Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli. Rais Samia anaweza kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 tena kwa kishindo kweli kweli. Ni kweli. Mamilioni ya wanachama, mashabikiki na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi wataenda kutiki kwenye sanduku la kura na kumpa kura Rais na kuandika historia ya...
Wakuu!
Greyson Babishomba amekuja na dawa ya Wanaoteswa na mapenzi
"Wanaoteswa na mapenzi wazibe tundu moja la pua na kupumua kwa kutumia tundu hilo moja, Hii husaidia kuondo maumivu ya kichwa na kuondoa msongo wa mawazo"
Wakuu
Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi.
Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu.
Yaani ni kama...
Alikoswa koswa kwa Risasi....Sasa tunataka akoswe koswe na Kitanzi.....
Kuficha mashahidi ni utaratibu wa nadra unaoruhusiwa tu pale ambapo mazingira ya kesi yanaonyesha wazi uwepo wa tishio la moja kwa moja kwa usalama wa shahidi au chanzo cha taarifa (source) na hata hivyo, chanzo hicho...
Kalamu ya Baba Askofu Mch. Dr. Kalikawe Lwakalinda Bagonza
SIYO PIGO KWA Tundu A. M. Lissu Tumepigwa Wote.
Nimesikia baadhi ya watu wanasema Tundu Lisu amepata pigo mahakamani baada ya mahakama kuamua kwamba mashahidi watakaotoa ushahidi katika kesi ya uhaini, watakuwa wa siri. Yeye hatawajua...
Ndugu
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,huu ni Uzi Maalum wa kutoa neno la faraja na kumtakia Heri kiongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu A Lissu aliyepewa kesi ya uhaini na kuwekwa death row pale ukonga huku akikumbana na manyanyaso chungu nzima kutoka Kwa askari magereza...
taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka.
Mmekataa demokrasia na haki, sasa mnategemea nini, ni mwehu pekee anaye amini kukataa demokrasia na haki alafu aje kupata haki.
Ni wakati sasa wa mabadiliko sisi wote ni watanzania kwanini tuwe vilaza kiasa hiki haya...
Kwa maono ya imani yangu na niliyo ona wakati nasali
Lissu hata yeye hajui lakini anatumika na Mungu narudia hata yeye hajui hili.
Sasa wakati wa Magufuli msije kufikiria alikuwa kichaa kukataa dawa za covid, kutukana na kukebehi ma Padre kwa kutaka watu wajihadhari na covid. Yale yalikuwa...
Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.
Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake.
Nataka tu kujua jinsi nafsi...
Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
Kwa kila mtanzania aliye na utii kwa nafsi yake na mbele za Mungu, atakiri kwamba kwa sisi sote tuishio sasa, hakuna mtu mwenye uzalendo wa kiwango cha juu kabisa, na mapenzi mema kwa Taifa ketu na wananchi wote, ambaye anaweza kumfikia Tundi Antipasi Lisu.
Lisu alikuwa na bado ana nafasi ya...
Kwanza Mahakama inamheshimu sana Lissu maana angekuwa mtu Kama mm kwa yale maneno yasiyo na staha mahakamani wengine tungeshakula behind the bars miezi sita kwa contempt of court lakini anachukuliwa poa
Mahakama imemaliza kesi Lissu ameshakabidhiwa magerza, nyie mnataka kupiga stori naye wap na...
Umoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu wameeleza hali anayopitia gerezani huku Mahakama ikishindwa kufanya maamuzi
Mawakili hao wameeleza kitendo kilichotokea wakati wa kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Lissu Julai 30,2025 katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu ambapo...
Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia constitutional justice kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
Najua hamtaniamini. Najua mpo mtakaobisha vya kutosha na kutisha. Mtapaniki kuliko pikipiki ya kutumia kiki. Lakini, nawaambia jambo hili. Ni jambo geni na kubwa lakini muhimu na linalowezekana kwenye siasa za sasa. Siasa za sasa zinahitaji amshaamsha.
Haifichiki tena kuwa mambo ndani ya CCM...
Katika dunia ya AI Artficial Intelligence(Akili Umbe) Mambo mengi yanafanywa na AI ikiwa hata majibizano.
Kuficha sura, sauti na utambulisho wa mashahidi katika kesi zinazomkabili Lissu kuna hatari ya kutumia artificial intelligence au mamluki wengine.
Korti ya karne AI ikatae kuficha...
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...