Kuna mjadala mkubwa sana hapa nchini haswa kuhusu serikali kukopa na kupokea misada kutoka nchi tofautitofauti kama Amerika, Uchina, Falme za Kiarabu na Umoja wa Nchi za Ulaya, mjadala ni mkali na kila msomi na asiesoma huchambua kwa anavyoelewa wapo wanaopinga na wapo wanaounga mkono serikali...