Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
UJIO WA TUNDU LISU UTAWAUNGANISHA CCM.
Anaandika Robert HERIEL.
Kheri ya Mwaka MPYA Ndugu zangu. Nimesikiliza Hotuba zote mbili za viongozi wetu. Hotuba ya Rais wetu Mama Samia Suluhu, kisha nikamsikiliza Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Tundu Lisu.
Sio lengo langu kuelezea hotuba zao...
Wanaweza kuzima mtandao wa internet kwa muda tu, lakini hawawezi kuzuia jua la teknolojia kuchomoza. Waraka wa Tundu Lissu kwa Watanzania huu hapa: HOTUBA YA MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA MHE. TUNDU LISSU.
MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISSU, AFICHUA UOZO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA, TUNAPIGWA TENA
Kufuatia taarifa ya Prof. Rwekaza S. Mukandala kubainisha kuna hoja 5 katika hoja 80 zilizoibuliwa zinazohitaji uharaka wa kufanyiwa kazi, baada ya mkutano wa wadau...
Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
Kwema Wakuu!
Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa.
Hivi ni kweli Tundu Lissu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama alivyoweka mwenzake nchi nzima😀😀😀 na bado akawa anaogopwa??😀😀
Ila Lisu Kiboko tuacheni utani.
Lisu ni...
Bonge la uwasilishaji hakika Tundu lisu nje ya mambo machache yanayo mkosesha heshima lkn ni mtu anayefahaa sana kuwa kiongozi tena mkubwa.
Jamaa ni mtaalam sana wa kujenga hoja tatizo lake ni ukali wa maneno.
Angalia hiyo video namna alivyokuwa anaongea unaona kabisa huyu mtu anao uchungu wa...
Wadau mjumbe hauwawi,,tulikosea Sana kumwamini lissu kuwa anafaa kuwa rais wa nchi ,tulikosea Sana na hii kitu imekighalimu Sana chama chake,,tulidhani Kila mhubiri anafaa kuwa mchungaji,,la hasha wengine wanatakiwa tu kuwa wainjilisti na sio wachungaji,,au tulidhani kuwa mchungaji wa mifugo...
"Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!"- TL
Akitoa hotuba katika Miaka 60 ya Uhuru, Mhe Tundu lLisu amependekeza mambo yafuatayo kufikia au kuelekea kupata Uhuru wa kweli baada ya kupata Uhuru wa bendera.
1. Ni lazima tuakikishe kwamba, bila masharti yoyote wafungwa wote wa kisiasa wanakuwa huru kutoka mikononi mwa Mahakama na dola.
2...
Imefahamika kwamba kesi tano zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu zimefutwa tangu Rais Samia aingie madarakani.
Gazeti la Mwananchi, limezungumza na Tundu Lissu aliyepongeza kufutw akwa kesi hizo kwa kusema ni JAMBO JEMA. Licha ya kwamba hakuna mahali ambapo Serikali...
Hii ni habari iliyoandikwa na gazeti la MWANANCHI la leo.
Wakati ni habari iliyotarajiwa ifurike maoni mitandaoni kinyume chake ni kama vile haipo kabisa.
Hata mimi humu nimei post mara ya kwanza ikafutwa na sijui kama hii mara ya pili haitafutwa.
========
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na...
Salaam Wakuu
Balozi wa Ujerumani Nchini Botswana Margit Hellwig-Boette leo Nov. 08, 2021 akiteta na Makamu Mwenyekiti na Mgombea Urais wa 2020 Tundu Lissu na Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar na Mgombea Mwenza wa Lissu wakati wa mkutano wa Kimataifa unaohusu Uchaguzi Afrika...
Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what.
Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena
Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm.
Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia...
Zimenunuliwa ndege kwa mikataba ya kificho. Kuna na mikataba mingi tu imefanywa kwa kificho.
Hoja ya msaada wako ni hii:
1. Kwa sheria za kimataifa (maana za ndani haiwezekani) Mtanzania ambaye ana maslahi na pesa zinazotumiwa katika kununua ndege hizo, hawezi kufungua kesi/mashitaka katika...
Anyampanda isomeni hii polepole kwa kutulia mtajua ni kwa kiasi gani Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan anawapenda watu wa Singinda,
_________________________________________
SERIKALI imetoa Sh.Bilioni 52.975 mkoani Singida kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo...
NOTE:
å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea...
å Ni jambo jema kuwa haya mambo yanafanyika mchana kweupe kila mtu akiona. Na uzuri ni kuwa hapa ni...
Muundo wa uongozi wa CHADEMA unapata nguvu kutokana na aina ya watu waliokaa juu, mfumo wao una watu wenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi mmoja Wapo Mwenyekiti na una watu wenye akili nyingi na maarifa mmoja Wapo Tundu Lisu.
Serikali ilipoaanza kupambana na Mwenye akili walidhani Mwenye fedha...