tuzo

John Tuzo Wilson (October 24, 1908 – April 15, 1993) was a Canadian geophysicist and geologist who achieved worldwide acclaim for his contributions to the theory of plate tectonics.
Plate tectonics is the idea that the rigid outer layers of the Earth (crust and part of the upper mantle), the lithosphere, is broken up into around 13 pieces or "plates" that move independently over the weaker asthenosphere. Wilson maintained that the Hawaiian Islands were created as a tectonic plate (extending across much of the Pacific Ocean) shifted to the northwest over a fixed hotspot, spawning a long series of volcanoes. He also conceived of the transform fault, a major plate boundary where two plates move past each other horizontally (e.g., the San Andreas Fault).
His name was given to two young Canadian submarine volcanoes called the Tuzo Wilson Seamounts. The Wilson cycle of seabed expansion and contraction (associated with the Supercontinent cycle) bears his name.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tems na Rihanna watajwa kwa mara kwanza kuwania Tuzo ya Oscar

    Mwimbaji Temilade Openiyi a.k.a #Tems kutoka Nigeria, ameweka historia ya kuwa msanii mwenye muda mfupi kwenye muziki na kufanikiwa kutajwa kuwania Tuzo maarufu ya #Oscar kupitia wimbo wa Lift Me Up alioshiriki kuuandika pamoja na #Rihanna. Licha ya Ukubwa wake kwenye tasnia ya Muziki, kwa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania BASATA upatieni tuzo wimbo wa Tongolanga unaoitwa 'Sanura'!

    Aisee yule mmakonde alikuwa hatari bwana. Leo na hii mvua ya tangu jana usiku nikaona ngoja nijisikilizie nyimbo zetu za utuvu ndipo nikakutana na hii kitu 'Sanura' kutoka kwa huyu Tongolanga, aisee! Hiki kibao acha kabisa, kinavuta hisia balaa, unaweza kujikuta umekumbatiana tu na mpenzi wako...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia atakuja kushinda tuzo ya Kiongozi Bora ya Mo Ibrahim

    Mo Ibrahim Leadership Prize ni tunzo anayopewa kiongozi msataafu aliyetumikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi miongoni mwa nchi za Kiafrika, na katika uongozi wake aliheshimu na kuruhusu demokrasia, akasimamia utawala bora na kuondoka madarakani kwa kuheshimu mihula ya kiuongozi na kukabidhi...
  4. JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kushiriki tuzo za Komla Dumor

    Nimefanikiwa kuchaguliwa kushiriki kwenye tuzo za komla dumor za BBC mwaka huu kwa hakika nashukuru sana kwa kila kitu kwani ni kitu ambacho ni ndoto yangu ya siku zote hakika sana Imekuwa ndoto yangu ya muda wote kwa hakika na hata nisiposhinda ila ndoto yangu kwa hakika imetimia ila na hakika...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Samia tuzo ya Mo Ibrahim inakuhusu kama ukiendelea hivi

    Lugha yako, lafudhi yako, sura yako na unyenyekevu wako vinakupa kila aina ya sifa za kuwa kiongozi bora. Mambo matatu mazito umeyaruhusu leo ambayo ni nadra sana kuyasikia kwa viongozi wa kiafrika dhidi ya wapinzani wao. *Rukhsa vyama vya siasa kufanya mikutano. *Sheria kandamizi kuondolewa...
  6. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri lawapa Tuzo Waandishi wa Habari za Watoto na walioripoti UVIKO-19

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetangaza kampeni ya kutoa elimu kwa waandishi ya namna ya kuhamasisha jamii kutoa maoni yao kupinga ndoa za utotoni. Akizungumza katika hafla ya kutoa Tuzo kwa Waandishi wa habari za Watoto, pamoja na mambo mengine Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amesema...
  7. JamiiForums Tanzania BBC wampa Messi tuzo yao ya mwaka huu 2022

    Messi anaendelea kunyakua kila tuzo inayopita mbele yake. BBC nao wamempatia ya mwaka huu. Ballon d'or ya nane iko njiani.
  8. JamiiForums Tanzania Tabiri nani atashinda katika nafasi hizi baada ya ya Kombe la Dunia kuisha hii leo?

    Mwana Jamii Sport ikiwa tunaelekea Mwishoni kabisa Mwa Mashindano Makubwaaa Duniani ambayo yamefanyika pale Qatar kwa Ma-Sheikh upi utaburi wako katika Nafasi hizi? 1. Mfungaji Bora Hadi saa hizi 2. Goli kipa Bora 3. Kinda Bora Wa Mashindano 4. Top Assistman 5. Mchezji Bora wa Mashindano...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UWT: Tunaziomba taasisi mbalimbali duniani zimpe Rais Samia tuzo

  11. JamiiForums Tanzania Burna Boy ashinda tuzo ya Msanii Bora Afrika MTV EMA's

    The African Giant, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards – EMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa inayoendelea kupanuka. Burna Boy alikuwa akishindanishwa na Zuchu kutoka Tanzania, Tems (Nigeria), Musa...
  12. JamiiForums Tanzania Orodha Yote ya Washindi wa Tuzo za MTV EMA's 2022

    Best song Bad Bunny, Chencho Corleone – “Me Porto Bonito” Harry Styles – “As It Was” Jack Harlow – “First Class” Lizzo – “About Damn Time” MSHINDI: Nicki Minaj – “Super Freaky Girl” Rosalía – “Despechá” Best video BLACKPINK – “Pink Venom” Doja Cat – “Woman” Harry Styles – “As It Was” Kendrick...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Watanzania watampa Rais Samia tuzo ya heshima mwaka 2025

    SHAKA: WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabiashara na watoa huduma wakubwa na wadogo kuchangamkia fursa ya kushiriki Tuzo za ubora

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imewataka wafanyabiashara na watoa huduma wakubwa na wadogo kuchangamkia fursa ya kushiriki Tuzo za ubora kwenye huduma na bidhaa. Ndugu Baraka Mbajije (Afisa udhibiti ubora - TBS) amesema lengo la Tuzo hizi ni kuhakikisha kuwa mifumo ya bidhaa na huduma...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu member anayejiita UMUGHAKA anatakiwa apewe tuzo ya utunzi wa hadithi

    Jamii forums ina watunzi wengi wa visa vya kubuni na vingine vya kiuhalisia katika maisha yao, Ila huyu mwamba UMUGHAKA ametia fora, sidhan kama kuna member anamzidi Kwa simulizi zake zenye kutisha na kusisimua pia. Thread zake zimekuwa zikifatiliwa Kwa ukarbu Sana na member wengi kuliko...
  16. JamiiForums Tanzania Bukayo Saka na Gabriel Martinelli watabeba tuzo ya Ballon D'or kabla ya Kylian Mbappe na Erling Haaland

    Kiwango cha soka kinachooneshwa na vijana hawa wawili, Saka na Martinelli kinavutia na kudhihirisha kwamba wako makini na kazi yao. Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona vijana hawa wakipikwa na kuwa mawinga hatari sana katika Klabu ya Arsenal. Kiwango chao cha kujituma na nidhamu kinaonesha hatma...
  17. JamiiForums Tanzania Hii Picha itakuja kupostiwa kama TBT siku Fede Valverde akitwaa Tuzo ya Ballon d'Or

  18. J

    JamiiForums Tanzania Sadio Mane apata tuzo ya Socrates kutokana na mchango wake katika jamii

    Sadio Mane apata tuzo nyingine ya Socrates kutokana na mchango wake kwa jamii. --- Sadio Mane has received France Football's inaugural Socrates Award, in recognition of his charity work in his native Senegal. Mane, 30, is accustomed to writing headlines on the pitch, but it's his continued...
  19. JamiiForums Tanzania Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or 2022 (Oktoba 17, 2022), Benzema ashinda Tuzo ya Ballon d’Or 2022

    Usiku wa leo, kwanzia saa 1:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or. Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake. Vilevile, kutakuwa na tuzo ya golikipa bora wa mwaka, mshambuliaji bora wa mwaka na tuzo ya mchezaji bora...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yatwaa tuzo ya Benki Bora Tanzania kutoka jarida la Global Finance

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akipokea cheti cha tuzo ya "Benki Bora Tanzania" kutoka kwa Mwanzili na Mhariri Mtendaji wa Global Finance, Joseph Giarraputo, katika hafla ya kukabidhi tuzo kwa Benki Bora Duniani iliyofanyika kwenye ukumbi wa ‘National Press...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…