tusaidiane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wazoefu wa haya mambo tusaidiane hapa

    Hivi mtu unamtongoza anakukubalia unajaribu kumsogeza kunako 6×6 akija anakataa kwakuwa hutaki kumbaka unampetipeti anakaza zaidi unamuacha kumsubiria siku nyingine Baada ya kumuacha anakutumia text "nimejitahidi kuvuta hisia zimekataa yani Sina hisia na wewe kabisa" Hivi hapo shida ni nini...
  2. Mawakili wa JF naomba tusaidiane kuikomboa JF

    Ni muda mrefu sasa (yapata miezi 3) tangu kifungo cha JF kifike tamati lakini bado wahusika hawajaiachia 💯 %. Tukumbuke kuwa JF ilipigwa ban ya miezi 3 tangu September 2025 na hiyo ban ilipaswa kuwa lifted by December 2025. Ndugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members...
  3. Tusaidiane VPN ya Halotel wakuu

    Wakuu habari zenu Mwenye nayo Naomba tusaidiane VPN ya halotel kwa ajili ya free Internet
  4. Ajira Mpya Uhamiaji Tangazo La 29 Desemba 2025

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI TANGAZO LA AJIRA Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa...
  5. Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

    Nimekuja hapa JamiiForums kuomba ushauri na msaada Kwa namna moja au nyingine, hapa nimekuwa nikisoma tu nyuzi za watu nilikuwa sina account na mimi nimeona nijiunge nitoe yanayonisibu labda nitapata msaada, hapa naamini ni sehemu sahihi japo kuna ambao sometimes wanaleta masikhara. Ishu...
  6. Tuziseme addiction (uraibu) zetu na tusaidiane

    Siku haiwezi pita bila kunywa pepsi au coca, na nimefabya hivi kwa muda mrefu sana hadi naanza kuhofia afya yangu mbeleni. Pia mimi ni mraibu mkuu wa sex hadi huwa nahisi kuumwa nisipoipata in 2 to 3 days. Sisemi haya kujisifia bali kusema mzigo niliona nao. Funguka
  7. UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    Wakuu, Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi. Nimefahamu haya 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  8. Unapotembelea Gari kwa Safari Ndefu – Unabeba Spare Gani za Dharura? Hebu Tusaidiane

    Sisi kama Jerry Spare Parts and Services, tumekuwa tukihudumia madereva na wamiliki wa magari kwa miaka kadhaa sasa, hasa katika kuhakikisha wanapata spare parts original kwa ajili ya matengenezo na safari zao. Moja ya changamoto tunayokutana nayo mara nyingi ni wateja wanaorudi kutoka safari...
  9. Wasomi njooni tusaidiane hapa.

    Naombeni kujua haya mambo 1. Ajira za utumishi wanavyosema kucertify vyeti ndo uombe ajira, je zile transcripts ambazo zinaambatana na vyeti vya chuo nazo zinatakiwa kuwa certified Au ni cheti tu? 2. Kwasasa kupata mhuri wa mahakama au mwanasheria ina range kwenye kiasi gani cha pesa? 3...
  10. JamiiForums Tusaidiane: Kijana wa Geology hana Ajira Tangu Amalize Chuo, Maisha Yamempiga Mbaya

    Habari za wakati huu wapendwa wadau wa JamiiForums, Naamini wote ni wazima na mnaendelea vyema katika majukumu yenu ya kila siku. Nawasalimu kwa heshima kubwa na moyo wa unyenyekevu kabisa nikiwa na matumaini kwamba huu ujumbe wangu utawagusa na kuwahamasisha kwa namna yoyote ile. Leo nimeamua...
  11. Duh! Huyu baba ni jeuri na katili sana. Tusaidiane kumkemea

    Huyu baba ana watoto wengi sana, lakini hajali kuwatunza. Anadai ana mapesa mengi na mali nyingi. Lakini watoto wake wakiugua hawaambii waende hospitali, badala yake anawahimiza waende kwa waganga wa kienyeji. Amewaajiri watoto wake wamsaidie kufanya kazi zake lakini ajabu hawapi mshahara...
  12. Mwenye maswali ya research problem na research design, interview za utumishi na kwingineko naomba tuyaweke hapa tusaidiane na tushee experience

    Naombeni tusaidiane katika hili jamani ili tuweze kujipanga na Saili za sehemu Mbalimbali
  13. Tuzungumze, Tusaidiane

    Kuna vijana wanatembea huku nafsi zao zimejaa majeraha . Wanabeba matarajio ya familia, presha ya mitandao ya kijamii, changamoto za mahusiano, na khofu ya kesho. Tunatakiwa tuwe "role model", tuwe na mafanikio mapema, tuwe wazazi wa kesho, tuwe na furaha muda wote , lakini nani ametufundisha...
  14. Tusaidiane, nipeni mbinu nimalize mchezo

    Kuna jamaa nilikua napiga nae story akaniambia, Kuna ndoto anaota inajirudia rudia, inamsumbua na haipendi. Anaota parapanda inapigwa mwisho wa dunia umefika na yeye bado hajatubu makosa yake, anakuwa kwenye hofu kubwa na kuanza kuomba msamaha na kujitetea. Ikabidi nimpe tafsiri ya hiyo ndoto...
  15. Mwenye kitambu cha machimbo ya bidhaa kaliakoo naomba tusaidiane

    Habari wakuu Hapa jf tusaidiane Mwenye kitambu cha machimbo ya bidhaa kaliakoo naomba tusaidiane Naomben jaman plz
  16. K

    DOKEZO Mkuu wa wilaya Uyui analazimisha watumishi wote kuchangia pesa Tsh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge

    Heri ya pasaka wanajamvi. Habari za usiku huu. Mkuu wa wilaya amezidi ubabe. Anawafanyia ubabae watumishi wa umma na anajidai hakuna wa kumgusa hata akifanya lolote. Kwani analazimisha watumishi wote kuchangia pesa sh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge ambapo watakaochangia lazima waandikwe...
  17. K

    Tusaidiane kulilinda taifa

    Tusaidieni kulilinda taifa ninyi vyombo vya dola kwa kujizibuwa na kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi waliomkufuru mungu na sisi raia kwa kuapa na kisha kuishi maisha ya kikafir wakikufuru mchana kweupe. Nikiwa nimevagaliwa na jini tambuzi huko usingizini, nikawa naropokwa tukisoma kitabu...
  18. Naomba tusaidiane kufanya 'CRITICAL THINKING' kuwa sababu ya Kukamatwa kwa Tundu Lissu ni Kuchochea Uchaguzi kutofanyika na Watu kutokupiga Kura

    Kila siku nasema hapa kuwa CCM + Serikali tulieni na tafuteni Watu wenye kujua KUFIKIRI vyema ili wawe Wanawashauri katika Mambo mengi ya Kimsingi (hasa ya Siasa na Matukio) kwani kuna Maamuzi mengi yanatoka Ngazi za Juu kwenda kwa Upinzani / Wapinzani ukiyapima kama Mtu MWEREVU unaona kabisa...
  19. Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  20. Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…