For the Mozambique park see Tunduru Gardens; for the village in Mtwara Region of Tanzania see Tunduru, Mtwara.Tunduru is a town in Tunduru District, Ruvuma Region, Tanzania, East Africa. It is the administrative seat for Tunduru District, and is administratively divided into two wards; Mlingoti West (Mlingoti Magharibi) and Mlingoti East (Mlingoti Mashariki).
Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya tuchukie kazi na lawama zote zinakuja kwa Watumishi wakati tunafanya kazi kwa mazingira magumu na...
Anonymous
Thread
afya
kazi
mzigo
ruvuma
tuna
tunduru
uhaba
watumishi
watumishi wa afya
wilaya
Mbunge wa Jimbo laTunduru kaskazini akila kiapo Bungeni wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu wa Bunge leo Novemba 11, 2025.
Ikumbukwe Ado Shaibu ni miongoni mwa wabunge wachache wa upinzani kutoka ACT-Wazalendo walioshinda katika kinyanganyiro batili cha...
"...usisahau kumrudia Mwenyezi Mungu, usisahau kuishi Maisha mema na ya maadili mazuri na hichi ndicho tunachotegemea kwa yeyote ambaye amepitia Seminari..." amesema Askofu wa Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi Mhashamu Filbert Mhasi wakati akitoa mahubiri kwenye masifu ya jioni kuelekea JUBILEI...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo ambaye pia ni mgombea wa ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu ameahidi , akipewa ridhaa na wananchi atapigania masilahi ya wakulima kwa kuhakikisha wanapata pembejeo za kilimo kwa wakati na bei nzuri za mazao yao
Akihutubia katika uzinduzi wa...
Habari ndugu Wana Jamii Foram.
Kwa wale Wenye uelewa wa safari za Kutoka Dar Kuelekea Tunduru.
Ni Bus Gani ziko Vizuri kwa Safari Kuelekea huko naomba Mnifahamishe.
Wakuu salam,
Nisiwapotezee muda.
Kwa muda mfupi niliokuwa Tunduru hasa maeneo ya mpakani na nchi ya Msumbiji nimejifunza mengi ambayo naona kama chanzo cha jamii za maeneo haya kuwa chini kimaendeleo.
Kwanza niweke wazi kuwa jamii za mpakani tunduru zina mwamko mdogo sana wa kielimu, watu...
Wakuu habari za uzima , kwa wenyeji wa Tunduru Mkoani Ruvuma naomba kuuliza kuhusu gamestone zinazopatikana kwa wingi huko na biashara ikoje kwa kununua na ikitokea nikija na machine za kukata na kusafisha itakuwaje pia.
Je Ni kweli gamestone yote inapatikana hapo Tunduru au nyingine inavuka...
Wanachama 44 wa CCM na CUF katika Kijiji cha Namiungo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamejiunga na Chama cha ACT Wazalendo mbele ya Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu jana tarehe 1 Mei 2025.
Wakizungumza baada ya kujiunga na chama hicho wamesema kuwa wamevutiwa na uzalendo wa Ado Shaibu...
Tungepewa uUhuru tuchague Kati ya TUGHE na TALGHU tujiunge na chama gani baada ya wote kutuelezea faida na maslahi tutakayopata endapo tutajiunga na chama husika.
Lakini imekuwa tofauti tumejikuta tunakatwa hela kwenye mshahara na hatujui inaenda wapi. Tulipofuatilia ndipo tuligundua hilo...
Anonymous
Thread
ajira mpya
chama cha wafanyakazi
sekta ya afya
tunduru
wafanyakazi
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, kwenye ziara yake katika mkoa wa Ruvuma wilayani Tunduru ambapo amesema kuwa "Kama ACT Wazalendo wangesusia Uchaguzi wa 2025, CCM wangefurahia sana hadi kuchinja ng'ombe."
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa...
Insha'allah, mwisho wa mwezi huu nitakuwa Tunduru kwa wiki moja moja Kati ya tarehe 23 hadi 30.
Hoteli ipi nzuri ya kufikia? Viwanja?
Vipi kuhusu utalii wa ndani? Nipeni kuhusu ABC zake.
With much thanks in advance
Diwani wa Mchoteka kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Seif Dauda pamoja na Katibu wa Wilaya ya Tunduru, Said Mponda na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) Jumatano, Aprili 2, 2025.
Tukio hilo limetokea katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Masasi, mkoani Mtwara, akiwa safarini kuelekea Tunduru, mkoani Ruvuma, tayari kuanza ziara yake ya siku 5.
Uwanjani hapo, Balozi Nchimbi amepokelewa na viongozi wa Chama na Serikali...
Tunduru ni moja ya wilaya ambayo inapatikana katika mkoa wa Ruvuma kusini mwa Tanzania, asili ya wakazi wa Tunduru ni Wayao ambao wanasadikika wanatokea Msumbuji, katikati ya miaka ya 80 kulikuwa na mzee mmoja ambaye alikuwa anafahamika Mzee ACHIMBALI, Mzee huyo alikua anaishi katika kijiji cha...
Kumekuwa na mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi hasa ya ubunge kwa kuzingatia vigezo vilianishwa na serikali
Kihoja kimejitokeza katika Halimashauri ya Tunduru ambayo ina wakazi takriban 400k, wabunge, madiwani na hata viongozi wa Halmashauri wameacha kutekeleza mchakato huo kwa kigezo...
WAKALA wa maji na usafi wa mazingira vijijini(RUWASA) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,umeanza kutekeleza program ya uchimbaji visima 900/5 kwa kila Jimbo ambapo Wilaya hiyo yenye majimbo mawili ya Uchaguzi Tunduru Kusini na Kaskazini imepata mradi wa visima 10 vitakavyogharimu zaidi ya...
Umeme umekuwa kero kubwa wilayani Tunduru, licha ya kukatika lila mara lakini hii imekuwa too much tangu umekatika jana tarehe 1 saa 2 usiku umeme haujarudi mpaka sasa ninapoandika tarehe 2 saa 1744 jioni.
Mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote kutoka Tanesco.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.