tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimemdharau Tundu Lissu kwa kukataa hela/Mabilioni ya CCM kisa CHADEMA

    Salaam Lissu nilikuwa nakuheshimu sana. Umepigwa risasi sababu ya CHADEMA, umefungwa sababu ya CHADEMA, huishi kwa amani sababu ya CHADEMA. Leo unakataa ngawila sababu ya CHADEMA. Umelogwa au? Dunia Mungu akupe nini? CHADEMA Mbowe alishaiuza kwa Lowassa, sasa kaipiga mnada kwa Samia. Hadi...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina la Abdul, alikwenda nyumbani kwake kwa lengo la kumhonga fedha ili aondoke CHADEMA na kujiunga CCM...
  3. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Wadau waomba Tundu Lisu & others waanzishe chama kipya!

    Ukizunguka mitandaoni, watu wanaamini Tundu anastahili kuwa katika chama kingine, imagine yeye, mwabukusi na wanasheria wangekuwa na chama, hawatapata kuungwa mkono kweli? au wanaogopa kuongeza kundi la maadui, au wanaogopa watanyimwa usajili? wao si wanasheria, wakinyimwa wanaenda mahakamani.
  4. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tuhuma za Msigwa kwa CHADEMA zichunguzwe, sisi si Malaika

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya CHADEMA zinapaswa kuchunguzwa kwasababu CHADEMA si malaika kwamba wasikosee. "Inategemea hayo...
  5. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu asema CHADEMA hakuna ukomo wa Uongozi, akigusia uenyekiti wa Mbowe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse hivi karibuni amesema CHADEMA hakuna utaratibu unaotaka kiongozi awe na ukomo wa Uongozi kwa muda maalumu isipokuwa anatakiwa kugombea na sio kuwa kama mwenyekiti...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna kampeni zinaendelea chinichini za kumfanya Mwabukusi asipigiwe kura kwenye uchaguzi wa Rais wa TLS

    Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja Wagombea halaii waliopitishwa kupigiwa kura kwenye nafsi hiyo ni sita kati ya hao Wakili machachari Boniface Mwambukusi ni...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tutamkabili Dr Samia kama tulivyomkabili Hayati Dr Magufuli kwenye Uchaguzi Ujao, tumejipanga

    Hapo jana akiwa amewasili kutoka Ughaibuni alikokuwa kwenye Mapumziko ya takribani Mwezi Mmoja ameyasema hayo. Mh Tundu Lissu Ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chama cha Denlmokrasia na Maendeleo Chadema amebainisha kuwa hawataacha kumkabili mpinzani wao wa chama cha mapinduzi. Tundu Lissu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Tundu Lissu? Ni kweli anajiandaa kujiunga CCM?

    Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei. Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa...
  9. Ivan Stepanov

    JamiiForums Tanzania Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

    Huyu bwana ni kama tulikua tumeshampoteza, lilikua ni suala la kuhesabu siku tu maana hata mkewe alikua kamkatia tamaa. Wakuu mambo haya yasikieni nyie akina min -me , hiv watu mnapata wapi ujasiri wa kusema hakuna uchawi?? Kwakwel kila nikitafakari sipati jibu kwamba hivi ni mahubiri gani...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tunaoamini katika zama za giza za awamu ya Tano basi Mpina, Makonda na Tundu Lissu ni watu sahihi wa kwenda nao

    Binafsi pamoja na mapungufu ya Awamu ya tano ambayo baadhi ya wanasiasa wanakiita kipindi cha giza, bado naamini ndio kipindi ambacho mambo mengi ambayo yalionekana magumu yalianzishwa na sasa yanakamilika tunaona manufaa yake. Hawa watu niliotaja wana sifa zinafanana sana na hayati Magufuli...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli jamani. Hivi chadema wakipewa nchi itakuwaje? Maana msomi ni tundu lisu pekee. Baraza la mawazili itakuwaje?

    Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
  12. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndio turufu pekee tuliyobaki nayo Watanzania. Tusipomwelewa itakuwa ndio point of no return kama nchi

    binafsi nilianza kumfuatilia mh Antipus Tundu Lissu kipindi alipoasis neno Dictator uchwara. kutokana na performance na siasa za mwendazake sikukubaliana na Tundu japo neno Dictator uchwara na madhara yaliyompata baadae wengi wetu nikiwemo mimi tulianza kuwa sensitive na kila alilofanya Tundu...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

    Hebu tuangalie halafu tusaidiane Pikipiki zimeandikwa SSH2025 na zina picha yake, hatujaanza kampeni, mama ameanza kampeni zaidi ya mwaka na nusu kabla ya uchaguzi. Kama ameanza yeye na sisi tuanze, amefungulia mlango. Kila kata ya mkoa wa Singida imepewa pikipiki kulingana na idadi ya...
  14. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki za "SSH 2025" zimetoka wapi?

  15. R

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka wa Tundu Lissu kuwataja masheikh na maaskofu waliopewa vibali vya kuagiza sukari kwa ushirika wa Bashe na Mwigulu

    Salaam,Shalom, Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi. TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
  16. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maneno anayotoa Tundu Lissu majukwaani na mitandaoni si ya CHADEMA ni ya binafsi

    Salaàm! * Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola. * Kutoa, kushawishi ni jinai - sasa iweje ashawishiwe afu asitoe taarifa kwenye mamlaka za kidola? Uzanzibari vs...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mpaka Sasa Mwanasiasa Bora Nchini Tundu Lissu ni Top in the List.

    Pamoja na kwamba tuna Siasa zenye mapungufu Afrika na Tanzania Pia bado tuna wanasiasa wenye nafuu kwa ubora. Japo pia tuna wanasiaaa wazuri ndani ya Tanzania lakini Tundu Lissu anaendelea kujitanabaisha kama Mwanasiasa Bora kwa wakati huu. TUndu Lissu pamoja na wanasiaaa wachache ndio ambao...
  18. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu uvuguvugu, haukufikishi mbali!

    Ukimsikiliza Tundu Lissu utaona kwamba ni vuguvugu, haoneshi rangi yake halisi anajifanya au niseme yuko liberal kwenye dini anafikiri kwamba kwa kuwa katikati atawawini wote waislamu na Waktisto lkn asichokijua labda zero Muslims watampigia kura na wakristo kuna watakaompigia na kuna...
  19. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hata Tundu Lissu naye huwa anadanganya!

    Mpya kutoka kwa Tundu Lissu ni madai kwamba mtoto mmoja wa Rais Samia aitwaye ‘Abduli’ 🤣, alimpelekea Lisu rushwa nyumbani kwake. Baada ya Lissu kuona hivyo eti akamwambia “shenzi”, kahonge huko kwa wanaohongeka. Lissu naye ni kama wanasiasa wengine tu. Na yeye hudanganya pia. Kwenye haya...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
Back
Top Bottom