Kwa namna ninavyo mfahamu Boniface mwabukusi itapendeza sana kama akawa mgombea urais wa chadema.
Aina ya misimamo yake na ujasiri wake wakiwa jukwaa Moja wanaweza kumachi vizuri sana na Tundu lisu.
Lakini pia hii inaweza kuiongezea chadema kura za nyanda za juu kusini.
Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.
Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI
Kumbuka:
1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally...
Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa.
Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo kwenye jambo muhimu kama hili? Au ni njaa ndungu zangu? Si wapatiwe chochote kitu basi?
Au ni uchovu wa...
Ukifuatilia Press conference za Godbless Lema kwa wiki nzima, hazina impact yoyote kisiasa kwenye kumuongezea Tundu Lisu kura za wajumbe wa mkutano mkuu na hatimae kumfanya awe mwenyekiti wa chadema Taifa,
Ispokua zinasaidi pakubwa, kummpambanua Lema mwenyewe ni mtu wa aina gani.
Kwasababu ni...
Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,
Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha...
Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa...
Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa?
Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa...
Lisu ni mtu sahihi Kwa Taifa ili Kwa bahati Mbaya Taifa letu wapiga kura hawangaliii uwezo wa mtu bali wanaaangalia chama na Dola bali siyo uwezo wa mtu.
Lisu uwezo wake ni sawa na uwezo wa MKAPA, JPM
My friends, ladies and gentleman,
Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi havai tena bullet proof vest aliyoivaa kwa mbwembwe sana baada ya kudai kupigiwa simu na mtu aliemuita mzito na muhimu sana humu nchini, na kumshauri ati ajiongezee ulinzi ati usalama wake uko mashakani. Nae kwa kukurupuka...
Bado haijabainika wala haijawekwa wazi kwamba ni sehemu gani ya katiba, sheria au kanuni za uchaguzi zilizokiukwa, lakini tayari mchakato wa kumuita na kumpeleka mbele ya kamati mahususi juu ya mambo haya umekamilika.
Hofu kubwa imetanda kwenye kambi yake na wanasheria wamejipanga vilivyo...
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
My friends, ladies and gentleman,
Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba,
Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025.
Hawezi kumshinda kwa kura za...
Japokuwa kwa watu wa majira na nyakati wameshajua nani mshindi kwenye sanduku la kura, lakini pia mambo hubadilika kama mmoja wao akiamua kumuachia mwenzake.
Ila wakiendelea kugombea wote wawili na wakaingia kwenye kupigiwa kura, basi kuna mmoja ana neema zaidi ya mwingine kupitia mwaka huu...
Kimsingi, CHADEMA kama chama cha siasa nchini, kina kanda 10 za kiutawala.
Na kanda zote 10 zina viongozi waandamizi ambao wamechaguliwa awamu hii katika uchaguzi ambao ulianza mapema 2023 na utahitishwa rasmi na uchaguzi ngazi ya Taifa Jan.22,2025.
Viongozi karibu wa kanda zote 10...
Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Eeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
Copy & Paste from Twitter.
MBOWE VS LISSU SIFA ZAO NA MAPUNGUFU YAO
SIFA ZA MBOWE
1. Ni Kiongozi mwenye uwezo wa kuunganisha palipo vunjika kwenye Jamii.
2. Ni Kiongozi ambaye ni Mtulivu
3. Ana uwezo wa kuwalea na kuwakuza vijana japo baadae wengi humgeuka na kukimbilia chama tawala.
4...
Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata.
Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti...