Taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa Kuna mapambano kati ya wananchi na Polisi Kijiji Cha Mbesa kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi,Wilaya ya Tunduru, jimbo la Tunduru kusini.
Polisi wanavunja milango nyumba Hadi nyumba kukamata wanaume,wengi wamekimbilia mashambani.Mwenye taarifa Zaidi atujuze...