi na kushiriki vema katika kazi za kimataifa!!! looh!! tuzo kama hiyo si ingeenda kwa Mkuu wa nchi na Makamu wake walioruhusu nchi ishiriki kazi za kimataifa? Wazungu hawana cha bure...
  11. Nani anastahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora VPL?

    Ligi ya VPL imemalizika jana, taja mchezaji anayestahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu!!
  12. G

    Tozo na kodi za kizalendo ziende kwenye matumizi na miradi ya Kizalendo

    Heshima kwenu wakuu Kwanza nikiri sisi Kama taifa tunawajibu wa kulipa Kodi kwa ajili ya kujenga taifa letu. Pili, Hakuna mtanzania Mzalendo ambae hapendi kulipa Kodi au Kodi kwa ajili ya ujenzi wa nchi yake Tatu, Bila Shaka yoyote Kila mtanzania amehusika kujenga nchi hii kwa kulipa Kodi...
  13. Je, Watanzania 'tulioshadadia' Mitandaoni 'Kumfitinisha' Msanii Diamond Platinumz na Tuzo za BET ambayo ameikosa tuliifikiria Tanzania zaidi?

    1. Je, wale 'Washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa aliyeshindwa huko BET siyo tu Msanii Diamond Platinumz pekee bali hata Watanzania wote tumeshindwa? 2. Je, wale 'washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa Kitendo cha Diamond Platinumz Kuikosa hii Tuzo ya BET kuna Fursa kadha wa kadha...
  14. C

    Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

    Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani' Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
  15. Ukweli mchungu kuhusu kilichotokea tuzo za BET

    Somo la leo UKWELI MCHUNGU KUHUSU BURNABOY .... ila wabongo hatupendi kuangalia FACTS kwenye mambo mengi. Mwaka jana BURNABOY alitoa album ya TWICE AS TALL na ilifanya vizuri sana na miongoni mwa wasanii na mfanyabiashara P.DIDY aliipa support kubwa sana maana anaujua uwezo wa BURNABOY...
  16. BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

    Kutoka jijini LA Marekani tunawaletea matangazo ya moja kwa moja kwenye utoaji wa tuzo za BET 2021, mAstaa kibao wametua jijini hapa tayari kwa hafla hii kubwa duniani,ambapo macho na maskio ya watanzania na waafrika kwa ujumla yapo kwenye kipengele kigumu kinachowakutanisha miamba ya Afrika...
  17. Diamond Ushakosa Tuzo, Jua Nafasi yako. Achana na Washamba

    DIAMOND ACHANA NA WASHAMBA/MALIMBUKENI. TAMBUA NAFASI YAKO. Na, Robert Heriel Kitu ambacho kinakwamisha Watanzania tuliowengi ni USHAMBA/ULIMBUKENI. Ulimbukeni ni like kitendo cha mtu kupata kitu Kwa kizuri au cha thamani Kwa mara ya kwanza, kitu kile kikamfanya atende kinyume na desturi na...
  18. Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

    Nisiwe mnafiki mimi ni mmoja kati ya watu wenye wivu na mafanikio ya Diamond kwani yeye mwenyewe ana wivu juu ya mafanikio ya wasanii wezake wa kitanzania. Kama na wewe umefurahi Diamond kukosa tuzo tujuane hapa. Leo napiga bia nyingi kufurahia tuzo ya Burnaboy...
  19. Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

    Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri...
  20. Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki. Mi naomba mnifafanulie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…