tutegemee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tutegemee "Taarifa kwa Umma" ya Manqoba na "Thank You" ya Doumbia Kabla ya Mzunguko wa pili wa NBC.

    Kama umeangalia utendfaji wao kwa makini basi ni muda tu unasubiriwa.. Si lazima Yanga afungwe ndo Kocha afukuzwe na ni lazima Simba ishinde ndo stiker abaki..
  2. JamiiForums Tanzania Je tutegemee maajabu hapa au ndo janja janja za wabongo

    Nimekutana na hili tangazo kua hawa watu wa Uhuru Market wame partner na Posta kufanya delivery nchi nzima, vipi kuna aliyewai kutumia huduma zao.
  3. JamiiForums Tanzania Sasa shule zimefungwa, tutegemee kuona mengi humu

    Mwenye kuishikilia roho yake mkononi na aishikilie, kwa maana tunajua vile wanafunzi hufanya humu kipindi cha holiday. Nasanzuka 😎.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mlango wa Hormuz umefunguliwa, tutegemee nini?

    Naomba majibu hasa hapa kwetu. Kwingine mafuta yameshuka bei sana. Hapa kwetu tutegemee nini?
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bila maandamano kuundiwa sheria na muongozo; basi tutegemee machafuko kutokea kila yakitokea maandamano

    Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano. Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana utajengeka kwa watanzania; kwa makundi mbalimbali kwenye jamii (wafanyakazi, wanafunzi, wazee, vijana...
  6. JamiiForums Tanzania Utabiri: Taja jina la mbunge unayetamani awe Waziri Mkuu mpya wa Tanzania?

    Kwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM. Tupe utabiri wako
  7. JamiiForums Tanzania Hivi waamuzi wetu wameangalia CHAN kweli au tutegemee "makosa ya kibinadamu"kama kawaida!?

    Offside kwa mbaaaaali......si tunanufaika na marudio ya picha ...... of course ila ni very tight .......kosa ni la line one.....n.k ni kauli ambazo hutawala vinywa vya wachambuzi pale wanapochambua ligi ya Tanzania bara ,kauli kama hizo kwenye mashindano ya chan hatukuziona kabisa au zilikuwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tutegemee nini marekebisho ya katiba ya chama?

    Kwa ufupi kabisa niseme: Ngoja tuone. Kumbe lolote linawezekana.
  9. JamiiForums Tanzania Tutegemee matukio gani kujitikeza kuanzia sasa kuelekea Oktoba 2025?

    Uzi huu ni kwa wale waona mbali tu. Wale waliibarikiwa kipawa na Mwenyezi Mungu cha kuweza kuona yajayo. Kwa upepo unavyoenda, ni matukio gani makubwa unahisi yanaweza kutokea kuanzia sasa mpaka hapo Oktoba? Cc: Tumia akili
  10. JamiiForums Tanzania Je, tutegemee kuona tukio gani kwenye mchezo wa JKT Tanzania vs Simba SC?

    Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo. (1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box (2) Kadi nyekundu yenye utata na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

    Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika...
  13. JamiiForums Tanzania Hii trade ya Doncic na AD tutegemee nini NBA League msimu huu

    Duuh hii trade kama masihara vile ila ndio hivo, Luka Doncic kaja Lakers na AD kaenda Mavs. Msimu huu patachangamka sana. RRONDO
  14. JamiiForums Tanzania kwa hii tume anayounda mgombea wa chama tawala tutegemee kitendo cha kujiteuwa na sio uchaguzi wa haki

    Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu wa kisiasa kwanini mgombea anaunda tume ? Nilishauri tume huru kuundwa na wataalamu wa masuala ya...
  15. JamiiForums Tanzania Je tutegemee club Bilicanas kurudi?

    Mwamba alisema akishindwa uchaguzi atarudi kukomaa na biashara zake. Kwa unyenyekevu kabisa naomba uturudishie Bilicanas, kwa niaba ya walevi wote.
  16. JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu mwaka huu, tutegemee tena ya Magufuli na uuaji wa demokrasia?

    Japo alipitishwa na chama kugombea nafasi ya urais baada ya marehemu Edward Lowassa na Bernard Membe kuvurugana, angalau alipitishwa kiushindani na demokrasia ndani ya chama. Kwa namna CCM ilivyotengeneza mzengwe na kumpitisha Samia Suluhu Hassan na Emanuel Nchimbi, kuna uwezekano uchaguzi ujao...
  17. JamiiForums Tanzania Maxime na minziro ni yanga lia lia tutegemee magoli ya mchongo na mechi mbovu kabisa

    Mecky maxime na fred felex ni wanazi wa yanga siku zote huwa wanagawa point za bure kuisadia yanga tutegemee magoli ya mchongo na mikono muda mfupi toka sasa!
  18. JamiiForums Tanzania Yanga vs tawi lake point haziulizwi hapo hiyo nayo ni timu ya jeshi tutegemee magoli ya mchongo!

    Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Napendekeza Jeshi la Polisi kusukwa upya kuondoa tuhuma za mauaji zinazolikabili mara kwa mara

    Si mara moja wala mara mbili au mara 3 ambapo jeshi la polisi limeua raia wakiwa wanashikiliwa, yaani wakiwa mikononi mwao, tena mara kadhaa raia hao wakijulikana ni raia wema. Na haya hayajaanza leo bali ni miaka mingi, na yanaendelea hadi leo. Tuna kumbukumbu mbaya ya siku za nyuma, jeshi la...
  20. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

    Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…